Israel anapata wapi hiki kiburi? Ameweka rekodi ya kuuwa wafanyakazi wengi zaidi wa UN na waandishi

View attachment 2851446

Israel inaishambulia makazi ya watu, inaua watoto, wanawake, wagonjwa, waandishi wa habari, na hata wafanyakazi wa umoja wa mataifa
Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa anasema kwamba tangu kuanzishwa kwa UN haijawahi kutokea wafanyakazi wake wengi kuuawa kwenye vita kama walivyouawa na Israel

Matamko na maazimio kibao ya umoja wa Mataifa yameitaka Israel kusitisha vita lakini imejibu kwa kiburi kuwa itaendelea na mauaji hayo hata Umoja wa Mataifa usema nini

John : Kuna usemi vita haina macho, lakini kuna mambo mengi katika yanayotokea katika vita, lakini nikitaka kujikita tu katika wigo wa hoja yako, wafanyakazi wa UN Gaza maybe 99% Wako UNRWA ( Unite Nations Relief and Works Agency for Palestine Refugee) Na Waajiriwa wengi wa hilo shirika ni Wapelestina wenyewe wanaoishi hapo hapo Gaza, hivyo tegemea kwa njia moja au nyingine lazima wakumbwe na maafa ya vita kwa njia moja au nyingine, hilo haliepukiki.

Lakini pia kumekuwa na shutuma nyingi mno kwa hilo shirika la UNRWA, kwa vile ndilo linatoa msaada hapo Gaza, wa kujenga Mashule, Hospitali na misaada mingi ya kijamii nk, limekuwa kimya mno Hamas inapotumia infrastructures za UN kama kujenga Mahandaki, kutumia misaada ya vifaa kwa ajili ya vita, na mateka baadhi walioachiliwa wamedai walikuwa wamefichwa katika sehemu za UNRWA.....Kwa kifupi baadhi ya wafanyakazi wa UNRWA moja kwa moja hapo Gaza wameshindwa kuwa neutral, baada ya tu ya tukio la October 7, baadhi ya Wafanyakazi wa UNRWA moja kwa moja walitumia mitandao ya ofisini kupongeza tukio hilo, hii ililetea shida UN na ilishindwa kutoa tamko la wazi kupinga hilo.

Hivyo msimo wa Israel umekuwa kutojali chochote kile kutoka UN kwani wanaona wazi iko biased in favor of Hamas! Matamko mengi yanakuwa kwa upande wao wasimamishe mapigano, lakini haionyeshi Hamas ifanye nini. Usalama wa taifa lao ni muhimu kuliko kitu chochote kile, kama agenda ya UN hawaisadii wanaipuuza tu, na kujua mara nyingi haina meno yoyote yale.
 
Nipe na clip akikemea vifaa vyenye nembo yao kutumika na hamas kuanzia vest,mabegi,bendera kofia
Kwa nini nikupe clip ambayo siijui, sijaiona na hata sina uhakika kwamba ipo?

Yani unataka nikufanyie kazi yako, clip unaijua wewe, unaitaka wewe, kuweka niweke mimi? Una uvivu wa asili au umesomea kozi maalum iliyokuongezea uvivu wa kusomea?

Umesema UN haijawahi kukemea Hamas kwa mauaji ya October 7, nimekuwekea clip ya Guterres akikemea, hilo limeonesha ulichosema awali ni uongo.

Umekubali hilo?
 
View attachment 2851446

Israel inaishambulia makazi ya watu, inaua watoto, wanawake, wagonjwa, waandishi wa habari, na hata wafanyakazi wa umoja wa mataifa
Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa anasema kwamba tangu kuanzishwa kwa UN haijawahi kutokea wafanyakazi wake wengi kuuawa kwenye vita kama walivyouawa na Israel

Matamko na maazimio kibao ya umoja wa Mataifa yameitaka Israel kusitisha vita lakini imejibu kwa kiburi kuwa itaendelea na mauaji hayo hata Umoja wa Mataifa usema nini

Tatizo kubwa ni baadhi ya taasisi zilizotakiwa kuwa neutral, zimegeuka kuwa sympathizers wa HAMAS.

Ukiangalia orodha ya wafanyakazi wa UN waliouawa na taasisi nyingine kama Red Crescent, kuna uwezekano mkubwa wamekuwa wanatumika kwa maslahi ya HAMAS. Jiulize kama kuna siku moja mashirika kama Red Crescent wamewahi kufanya jitihada zozote kujua kama wale waliochukuliwa mateka na Hamas wapo salama na wanatendewa haki.

