MTZ 255Dar
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 1,149
- 3,963
Hapa umekalilishwa Maneno haya. Umeshajiuliza Hayo Makombora ya Iran na Russia ambayo Hammas wanayatumia yanaingiaje Gazza kama kweli imezingirwa?Nimejaribu kuangalia sehemu ambayo nimedokeza kuwa aina hiyo ya silaha ndio iliyotumika sijapaona lkn kitu ambacho Nina uhakika nacho ni HAMAS wanatumia viwanda vyao ambavyo vipo ndani ya ukanda wa Gaza kutengeneza silaha zao kwa sabab hilo eneo lipo kwenye mzingiro wa pande zote hakiingii kitu wala kutoka bila ridhaa ya myahud
Hammas wanaingiza Siraha nyingi sana kutoka Russia na Iran kupitia kwa Hezzibullah huko Lebanon.Nimejaribu kuangalia sehemu ambayo nimedokeza kuwa aina hiyo ya silaha ndio iliyotumika sijapaona lkn kitu ambacho Nina uhakika nacho ni HAMAS wanatumia viwanda vyao ambavyo vipo ndani ya ukanda wa Gaza kutengeneza silaha zao kwa sabab hilo eneo lipo kwenye mzingiro wa pande zote hakiingii kitu wala kutoka bila ridhaa ya myahud
Sasa wamezidiwa vipi? Waisrael waliouwawa mpaka sasa ni wawili tu kwa mujibu wa taarifa yako. Wapalestine mpaka sasa wameshauwawa watu 28.
Sasa wepi wamezidiwa? Wapalestine au Waisraeli??
Kwani nimesema wametengeneza waoNi Lini Hammas wameanza kutengeneza Siraha aina hiyo ya ATGM? Nijuavyo mimi ni kwamba ATGM ni Russian Guided Ant-Tank Missile ambayo inatengenezwa nchini Urusi. Pia Marekani anayo japo wao inaitwa FGM-148 Javelin Ant-Tank Missile.
Labda unijuze yanaingizwaje ikiwa myahud kazingira na upande wa misr kivuko cha rafah pia kina ulinz mkaliHapa umekalilishwa Maneno haya. Umeshajiuliza Hayo Makombora ya Iran na Russia ambayo Hammas wanayatumia yanaingiaje Gazza kama kweli imezingirwa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Atumie nuclear kwenye ardhi ya Palestina ambayo wao pia wanaikalia kwa mabavu? Kama jamaa anamtoa kamasi hivyo je Hizbullah atamuweza?Kuna mtu naona hataki kuonekana mnyama kwa kutumia nuclear systems zake, ila akikosea tu hasira zimzidi atoe, basi hapabaki mtu upande wa pili, itakuwa Syria nyingine kusipofanywa ceasefire hapo! Siombi yawe hivyo hata siku moja!
Sidhan km hizbullah na ukanda wa Gaza wanashea mpakaHammas wanaingiza Siraha nyingi sana kutoka Russia na Iran kupitia kwa Hezzibullah huko Lebanon.
