Israel anajivunia akili na technologies anazouzia nchi nyingine. Ni ajabu kusema Israel haina nguvu bila Marekani

Israel anajivunia akili na technologies anazouzia nchi nyingine. Ni ajabu kusema Israel haina nguvu bila Marekani

marekani hatoagi hela yake bure bure.. sasa israel ipo kwenye budget ya US kila mwaka wanapewa kitita cha kutosha.. lazima kuna kitu US inapata kutoka israel
 
Hakuna cha ardhi za mababu wala nini.
Hii dunia kama tukisema kila mtu adai ardhi yake basi ingepasuka kwa vita dunia nzima.
*Uturuki anakaa ardhi ya Mgiriki na Muiran.
*Egypt, Algeria,Morocco wanakaa ardhi za wanubi.
*USA na Canada wanakaa ardhi ya walatini.
*Australia wanakaa ardhi ya caucasians.
Kwahiyo mwenye haki ni Israel peke yake!??
Hitler ana akili sana kuwaua hao jamaa.
Hawana shukran kabisa ukiwaacha wastawi.
Kwahiyo waarabu wanakaa ardhi ya nani vile
 
Wayahudu ndio brain kubwa zinazofanya mambo makubwa huko US , Russia, Ukraine,Iran na nchi nyingine

Hivyo sioni ajabu kwa US kumpa silaha Israel ,na ni lazima Israel ilindwe kwa manufaa ya wengi
Bila US nakwambia ile Israel ni Mbwa koko
 
Israel haipo hata top five ya mataifa yenye technology kubwa.
Muwe mnafuatilia vitu sio kuropoka ropoka.
Israel inaongoza sehem moja tu,kwenye technology ya kilimo basi.
Hadi leo Israel kuunda ndege hawezi anatumia za USA.
Myahudi hawezi kuunda ndege?
 
Wayahudu ndio brain kubwa zinazofanya mambo makubwa huko US , Russia, Ukraine,Iran na nchi nyingine

Hivyo sioni ajabu kwa US kumpa silaha Israel ,na ni lazima Israel ilindwe kwa manufaa ya wengi
kwani israel kwenye zile nchi zinazohesabika super poweer ipo?israel wana akili kuliko wa U.S ila kwenye masuala ya vita bila U.S hawawezi
 
kwani israel kwenye zile nchi zinazohesabika super poweer ipo?israel wana akili kuliko wa U.S ila kwenye masuala ya vita bila U.S hawawezi
Hizo akili hata israel wenyewe wakisikia watashangaa wanavyosifiwa , amewekwa pale kwa ahadi atalindwa ila walikuwa wanaishi kama digi digi..Yaani nchi ambayo ilipata uhuru wake 1940 na kitu .
 
Ni hao waliomuuwa Yesu, walijua ni uwongo uliosukwa, wakagawanyika, wanaoamini na wasioamini. Angalia ukristu ulivyosambaa duniani kwa maujanja yao. Myahudi ni kichwa, teknologia yote ni yeye.
 
Hakuna cha ardhi za mababu wala nini.
Hii dunia kama tukisema kila mtu adai ardhi yake basi ingepasuka kwa vita dunia nzima.
*Uturuki anakaa ardhi ya Mgiriki na Muiran.
*Egypt, Algeria,Morocco wanakaa ardhi za wanubi.
*USA na Canada wanakaa ardhi ya walatini.
*Australia wanakaa ardhi ya caucasians.
Kwahiyo mwenye haki ni Israel peke yake!??
Hitler ana akili sana kuwaua hao jamaa.
Hawana shukran kabisa ukiwaacha wastawi.
Yeye Mwenyewe akifatilia sikumoja atagundua hata apa bongo sio kwake
 
Ni hao waliomuuwa Yesu, walijua ni uwongo uliosukwa, wakagawanyika, wanaoamini na wasioamini. Angalia ukristu ulivyosambaa duniani kwa maujanja yao. Myahudi ni kichwa, teknologia yote ni yeye.
Hata hii waksikia watashangaa , nchi ambayo walimewekwa kwa guarantee ya kupewa ulinzi na UN ...Wametafutiwa mpaka eneo wao wenyewe walishindwa kujikomboa .
 
Daaah unajua mm mpk sasa siamini kama wamemua kiongozi wa magaidi ile juzi. Hawa jamaa ni hatari MNO.
All the best Israel
 
Myahudi hawezi kuunda ndege?
Big No hawezi.
Watakudanganya eti yule aliyegundua Boeing ni Myahudi Mjerumani THAT IS BIG NO.
Jamaa mjerumani pure anautwa Wilhelm Boeing.
We niambie kuna ndege ipi ya vita Israel kaunda!?
Hakuna yeye anafanyaga modification za ndege za Marekani tu.
Tena ndege ya abiria ndio kabisa hawezi.
 
Ni hao waliomuuwa Yesu, walijua ni uwongo uliosukwa, wakagawanyika, wanaoamini na wasioamini. Angalia ukristu ulivyosambaa duniani kwa maujanja yao. Myahudi ni kichwa, teknologia yote ni yeye.
Technology za wachina na wazungu bana wewe.
Myahudi zake propaganda tu.
 
Back
Top Bottom