Iron Dome ya Israel yazidiwa nguvu na vikombora vya wapalestina

BREAKING: HAMAS LAUNCHES BALLISTIC MISSILES AT ISRAEL.[emoji120][emoji120]View attachment 1783506
Watume tu! Wanangojewa!
The Jericho II (YA-3) is a solid fuel, two-stage long-range ballistic missile system and a follow on from the Jericho I project. As many as 90 Jericho 2 missiles are currently based in caves near Zekharia (Sdot Micha Airbase), southeast of Tel Aviv.

NB:kuna Jericho 3 ambayo ina uwezo wa kufika pahala popote duniani.
Jericho III intermediate-range ballistic missile is capable of carrying a 1,000-kg (2,204-lb.) warhead more than 5,000 km.

According to an official report that was submitted to the U.S. Congress in 2004, it may be that with a payload of 1,000 kg the Jericho III gives Israel nuclear strike capabilities within the entire Middle East, Africa, Europe, Asia and almost all parts of North America, as well as large parts of South America and North Oceania. Missile Threat reports: "The range of the Jericho 3 also provides an extremely high impact speed for nearby targets, enabling it to avoid any Anti-Ballistic Missile (ABM) defenses that may develop in the immediate region.
 
Hizo 1000 unajua ni za aina gani? Hizo wanapasha tu na wao silaha kali zitatumika hali inavyozidi kubadilika...........hizo 1000 sio lazima zipige target ya maana ............wanawatia hasara tu hao wayahudi hata wao wanajua hivyo vikombora haviwezi leta uharibifu wa maana shida yao ni hio iron dome na hapo usikute wanarusha ili kuisoma inavyofanya kazi pia
 
The Jerusalem Brigades: The bombing of Sderot occurred during the visit of Israeli President Reuven Rivlin
 
Niliwahi kuwambia watu humu isije ikaja kutokea ya Yemen
 
Inakwaje 1000 yote madhara madogo hivi
 
Inakwaje 1000 yote madhara madogo hivi

Gharama za hizo rocket kwa kila upande hivyo vi rocket havina malengo ya kuleta uharibifu mkubwa huko wanaporusha ,kombora moja la Hamas gharama kama $800 kwa miaka hio kama unavyoona hapo wakati kombora 1 la iron dome ni $80,000 ,sasa huyo akirusha makombora 1000 lazima na upande mwingine atumie makombora mengi ili kuyazuia hayo yanayokuja..........hapo utaona lengo kuu la hamas na hizo rocket zao.......mengine jiongeze utaelewa ........hayo makombora ni ya kuihangaisha iron dome tu .....muda utaongea maana kila upande una hesabu zake
 
Atakayeenda hasara ni nani, mwenye kuzi manufacture mwenyewe, au mwenye kuzinunua au kupewa bure nyingi ya silaha zake? πŸ˜‚ Ni sawa na Diamond aanze kushindana na Dweji, si waona utopolo hapo? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Nani anapewa bure hapo
Nionyeshe kampuni ya kutengeza Missiles, Drones, Fighter Jets, War ships, Arms & ammunition, iliyo ndani ya Palestine au hao Hamas wako nazo? πŸ˜‚ Wanashindana na ndovu kuenda haja kubwa, lazma pana mtu atapasuka msamba hapo!
 
Israeli Military Industries (IMI) Systems and Israel Aerospace Industries (IAI) unveiled their own air-launched ballistic missile, called 'RAMPAGE'.

Hawana viwanda hayo makombora wanayorusha wanapokea toka mbinguni na bado yanapenya kwenye ngome za hao wenye viwanda..............na mmoja anapigana jihad hana hasara hata akifa wakati mwingine ana vingi vya kupoteza.....
 
Siongei mengi...!
 
Israeli Military Industries (IMI) Systems and Israel Aerospace Industries (IAI) unveiled their own air-launched ballistic missile, called 'RAMPAGE'.

View attachment 1783554
Haya yote hayana maana kama vita yenyewe unapigana na wana mgambo tu......ngoma kama hizi zina maana kama vita ni ya taifa kwa taifa na wote wana majeshi ya kueleweka na si wana mgambo ndo maana hata huyo marekani Syria ,Afganistan na Somalia anambwela
 
Atakayeenda hasara ni nani, mwenye kuzi manufacture mwenyewe, au mwenye kuzinunua au kupewa bure nyingi ya silaha zake? πŸ˜‚ Ni sawa na Diamond aanze kushindana na Dweji, si waona utopolo hapo? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Halaf hizo Qasam hamas anazalisha mwenyewe na yeye anaingia gharama za kuzitengeneza kama huyo mwenye viwanda nae anavyoingia, tofauti mmoja hatumii gharama kubwa kutengeneza, hizo Qasam masela wanaweza jifungie magetoni tu na wakatoa mzigo wakati mwingine kawekeza pesa ndefu na muda mwingi huko kwenye maviwanda kwahio rocket 1 la hamas ni kama mtu akurushie ka iphone tu na wewe umjibu kwa kurusha kombora lako lenye gharama ya audi ya mjerumani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…