Mwezi uliopita niliona jamaa wanasema ni wawekezaji kutoka Israel wanataka kuja kuwekeza katika ufugaji wa kisasa wa Ng'ombe wa maziwa na nyama kama sikosei - wanasema wamezunguka Tanzania nzima lakini eneo lililo wavutia kuwekeza ni Mkoa wa Kagera!! Sasa sijui wanataka wapewe maeneo yaliyo kuwa runch ya Taifa,je, kiwanda cha maziwa ambacho Rais Magufuli aliweka jiwe la msingi huko Karagwe ndio basi tena, je, wafugaji mmoja mmoja watanufahika vipi na ujio wa Waisrael au yatarudi yale yale kama wanavyo wanyanyasa Wapalestina, kupora aridhi yao na kuwaondoa kinguvu wapalestina kwenye nyumba zao - binafsi siwa amini Wayahudi hata siku moja, uwezi juwa long term plan yao ni nini katika eneo la maziwa makuu - wako karibu sana na Rais Kagame - zahama za wapakestina zisije kujirudia hapa kwetu - my opinion.Wazungu hawa waliwauwa sana, waliwapiga sumu wafe wamalizike kwa bahati wakabaki wacheche kila nchi ilikua inawakataa so waliobakia ndio wakachukuliwa wakapelekwa kwenye ardhi ya Palestina na kupewa silaha, yaani ni kama kikundi kimepewa silaha ndio wakaanza kupora maeneo kwa huku kukiwa na support ya wakubwa zake Us na uk, Yaani walitawanyika na unapowakaribisha kwenye nchi yako wamejaa ufisadi
[emoji23][emoji23][emoji14]wayahudi hawana ujamaa kabisaMwezi uliopita niliona jamaa wanasema ni wawekezaji kutoka Israel wanataka kuja kuwekeza katika ufugaji wa kisasa wa Ng'ombe wa maziwa na nyama kama sikosei - wanasema wamezunguka Tanzania nzima lakini eneo lililo wavutia kuwekeza ni Mkoa wa Kagera!! Sasa sijui wanataka wapewe maeneo yaliyo kuwa runch ya Taifa,je, kiwanda cha maziwa ambacho Rais Magufuli aliweka jiwe la msingi huko Karagwe ndio basi tena, je, wafugaji mmoja mmoja watanufahika vipi na ujio wa Waisrael au yatarudi yale yale kama wanavyo wanyanyasa Wapalestina, kupora aridhi yao na kuwaondoa kinguvu wapalestina kwenye nyumba zao - binafsi siwa amini Wayahudi hata siku moja, uwezi juwa long term plan yao ni nini katika eneo la maziwa makuu - wako karibu sana na Rais Kagame - zahama za wapakestina zisije kujirudia hapa kwetu - my opinion.
Huyu jamaa anafanyaje hapa naona kama analichokonoa[emoji3][emoji3]Hii ndio Anti tank ambayo imeipiga jeep ya jeshi la Israel sasaiviView attachment 1781778View attachment 1781779
Aiseeeee leta feedback mdauDuuuu???!! Wameshaanza mapambano ya uso kwa macho
Kwani hawana pesa ya kununulia silaha kubwa???Hawa vijana wana moyo kweli. Yaani visilaha vyao vidogo na vichache lakini wameamua wasife kikondoo.
Handaki linazuia kombora?????Mkuu karibu nyumba zote nchini Israel kuna mahandaki yamejengwa mahususi kujikinga dhidi ya makombora. Raia wakisha sikia vingora wanakimbilia kwenye mahandaki.
Ina maana Palestina hana msimamo kwa anachofanyiwa???Sipendi kinachoendelea lakini Israel ana msimamo sana. Akisema watalipa gharama anafanya kweli. Nilihisi hatafanya kitu lakini kwa yanayoendelea hadi naogopa.
Aiseeee ugumu wa maisha ndio kipimo cha akiliEneo LA ukanda wa Gaza ni eneo lililofungwa hakiingii kitu wala MTU mpaka Israel iridhie na na hata upande wa baharin kuna umbali ambao ndio mwisho wa kwenda ukizid chombo kinazamishwa na ndio maana hawa jamaa hawapat silaha kutoka kwa wale wanaowasapot kule zinapelekwa fomla wanadizain wenyewe kienyej
Watoe wapi? Kama kuna nchi zinashindwa kununua silaha za wanajeshi mpya, itakuwa hivyo vikundi. Labda wasaidiwe na sijui ni nani huyo ataanza kumpa. Vita ni ghaliKwani hawana pesa ya kununulia silaha kubwa???
Israel ni nchi ndogo lakini sio ya kitoto. Wako radhi walaumiwe ila walinde nchi na wananchi wao. Pia kwenye vita both parties lazma kuwe na loss, ndivyo ilivyo, lakini atakaye enda loss kubwa ni nani? Inaonekana tayari! Mfano nchi ndogo iwe na silaha za kisasa nyingi na nchi nyingine kubwa haina silaha kubwa ila ina wapiganaji wengi, unaona hiyo hesabu vita vikianza kati yao.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Atumie nuclear kwenye ardhi ya Palestina ambayo wao pia wanaikalia kwa mabavu? Kama jamaa anamtoa kamasi hivyo je Hizbullah atamuweza?