Wanahabari nao ni hivyo hivyo. Fikiria uovu wa kupindukia uliofanywa na HAMAS ile Oct 7. Mabinti wa Kiisrael walibakwa na baada ya kubakwa wakauawa kwa kukatwa shingo. Baadhi ya watoto chini ya miaka 10 waliuawa kwa kukatwa shingo. Ni taarifa zilizothibitishwa, lakini habari hizo ziliandikwa na vyombo vichache sana vya habari, tena vile ambavyo havina reporters wa moja kwa moja huko Gaza. Wanahabari wamekuwa wakifanya kazi kwa manufaa ya HAMAS.

Na hali ikishakuwa hivyo, usitarajie adui yako atawatenganisha. UN na nchi za kiarabu, kama kweli ina dhamira njema, ilistahili kuwatenganisha raia na hao magaidi wa HAMAS. Maadam magaidi ya HAMS yameamua kuwatumia raia kama kinga, na nchi za kiarabu na UN wameikubali hali hiyo, basi ina maana wamebariki vifo vya wale wasiohusika. Na hapo ndipo ulipo unafiki wa Waarabu na UN.
 
The bonds between UNRWA and Hamas are as broad as they are deep. UNRWA employs more than 13,000 Gazans, many of whom are active Hamas members and holders of senior positions in the internationally sanctioned terrorist organization. Hamas has absolute control of UNRWA schools, which constitute the majority of educational institutions in Gaza. The curriculum taught in these schools is openly pro-terrorist and pro-genocide, which should come as no surprise given the horrific Oct. 7 massacre committed by Hamas and UNRWA-educated Gazans.

Indeed, UNRWA itself often acts very much like a terrorist organization. It owns and operates extensive property assets in Gaza—such as offices, storage facilities, clinics and other medical centers—that serve as access points to the attack tunnels built by Hamas, storehouses for ammunition and rocket launch pads. These UNRWA installations also enable Hamas to use the civilian population of Gaza as human shields. UNRWA ambulances have been repeatedly caught red-handed transporting terrorists and weapons, and have been actively involved in attacks against Israeli soldiers and civilians. Clearly, UNRWA and Hamas are inextricably intertwined.
 
Israel ni sehemu ya Marekani.
Kila kinachofanyika hapo kina baraka la Marekani.
UN haina meno kung'ata taifa la Marekani.
Na bajeti ya UN kwa asilimia 80 anaye igharamia ni mmarekani.
 
Tukumbushane tu, nilisema HAMAS watasababisha maafa kwa kuichokoza Israel. Mkshangilia vurugu za hamas.

It is not over until it is over.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2851446

Israel inaishambulia makazi ya watu, inaua watoto, wanawake, wagonjwa, waandishi wa habari, na hata wafanyakazi wa umoja wa mataifa
Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa anasema kwamba tangu kuanzishwa kwa UN haijawahi kutokea wafanyakazi wake wengi kuuawa kwenye vita kama walivyouawa na Israel

Matamko na maazimio kibao ya umoja wa Mataifa yameitaka Israel kusitisha vita lakini imejibu kwa kiburi kuwa itaendelea na mauaji hayo hata Umoja wa Mataifa usema nini
Vita Haina macho!! Ukijifanya jasiri wa kuukaribia uwanja wa vita lazima ufe
 
View attachment 2851446

Israel inaishambulia makazi ya watu, inaua watoto, wanawake, wagonjwa, waandishi wa habari, na hata wafanyakazi wa umoja wa mataifa
Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa anasema kwamba tangu kuanzishwa kwa UN haijawahi kutokea wafanyakazi wake wengi kuuawa kwenye vita kama walivyouawa na Israel

Matamko na maazimio kibao ya umoja wa Mataifa yameitaka Israel kusitisha vita lakini imejibu kwa kiburi kuwa itaendelea na mauaji hayo hata Umoja wa Mataifa usema nini
Tatizo linanzia Hamas, Hamas baada ya kujiaminisha wako salama baada ya kujenga Mahandaki ya chini kabisa ardhini, na baada ya kuaminishwa na Iran, Yemen, Lebanon na Mataifa ya Kiarabu kuwa watapata misaada yote ya kijeshi, wakaenda kuivamia Israel tarehe 7/10/2023 na kuuawa watu 1,400. Hamas walitegemea Nini kumwamsha Simba aliyelala? Halafu ujinga wa Hamas wanaamini kwa miaka yote kuwa wataifuta Israel! Huku ni kujidamganya, badala yake watafutika wao. UN haitaweza, maandamano ya Dunia hayataweza, hili ni suala la unabii uliomo katika Amos 9:15 kwamba nitawarejesha Israel Kutoka nilikowatawanya (kumbuka Israel walipigwa na Warumi wakatawanywa), na utabiri unaendelea kusema, wakirudi Israel, hakuna atakayewatoa. UN haitaweza, maandamano ya Dunia hayataweza mpaka unabii utimie,Hamas wakishupaza shingo watapotezwa mazima.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2851446

