Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dr Slaa aliposema nchi haitatawalika nilidhani ni jazba na hasira za kukosa urais ambao anauota siku zote,lakini sasa hivi ninapata picha kamili ya dhamira yake.Anatumia kila njia kuhalalisha ujambazi wake wa siasa kufikia malengo yake,shime watanzania tukatae siasa za aina hii, Dr Slaa ni Foday Sankoh mwengine anatoa kafara watu ili afanikiwe katika malengo yake.Nilishangaa kuona wanafanya party kwa mchungaji Msigwa baada ya mauaji ya Morogoro sitostaajabu sasa hivi akiwa anakunywa mvinyo kujipongeza kwa kifo cha Daudi Mwangosi.Roho za watanzania hawa zitakuandama popote uendako..
Kweli ccm wameamua kuuwa!
Hivi chadema lazima waivuruge hii nchi,hawa kweli ni watanzania? Huu sio uroho wa madaraka tena.
Vituo vya tv vinakua kama vimefungwa na serikali hii habari haijaonyeshwa kwenye taarifa ya habari yoyote ni aibu kubwd sana kuwa na vyombo vya habari kama hivi
I very sorrow,hivi hii mipolisi mbona inapenda kuuwa,hakuna njia mbadala.
Jaribu kufuatilia tamko la CDM kabla ya tukio hilo, kisha uje na facts zako zikiwa zimenyooka.
unajua mkuu hawa jamaa CDM imewaingia kiasi kwamba hawaoni tena maovu yake. Akili zao ni kama kina Slaa,wako tayari hii nchi iingie kwenye vita ilimradi wao waingie ikulu. Wamekua ni kero sasa.
we ni l.a.f.a kweli.unajifanya kipofu ee?
una kiingereza kibaya hadi aibu,halafu wanaoua ni chadema sio polisi.
Mlimani TV breaking news wametangaza kwa ufasaha sana ameohojiwa mwandishi wa mwananchi sanga ameleza full kilichotokea, amesema polisi walimkamata wakampiga sana na na ilipokosa nguvu polisi mmoja alimlenga kwa na kumshuti kwa bomu ambalo lilimsambaratisha utumbo kule kichwa kule na kadhalika na hata walipokuwa wanachukua mwili wake walichukuwa dk 15 kukusanya mwili wake.
![]()
:A S-confused1:The Victim:A S-confused1:
Tumejinga kwa lolote asema kamanda wa polisi kuwa si Chadema pekee hata CCM na vyama vyote marufuku mikutano wanaruhusiwa kufanya vikao vya ndani ili kupisha zoezi la sensa hadi jumamosi litakapomalizika
![]()
Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Iringa (IPC),
Daudi Mwangosi, ambaye polisi wamemwua kijijini Nyororo Iringa
Mkutano mwingine ni zamu ya Slaa,haiwezekani asababishe yote haya halafu yeye anabaki pembeni wakati wananchi wanakufa. Huyu mzee anatakiwa apelekwe pale mnazi mmoja akachapwe viboko kama mtoto wa shule. Labda akili zitamrudi
Sijui elimu yako, ila ukianza na wrong premise(kuvunja sheria) utamaliza na wrong conclusion. Huo mkusanyiko usingekuwepo nani angekwenda kumuuwa Mwangosi nyumbani kwake? Au leo tu ndio hiyo ofisi imenunua mafaili hadi polisi wayachome? Hatuwezi kuwa na nchi isiyofuata sheria, mkitaka nendeni Somalia hakuna serikali.