Iron Dome ya Israel yazidiwa nguvu na vikombora vya wapalestina

Sema tuna ongea kishabiki lakini kwa picha nnazo ziona uko Vita sio ya kushangilia kabisa
 
Msikilize Netanyahu sasaivi
Hapo umewashika wanafiki hao

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Netanyahu: “Can't say we are not facing an escalation. The intelligence we have says it is very possible that the violence will increase in the coming days"

Don’t sound so confident all of a sudden, huh? What happened Benjamin boi? [emoji2933]
 
Hivi Hamas na Alshabab or Boko Haram Nani Ni deadly Kati ya haya makundi matatu????
 
[emoji599] Al Qassam brigades announce the targeting of an "Iron Dome" battery
 
Some sources (unofficial) claim the target was an Iron-Dome radar system.

If true, this will be a huge blow to the zionist entity.
Duuu!!!??? Km kwel wameilipua kuna uwezekano mkubwa Leo usiku us akajifanya mpatanish
 
Hayo Mayahudi ni maonezi Sana sijui hata Waarabu wanashindwa nini kujitoa mhanga kwa ajili ya kuwasidia
 
Wa Palestina bado hawajaonja vitu hivi, viko pembeni bado. Wanajeshi wa Israel wameanza kujaa kwenye ukanda wa Gaza, ikikisiwa kuwa wanajitayarisha kwa mashambulio ya ardhini ikifikia hapo, wako tayari kuzama ndani!












Hilo gari la kijeshi liko unmanned, yaani linaendeshwa kiteknolojia.



















NB;nchi tajari upande wa kijeshi siku zote hawaendi kichwa kichwa, wanakupima uwezo wako kwanza ndio waanze ku eliminate hizo strength points zako. Hapo Mpalestina anafanya uboya kurusha makombora, wanapimiwa unga sasa, ndo maana kina Egypt na Marekani wametuma wajumbe wao kuanza mazungumzo sababu wanajua, Israel haijaanza vita vizuri, inagoja mda mwafaka. Hivyo vifaa vyote hapo juu ni hela kutengeneza na vyote ni vya Israel. Je wapalestina wanavyo, wanaunda au ni vya bure wanangoja kupewa na mahasidi wa Israel aka Iran? Vita sahi vya Israel ni Fighter jets na tanks tu sahi anatumia sana, bado Netanyahu anasema hiyo ni warm up kudadadeki! Wacha waendelee kurusha zao zote tu. Utarushaje 1000 rockets kwa usiku mmoja na usifanye loss ya maana kwa adui, huku mwingine anatumia silaha kiasi tu za kisasa, mnalizwa kila pande ya mtaa.
Narudia tena, Vita sio vizuri!
 
Sema tuna ongea kishabiki lakini kwa picha nnazo ziona uko Vita sio ya kushangilia kabisa
Upo sahih mnama kwa sabab si wapalestina wala waisrael wote wapo roho juu Yale maisha ya kawaida hakuna
 
5/12/2021:Israel Has Shot Down 2,400 Rockets...Will Its Iron Dome Last?

Iron Dome relies on a system of radar and analysis to determine whether an incoming rocket is a threat, firing an interceptor only if the incoming rocket risks hitting a populated area or important infrastructure.
Ndio maana rocket haziwi effective sana ndani ya Israel.
 
huoni aibu kuandika uongo !!
 
#BREAKING CNN: The Pentagon withdraw 120 US military and civilians from Israel [emoji1134] ~
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…