TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

Kama ni IGP hatuna,polisi imekuwa kawaida kuua raia na vinaletwa visingizio! Waziri wa mambo ya ndani na IGP kama ni raia wa Tanzania kiukweli,sidhani km wanastahiri kubaki na vyeo vyao! Wakumbuke Mungu anaona vitendo hivi!
 
Dr Slaa aliposema nchi haitatawalika nilidhani ni jazba na hasira za kukosa urais ambao anauota siku zote,lakini sasa hivi ninapata picha kamili ya dhamira yake.Anatumia kila njia kuhalalisha ujambazi wake wa siasa kufikia malengo yake,shime watanzania tukatae siasa za aina hii, Dr Slaa ni Foday Sankoh mwengine anatoa kafara watu ili afanikiwe katika malengo yake.Nilishangaa kuona wanafanya party kwa mchungaji Msigwa baada ya mauaji ya Morogoro sitostaajabu sasa hivi akiwa anakunywa mvinyo kujipongeza kwa kifo cha Daudi Mwangosi.Roho za watanzania hawa zitakuandama popote uendako..

Hayo uliyoyaandika hapo juu kama unayaamini kwa dhati, yametoka moyoni mwako na umeyatafakari kwa upeo na uwezo wa uelewa wa akili zako zote na huko tayari kuyathibitisha na hata kuyasimamia kwa kiapo basi wewe una heri kama yatakuwa sahihi vinginevyo Mungu akuhurumie kwa sababu hujui ulitendalo. Hapa ni zaidi ya ushahabiki wa kitoto wa kisiasa wenye kufanana na ule wa ki simba na yanga, hapa ni juu ya maisha ya watu wasio na hatia, wanaomka asubuhi wazima, wana aga familia zao kwenda kazini (kuuza magazeti), kutoa coverage ya tukio la kisiasa nk na hawarudi tena majumbani mwao wazima wala familia zao hazipati nafasi ya kusikia neno la mwisho kutoka vinywani mwao! In less than a week raia wameuawa na polisi morogoro, nyamongo, iringa bila ya maelezo kutoka serkalini. It is shocking! Binafsi naanza kujiuliza liko wapi jeshi la wananchi wa tanzania? na ni nani hasa mwenye dhamana ya kuhakikisha kuwa maisha ya raia wa tanzania yako salama, je ni ccm??????? kuna kila dalili kuwa nchi hii sasa raia na mali zao ni salama tu pale wanapokubaliana na matakwa ya ccm.
 
Kweli ccm wameamua kuuwa!

Hilo linajulikana tayari. Nadhani ishu ya kujadili hapa ni kitu gani cha kufanya.... Ni kama kuna mtu hapa alisema zitafutwe tu takwimu sahihi kuna polisi wangapi katika kila mkoa; idadi hiyo ya polisi katika kila mkoa ilinganishwe na idadi ya wanaume wenye balls katika kila mkoa, halafu hao wanaume wajiulize hili swali la siku hizi: tupo wangapi?
 
Nyie police mnashida kama sisi,hamna maisha mazuri kama ya mafisadi,mishahara yenu ni kiduchu,kodi mnakatwa kubwa,posho ndio usiseme,
Najiuliza maswali mengi nakosa majibu,ni kwa nini mnaua watu bila faida yoyote?hivi mnajua mmejenga chuki kiasi gani na raia?
 
IMG_1878.JPG

:A S-confused1:The Victim:A S-confused1:

Tumejinga kwa lolote asema kamanda wa polisi kuwa si Chadema pekee hata CCM na vyama vyote marufuku mikutano wanaruhusiwa kufanya vikao vya ndani ili kupisha zoezi la sensa hadi jumamosi litakapomalizika

577101_377757872294889_183352309_n.jpg

Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Iringa (IPC),
Daudi Mwangosi, ambaye polisi wamemwua kijijini Nyororo Iringa

Vituo vya tv vinakua kama vimefungwa na serikali hii habari haijaonyeshwa kwenye taarifa ya habari yoyote ni aibu kubwd sana kuwa na vyombo vya habari kama hivi

Mlimani TV breaking news wametangaza kwa ufasaha sana ameohojiwa mwandishi wa mwananchi sanga ameleza full kilichotokea, amesema polisi walimkamata wakampiga sana na na ilipokosa nguvu polisi mmoja alimlenga kwa na kumshuti kwa bomu ambalo lilimsambaratisha utumbo kule kichwa kule na kadhalika na hata walipokuwa wanachukua mwili wake walichukuwa dk 15 kukusanya mwili wake.
 
Mkutano mwingine ni zamu ya Slaa,haiwezekani asababishe yote haya halafu yeye anabaki pembeni wakati wananchi wanakufa. Huyu mzee anatakiwa apelekwe pale mnazi mmoja akachapwe viboko kama mtoto wa shule. Labda akili zitamrudi
 
Jaribu kufuatilia tamko la CDM kabla ya tukio hilo, kisha uje na facts zako zikiwa zimenyooka.

Jaribu kufuatilia maelezo ya muandishi wa habari Irene Mwakalinga wa tbc aliyekua kwenye eneo la tukio ndio utapata picha kamili who is to blame
 
unajua mkuu hawa jamaa CDM imewaingia kiasi kwamba hawaoni tena maovu yake. Akili zao ni kama kina Slaa,wako tayari hii nchi iingie kwenye vita ilimradi wao waingie ikulu. Wamekua ni kero sasa.

Ni kweli manake CDM ndio wameua mwandishi wa habari
 
Mlimani TV breaking news wametangaza kwa ufasaha sana ameohojiwa mwandishi wa mwananchi sanga ameleza full kilichotokea, amesema polisi walimkamata wakampiga sana na na ilipokosa nguvu polisi mmoja alimlenga kwa na kumshuti kwa bomu ambalo lilimsambaratisha utumbo kule kichwa kule na kadhalika na hata walipokuwa wanachukua mwili wake walichukuwa dk 15 kukusanya mwili wake.

Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! EEE MUNGU !
 
IMG_1878.JPG

:A S-confused1:The Victim:A S-confused1:

Tumejinga kwa lolote asema kamanda wa polisi kuwa si Chadema pekee hata CCM na vyama vyote marufuku mikutano wanaruhusiwa kufanya vikao vya ndani ili kupisha zoezi la sensa hadi jumamosi litakapomalizika

577101_377757872294889_183352309_n.jpg

Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Iringa (IPC),
Daudi Mwangosi, ambaye polisi wamemwua kijijini Nyororo Iringa

we mjinga,walioua ni chadema acha kupotosha,mwanga nini?
 
Mkutano mwingine ni zamu ya Slaa,haiwezekani asababishe yote haya halafu yeye anabaki pembeni wakati wananchi wanakufa. Huyu mzee anatakiwa apelekwe pale mnazi mmoja akachapwe viboko kama mtoto wa shule. Labda akili zitamrudi

Go back to school before its late!
 
Very poor reasoning.
Sijui elimu yako, ila ukianza na wrong premise(kuvunja sheria) utamaliza na wrong conclusion. Huo mkusanyiko usingekuwepo nani angekwenda kumuuwa Mwangosi nyumbani kwake? Au leo tu ndio hiyo ofisi imenunua mafaili hadi polisi wayachome? Hatuwezi kuwa na nchi isiyofuata sheria, mkitaka nendeni Somalia hakuna serikali.
 
mungu atusaidie sana tunahitaji maombi Ee MUNGU SAIDIA TANZANIA
 
Back
Top Bottom