Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 6,406
- 9,830
Awapi hadi leo yupo ndani tajiri mshamba kweli yule una pesa ndefu unaishi kijijini halafu mbaya zaidi kwenye simu hauna namba ya RPc wala ocd wala DC hivi unategemea nini? Na unakuwa mjinga unajifanya haupendi ccm wakati una dili chafuYes tajiri alimaliza kesi yake?
Mzee analipia gharama zipi tena....???Au mlokole Nzowa, alikuwa amenyooka balaa ila mpaka kesho analipia "unyoofu" wake.
CCM hatuna watu wachafuAwapi hadi leo yupo ndani tajiri mshamba kweli yule una pesa ndefu unaishi kijijini halafu mbaya zaidi kwenye simu hauna namba ya RPc wala ocd wala DC hivi unategemea nini? Na unakuwa mjinga unajifanya haupendi ccm wakati una dili chafu
Wangepishana na utajiriNina brother wangu JW yupo uko ..wale jamaa task force yao wamechanganya kila idara umo..kuna JW,TIS,POLISI na idara nyingine ..wakikubananisha uchomoki mzee wanakuwa wapo full details ..aliniadhitia kuwa kuna mission moja iyo ilikuwa ya kumchunguza PAPA na Taikon wa ngada mchezo umechezwa Papa kajaa mazima wakambananisha na mzigo picha linaanza jamaa alitoa m600 cash in dollar chap yani yaishie pale pale jamaa wapoozwe ugumu unakuja kuwa mmetoka vitengo tofauti alafu amjuani na amuaminiani kila mtu anamuona mwenzake snitch balaa likawa apo kuna polisi mmoja akajilipua akasema tuchukueni izi hela uyu tukimpeleka black site atapiga simu uyu atachomoka walikuwa watu 6 ..wakajilipua kila mtu 100m wakapotea wakamuachia papa mzigo wake wakampa dk10 mzigo upotee na yeye asionekane kama miezi 2 awe low key
Hujui kitu wewe Kuna shughuli ukizifanya wewe ndie unaihitaji ccm kuliko ccm kukuhitaji weweCCM hatuna watu wachafu
😃Alikua mkongwe kwenye game au njuka maana sio kawaidaCCM hatuna watu wachafu
Kama wamenyooka mbona huwa exhibits za madawa zinazofikishwa mahakamani huwa hazilingani na kiwango cha madawa wanayokamata, hivi unafahamu kuwa kuna baadhi ya maofisa wao huwa wanauza madawa hayohayo wanayoyakamata?Jamaa wamenyooka sana kwenye kazi zao mkuu
Juzi juzi tu hapa kuna papa alimalizwa mbweniJamaa wakikupoint hawajabahatisha wana file lako lote
Wauza ngada wengi wamekimbilia Mozambique hkoJamaa wakikupoint hawajabahatisha wana file lako lote
Katiba ya CCM haisemi hivyoHujui kitu wewe Kuna shughuli ukizifanya wewe ndie unaihitaji ccm kuliko ccm kukuhitaji wewe
Kuna mmoja wao aliwaambia tukiacha izi hela wakuu wanachukua izi na hatupati ata mia wakaamua kujilipua apa bongo ukiona mpaka papa anadakwa ujue mfumo umemchoka nje na apo ata umkute na evidence anawaacha mapema kabisa mnaonaWangepishana na utajiri
Loopholes zipo kila sehemu mkuu kuna namna jamaa wanafanya kazi zao kwa utulivu sana kwa kiasi fulani wamefanikiwa kuwadhibiti wauza ngada japo sio wote na hata ukifanikiwa kuwatoka basi umetoboka kweli kweliKama wamenyooka mbona huwa exhibits za madawa zinazofikishwa mahakamani huwa hazilingani na kiwango cha madawa wanayokamata, hivi unafahamu kuwa kuna baadhi ya maofisa wao huwa wanauza madawa hayohayo wanayoyakamata?
ChaiJamaa wamenyooka sana kwenye kazi zao mkuu
Wangemfikisha kwenye mfumo wasingeamini macho yaoKuna mmoja wao aliwaambia tukiacha izi hela wakuu wanachukua izi na hatupati ata mia wakaamua kujilipua apa bongo ukiona mpaka papa anadakwa ujue mfumo umemchoka nje na apo ata umkute na evidence anawaacha mapema kabisa mnaona
We jamaa 😃Chai
Amekuja kudakwa bongo?Juzi juzi tu hapa kuna papa alimalizwa mbweni
Na jamaa alitengeneza sana fedha + kuwa na mijengo
Alikuwa dizonga huko aliaribu kakimbia karudi home kadakwa sahv
Ova
Hahahahahaaaaa dogo kobaz
Wangepandishwa vyeoWangemfikisha kwenye mfumo wasingeamini macho yao
Shikuba aliwahi kutoroka china huyuInategemea una backup gani kaka...yule shikuba unadhani bila serikali ya marekani kumuhitaji Kuna mtu angeweza kumshika bongo hii? Usisahau shikuba kwao ni mchinga