Israel inaishambulia makazi ya watu, inaua watoto, wanawake, wagonjwa, waandishi wa habari, na hata wafanyakazi wa umoja wa mataifa
Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa anasema kwamba tangu kuanzishwa kwa UN haijawahi kutokea wafanyakazi wake wengi kuuawa kwenye vita kama walivyouawa na Israel

Matamko na maazimio kibao ya umoja wa Mataifa yameitaka Israel kusitisha vita lakini imejibu kwa kiburi kuwa itaendelea na mauaji hayo hata Umoja wa Mataifa usema nini
Hayo majitu ni makatili sana. Huwa hayaoni kazi kuua familia/ukoo wote kwa kombora. Bila shaka Mmarekani Joe Biden ndiye anayewapa kiburi.
 
Kwa nini nikupe clip ambayo siijui, sijaiona na hata sina uhakika kwamba ipo?

Yani unataka nikufanyie kazi yako, clip unaijua wewe, unaitaka wewe, kuweka niweke mimi? Una uvivu wa asili au umesomea kozi maalum iliyokuongezea uvivu wa kusomea?

Umesema UN haijawahi kukemea Hamas kwa mauaji ya October 7, nimekuwekea clip ya Guterres akikemea, hilo limeonesha ulichosema awali ni uongo.

Umekubali hilo?
Umejitolea kuleta utetezi basi nionyeshe na clip UN wakijitetea kuhus Vest,mabegi,bendera na kofia kutumiwa na hamas sina swali zaidi ya hapo
[URL unfurl="true"
media="twitter:1738649204640129444"]
View: https://twitter.com/TheMossadIL/status/1738649204640129444?t=mDBK83raFH4UlGX8l2PUzA&s=19[/URL]
 
View attachment 2851446

Israel inaishambulia makazi ya watu, inaua watoto, wanawake, wagonjwa, waandishi wa habari, na hata wafanyakazi wa umoja wa mataifa
Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa anasema kwamba tangu kuanzishwa kwa UN haijawahi kutokea wafanyakazi wake wengi kuuawa kwenye vita kama walivyouawa na Israel

Matamko na maazimio kibao ya umoja wa Mataifa yameitaka Israel kusitisha vita lakini imejibu kwa kiburi kuwa itaendelea na mauaji hayo hata Umoja wa Mataifa usema nini
Wakiristo kimya kwa sababu mwenzao. Wangalikua wanauliwa Wakiristo ungalisikia siju NATO. Tunaona Ukraine akiuliwa mbwa tu unaona. Lkn tunaosoma quran tunajua haya
 
The bonds between UNRWA and Hamas are as broad as they are deep. UNRWA employs more than 13,000 Gazans, many of whom are active Hamas members and holders of senior positions in the internationally sanctioned terrorist organization. Hamas has absolute control of UNRWA schools, which constitute the majority of educational institutions in Gaza. The curriculum taught in these schools is openly pro-terrorist and pro-genocide, which should come as no surprise given the horrific Oct. 7 massacre committed by Hamas and UNRWA-educated Gazans.

Indeed, UNRWA itself often acts very much like a terrorist organization. It owns and operates extensive property assets in Gaza—such as offices, storage facilities, clinics and other medical centers—that serve as access points to the attack tunnels built by Hamas, storehouses for ammunition and rocket launch pads. These UNRWA installations also enable Hamas to use the civilian population of Gaza as human shields. UNRWA ambulances have been repeatedly caught red-handed transporting terrorists and weapons, and have been actively involved in attacks against Israeli soldiers and civilians. Clearly, UNRWA and Hamas are inextricably intertwined.
Hebu naomba link ya chanzo cha habari cha kuaminika kinachosema kuwa
1. Wafanyakazi wa UN waliisadia Hamas katika mashambulizi ya October 7

2. Wafanyakazi wa UN wanawapa Hamas vifaa vya misaada kwenye kujiandaa ma vita
 
Hiv wafanyakaz wa UN wanakuwepo ndan ya uwanja wa vita ??!

