Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 6,406
- 9,830
Nikweli Dili zozote za magumashi macho kuona yeyote huwa ana madhara kwahiyo lazima uwe nae pamoja....kuna Dili lilipigwa kwa ufundi sana wahuni walifungua maghala wakaiba tani nyingi sana za sulphur .. walinzi wote walilazwa usingizi wahuni wakapeleka chanja mbili na zote zikashibishwa mzigo chakushangaza msako ulipigwa miezi Minne bilabila....mchonga funguo akamsimulia mchepuko ndio dili likasanuka aisee Kuna brother wangu ndie alikuwa miongoni mwao sema kilichokambeba ni chawa wa tajiri murjiMimi kazi yangu ilikuwa ni kuwapokea na kuwahifadhi muda huo tunaandaa mazingira ya kuwavusha boda na ukiona hii movie imeungua ujue kuna mtu karukwa kwenye mgao
Hao ni wengi sanaKuna hadi waheshimiwa wanapiga dili za unga na kuvusha waethiopia
Huyo mchonga funguo ni wa kunyonga hafai hata bureNikweli Dili zozote za magumashi macho kuona yeyote huwa ana madhara kwahiyo lazima uwe nae pamoja....kuna Dili lilipigwa kwa ufundi sana wahuni walifungua maghala wakaiba tani nyingi sana za sulphur .. walinzi wote walilazwa usingizi wahuni wakapeleka chanja mbili na zote zikashibishwa mzigo chakushangaza msako ulipigwa miezi Minne bilabila....mchonga funguo akamsimulia mchepuko ndio dili likasanuka aisee Kuna brother wangu ndie alikuwa miongoni mwao sema kilichokambeba ni chawa wa tajiri murji
Waethiopia wanavushwa kwenda wapi?Kuna hadi waheshimiwa wanapiga dili za unga na kuvusha waethiopia
Hiyo biashara ya kuvusha wa Ethiopia na wasomali inahusisha watu wengi sana tena vigogoKuna hadi waheshimiwa wanapiga dili za unga na kuvusha waethiopia
Pombe aisee ndio jamaa akaropoka huyo jamaa ni mchawi wafunguo kufuli lolote lile hashindwi kulifunguaHuyo mchonga funguo ni wa kunyonga hafai hata bure
South Africa🇿🇦Waethiopia wanavushwa kwenda wapi?
Kila mara huwa nasema kuna watu hawatakiwi kunywa pombe wakilewa tu kwisha habari ni kuropoka tuPombe aisee ndio jamaa akaropoka huyo jamaa ni mchawi wafunguo kufuli lolote lile hashindwi kulifungua
TZ haina Mafia.Huyo Lyimo kuna siku anatayakanyaga ya kina cartel
Aliejifanya mkuda kwenye meno ya tembo tena mzungu alipitiwa
Kwahiyo labda astaafu mapema, lakini bongo ya leo kuna kila aina ya mafia ila wako low key.
Wanaenda kufanyaje?South Africa🇿🇦
Kuna muda ni bora ufunguke mapema kuliko ukaze upewe kibano halafu ufungukeKuna dogo ndio alikuwa anaanza kuuza ngada.... wakamdaka, katika mahojiano akaanza kuleta ubishi... wale majamaa walimletea chupa ya sprite akalie, jamaa alivyoona na kizibo hakijatolewa, alisema kila kituuuu 😂 😂 😂
Jamaa anaongea ukweli, kuna jamaa namfaham personally kabisa yuko ndani toka 2016 pamoja na utajiri alionao.Labda kama huna hela ya rushwa
Hilo halikuwa jukumu langu kujua wanaenda South Africa🇿🇦 kufanya nini, jukumu langu ilikuwa ni kuwapokea na kuhakiksha wanatoka Tz salama kuingia Mozambique🇲🇿Wanaenda kufanyaje?
Uongo ingekuwa hivyo matumizi ya mihadarati isinge shuhudiwa kws viwango vinavyoonekana ama nguvu zimewekwa kwenye unga kwa kiasi,na akina sunka na hizo cocaine,,mirungibangi,heroine zikiachwa zisambae na kuiharibu jamii kwa manufaa ya madon? Wa enzi hizi mpya za hoya hoya?Ishu za Madawa Tanzania mara 100 omba ukamatwe na polisi ila sio DCEA unapotea chap na hawachukui hata 100 yako mbovu.
Kuna muda wanamua tu kukufanyia roho mbaya wanakukazia ukome kuringaJamaa anaongea ukweli, kuna jamaa namfaham personally kabisa yuko ndani toka 2016 pamoja na utajiri alionao.
Mchwa umtaangazie zipo mbao tamu za kutafuna utegemeenini akatae au akubali?nakumbuka mwaka 2021 niliendaga kulima mpunga sehemu za hifazi bonde la kilombero asa wakati wa kuvuna nikaita gari lite kupakia gunia usiku kumbe wamelisanukia mara paaa hao tukashindwa kukimbia basi wakatuweka kati hawataki maelewano ni stiki wanataka wapeleke gari kituoni kiongozi wao nikamuita pembeni nikampangilia nikafika bei tukaanza kucheka nao hadi wakawa wanasaidia kupakiza gunia wanasema pakieni haraka mtoe hii gari eneo la hifadhi