Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Mpeni mwongozo lo!
Kila la kheri kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpeni mwongozo lo!
Binafsi sijawahi kuelewa biashara ya bodaboda
Milioni 17 huwezi kupata Bajaji 2.Pikipiki 10 ni shilingi milioni 28, faida ya miezi 13 ni milioni 11
Ni heri ununue bajaji 2 kwa milioni 17, kabla hujaziachia bure umelamba faida ya milioni 11
Hio elfu saba inabaki ?Fanya hivi:
2,800,000 / siku 395 = 7,088.. (elf 7 mia moja).
Kwahiyo mtaji wa Elfu 7,100 kila siku ukupe Faida ya Elfu 3., is it worth?
Nashangaa mtu ananunua kibajaji milion 10 si Bora uongeze 5 upate gari Kali ufanye boltMilioni 17 huwezi kupata Bajaji 2.
Bajaji sasa ni 10M na chenchi kidogo
Mnapenda kuwananga wasomi wakati wengi ndio mabodaboda huko mtaani ni vile huwezi mjua mwenye degree na asiye nayo.Na hii ndiyo tofauti ya wasomi wa bongo na wale wasioenda shule! Msomi hesabu nyingi huku akiogopa kupoteza!
Yule asiyeenda shule hapigi hizi hesabu anajilipua na anapata uzoefu then anatoboa! We nenda kapate uzoefu kwanza hata kama utapoteza!
Wasomi wengi wa bongo hawaujui mtaa na kanuni zake coz ya kufungwa kwenye kuta nne (darasa) wakati mtaa hauna kuta nne, hauna mwanzo wala mwisho na huitaji zaidi uhalisia!
Ukipata elimu ya darasani plus elimu ya kitaa utaishi sehemu yoyote hapa duniani!
Pia ukipata elimu ya kitaa bado unaweza kuishi sehemu yoyote hapa duniani!
Ila ukipata elimu ya darasani hasa ya Tanzania kuna changamoto kadhaa zitakuathiri kwa namna moja ama nyingine!
Elimu ya Tanzania imeelemea zaidi kwenye kukariri mpaka kwenye maisha! Soma-Faulu-Upate kazi serikalini!
Nb: Ni mtazamo tu!
Nilishasema sana,kuwa hizi biashara za boda boda na bajaji ni uwekezaji mbaya sana wa pesa,bajaji nako ndio majanga tu,eti uwekeze milioni 10,harafu kwa siku uingize faida ya kama 7000?!!mwenye kuuza machungwa tu ambaye mtaji hata laki haufiki anaweza ipata hiyo pesa,Gharama za ununuzi na usajili - 2,800,000
Mkataba – miezi 13 (siku 365 za mwaka + 30 za mwezi moja)
Hesabu ya siku – elf 10
Hesabu ya miezi 13 – elf 10 x siku 395 = 3,950,000
Faida miezi 13 = 3,950,000 – 2,800,000 = 1,150,000
Faida ya kila siku = 1,150,000 / siku 395 = 2,911.. (elf 3 kasoro)
Muhimu: Hizi ni hesabu za kwenye karatasi yani biashara ikinyooka bila usumbufu wowote ila kiuhalisia biashara ya pikipiki za mkataba ni pasua kichwa, kijana anaweza kuwa msumbufu analeta hela kidogo, boss kuna muda unalazimika kuzama mfukoni kurekebisha chombo, n.k.
sasa hapo, mtaani kuna lipi la kujifunza hapo...namba haziongopi bana, kama biashara Haina faida ni Haina faida, usomi unasaidia kukupa mwanga ni biashara Gani uifanye au usifanye, kwa kuangalia projected profit na resources unazotaka ku investNa hii ndiyo tofauti ya wasomi wa bongo na wale wasioenda shule! Msomi hesabu nyingi huku akiogopa kupoteza!
Yule asiyeenda shule hapigi hizi hesabu anajilipua na anapata uzoefu then anatoboa! We nenda kapate uzoefu kwanza hata kama utapoteza!
Wasomi wengi wa bongo hawaujui mtaa na kanuni zake coz ya kufungwa kwenye kuta nne (darasa) wakati mtaa hauna kuta nne, hauna mwanzo wala mwisho na huitaji zaidi uhalisia!
Ukipata elimu ya darasani plus elimu ya kitaa utaishi sehemu yoyote hapa duniani!
Pia ukipata elimu ya kitaa bado unaweza kuishi sehemu yoyote hapa duniani!
Ila ukipata elimu ya darasani hasa ya Tanzania kuna changamoto kadhaa zitakuathiri kwa namna moja ama nyingine!
Elimu ya Tanzania imeelemea zaidi kwenye kukariri mpaka kwenye maisha! Soma-Faulu-Upate kazi serikalini!
Nb: Ni mtazamo tu!
Hapo ilitakiwa bajaj moja uendeshe wewe mwenyewe halafu nyingine ndio umpe kijana. Kinyume na hapo lazima ule za uso.Niliwahi kununua Bajaj mbili na kuwapa Vijana, naijutia kupoteza hela yangu
Vijana wakawa ni wasumbufu, hawaleti kipande baadaye ikawa ni hasara tu
Bora hela yangu ningeenda kuilia Bata tu, maana unaweza kujikuta unaua bila kukusudia