Huw Majukum yao n nn
 
View attachment 2851446

Israel inaishambulia makazi ya watu, inaua watoto, wanawake, wagonjwa, waandishi wa habari, na hata wafanyakazi wa umoja wa mataifa
Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa anasema kwamba tangu kuanzishwa kwa UN haijawahi kutokea wafanyakazi wake wengi kuuawa kwenye vita kama walivyouawa na Israel

Matamko na maazimio kibao ya umoja wa Mataifa yameitaka Israel kusitisha vita lakini imejibu kwa kiburi kuwa itaendelea na mauaji hayo hata Umoja wa Mataifa usema nini
Kama ilivyoshindwa "League of Nations, LN' hapo awali katika kutafuta amani na usalama wa kudumu wa dunia, na hivyo kupelekea kuanzishwa kwa "United Nations, UN', ndivyo ambavyo nayo inavyoonekana na kulaumiwa na mabwana wa dunia kuwa imeshindwa. Sasa muda umefika wa dunia kuja na mpango mpya wa utawala "New World Orders, NWO" kwa kile kinachodaiwa dunia iwe sehemu salama na bora ya kuishi.

Ili kutimiza dhamira hii, kuna vitu vikubwa vinapaswa kudhibitiwa, ambavyo ni uwepo wa serikali na dini nyingi duniani, ambazo zinadaiwa kuwa chanzo cha chuki, uhasama, na machafuko sehemu nyingi duniani. Kwa hiyo basi vinapaswa vyote hivi chini ya "single controlling super-power".

Kuanzia sasa tutayaona na kuyasikia mengi yenye kutisha, ameanza Papa kulegeza msimamo wa asili wa kanisa Katoliki juu ya na vitu na mahusiano na watu wanaojihusha na mahusiano wa kijinsia, Tumesikia mrithi wa kiti cha ufalme Saudi Arabia akitoa wito wa kupuuziwa na hata kuondolewa kwa hadithi nyingi zimuhusuzo mtume Muhamad wa Kiislamu, kwa haziendani na ustaarabu wa sasa wa dunia.

Vita na tetesi za vita ndiyo habari kuu inayotawala katika vyombo vya habari ulimwenguni kote. Hitaji kubwa la dunia kwa sasa ni uwepo wa mpango mpya ambao utapelea kupatika kwa amani ya kudumu katika sura dunia, ili kila mtu apate kuishi kwa furaha.

"If you want some, come and take some, Satan is here to unveil his chosen leader to serve that golden purpose. Beware, this is not a conspiracy theory, it is something real".
 
Tatizo kubwa ni baadhi ya taasisi zilizotakiwa kuwa neutral, zimegeuka kuwa sympathizers wa HAMAS.

Ukiangalia orodha ya wafanyakazi wa UN waliouawa na taasisi nyingine kama Red Crescent, kuna uwezekano mkubwa wamekuwa wanatumika kwa maslahi ya HAMAS. Jiulize kama kuna siku moja mashirika kama Red Crescent wamewahi kufanya jitihada zozote kujua kama wale waliochukuliwa mateka na Hamas wapo salama na wanatendewa haki.

Wanahabari nao ni hivyo hivyo. Fikiria uovu wa kupindukia uliofanywa na HAMAS ile Oct 7. Mabinti wa Kiisrael walibakwa na baada ya kubakwa wakauawa kwa kukatwa shingo. Baadhi ya watoto chini ya miaka 10 waliuawa kwa kukatwa shingo. Ni taarifa zilizothibitishwa, lakini habari hizo ziliandikwa na vyombo vichache sana vya habari, tena vile ambavyo havina reporters wa moja kwa moja huko Gaza. Wanahabari wamekuwa wakifanya kazi kwa manufaa ya HAMAS.

Na hali ikishakuwa hivyo, usitarajie adui yako atawatenganisha. UN na nchi za kiarabu, kama kweli ina dhamira njema, ilistahili kuwatenganisha raia na hao magaidi wa HAMAS. Maadam magaidi ya HAMS yameamua kuwatumia raia kama kinga, na nchi za kiarabu na UN wameikubali hali hiyo, basi ina maana wamebariki vifo vya wale wasiohusika. Na hapo ndipo ulipo unafiki wa Waarabu na UN.
Wafanyakazi wa UN wamewasaidia Hamas kwa namna gani?
Na hayo mashambulizi ya Hamas mbona yaliripotiwa na vyombo vya habari hata vile ambavyo vinashtumiwa kuwa ni pro Hamas

Hizo habari unazosena hazijawa reported tutajuaje kana ni kweli
 
Back
Top Bottom