Israel imemuua Jenerali wa Iran Sayyed Razi Mousa vita vinaweza kuenea sehemu kubwa

Hamna kitu Israel itafanywa na Iran. Na kwa sasa jeshi la Israel lipo chonjo silaha ziko standby ili yeyote atakayejitokeza kulipiza kisasi cha shahidi huyu IRGC Brigadier General Reza Mousavi apigwe.

Israel haibembelezi, Brigadier General wa Iran alikuwa amejificha Syria anatoa maelekezo akapigwa. Na uzuri haijakana imetangaza.
 
BREAKING:

⚡ 🇮🇷 Iranian President:

"Israel will undoubtedly pay for this heinous crime"

'Israel on highest state of alert, awaiting possible Iranian response' - the Kann / N12 announced.

Reportedly, Brigadier-General Mousavi was in charge of logistics and arms shipments to Hezbollah and Iranian-backed groups in Syria

Israeli media are describing him as the 'highest ranking' Iranian official killed since Qasem Soleimani.

*Iran is acting very "patiently" and the answer will probably come after some time. In my opinion, Iran will also close the Mediterranean for commercial ships going to Israel, with kamikaze drones from Lebanon and will plunge Israel into a dangerous economic crisis and lack of many goods.
 
Hamna kitu Israel itafanywa na Iran. Na kwa sasa jeshi la Israel lipo chonjo silaha ziko standby ili yeyote atakayejitokeza kulipiza kisasi cha shahidi huyu IRGC Brigadier General Reza Mousavi apigwe.

Israel haibembelezi, Brigadier General wa Iran alikuwa amejificha Syria anatoa maelekezo akapigwa. Na uzuri haijakana imetangaza.
Habari sijaifatilia ila kama israhell kafanya na iran kasema atajibu basi nisuala la muda tu
Suala la israhell kwenda kuipiga iran hili usahau
Iran si katangaza rasmi kama anaunga mkono alicho ama anachokifanya hamas kuanzia kule israhell mpaka ghaza haya israhell kapoteza wanajeshi wangapi kamfanya nini iran au ndio kaenda kujibu mapigo
Kwamujibu wa habari hapo toka iran huyo bwana alikua ni mstaafu kama sijakosea
Israhell anapigwa kule na Lebanon wanauliwa wanajeshi wake ambao wanajulikana kabisa lebanon mtoto wa iran
Israhell hana ustand by amalizane kwanza na hamas hawezi pigana na iran
Hawa wataendelea na proxy tu utaona hawa wakipigana direct endapo mmoja wapo atashambulia ardhi za mwenzie direct nani jambo ambalo hamna atakae fanya si israhell wala iran
Kama hujui proxy za iran na israhell utaona hili jambo kuubwa ila lakawaida sanaaaaaaaa
 
SASA SISI INATUHUSU NN???
WACHA WAPIGANE TUJUE MBABE NA SIO NGONJERA ZA KWRNYE MIHADHARA

Nakuona umeshiba pilau la krismasi mkuu

Iran wamevumilia sana uchokozi wa mazayuni, ila anachokitafuta mzayuni wenu atakipata soon, nadhani umeona Hamas anavyowafanya, siku 4 zilizopita mpaka hiyo jana wameuawa wanajeshi 48. Sasa subiri mziki wa Iran na hezbo utakuja kusimulia.
 
Habari sijaifatilia ila kama israhell kafanya na iran kasema atajibu basi nisuala la muda tu
Suala la israhell kwenda kuipiga iran hili usahau
Iran si katangaza rasmi kama anaunga mkono alicho ama anachokifanya hamas kuanzia kule israhell mpaka ghaza haya israhell kapoteza wanajeshi wangapi kamfanya nini iran au ndio kaenda kujibu mapigo
Kwamujibu wa habari hapo toka iran huyo bwana alikua ni mstaafu kama sijakosea
Israhell anapigwa kule na Lebanon wanauliwa wanajeshi wake ambao wanajulikana kabisa lebanon mtoto wa iran
Israhell hana ustand by amalizane kwanza na hamas hawezi pigana na iran
Hawa wataendelea na proxy tu utaona hawa wakipigana direct endapo mmoja wapo atashambulia ardhi za mwenzie direct nani jambo ambalo hamna atakae fanya si israhell wala iran
Kama hujui proxy za iran na israhell utaona hili jambo kuubwa ila lakawaida sanaaaaaaaa
Mpaka sasa israel kapoteza wanajeshi 157 hamas wamepoteza wapiganaji 7000 na hellbullah wapoteza viongozi wao wakuu karibia 200+
 
Iran inafanya kazi "kwa uvumilivu" sana na jibu labda litakuja baada ya muda fulani. Kwa maoni yangu, Iran pia itaifunga Bahari ya Mediterania kwa meli za kibiashara zinazokwenda Israel, kwa kutumia ndege zisizo na rubani za Kamikaze kutoka Lebanoni na itaitumbukiza Israel katika mgogoro hatari wa kiuchumi na ukosefu wa bidhaa nyingi.
 
Hamna kitu Israel itafanywa na Iran. Na kwa sasa jeshi la Israel lipo chonjo silaha ziko standby ili yeyote atakayejitokeza kulipiza kisasi cha shahidi huyu IRGC Brigadier General Reza Mousavi apigwe.

Israel haibembelezi, Brigadier General wa Iran alikuwa amejificha Syria anatoa maelekezo akapigwa. Na uzuri haijakana imetangaza.
Kwa hasara ambayo amesha ipata Israel mpaka sasa kutoka kwa makundi yanayo ungwa mkono na Iran ilikuwa ni sababu tosha ya Israel kutangaza vita na Iran lakini hawezi thubutu kufanya huo ufala maana anajua ni kipi kitamkuta.

Hivi hujiulizi ni kwann Israel inakwepa kuingia vitani kamili na Hizbulah licha ya kundi hilo kufanya mashambulizi ndani ya Israel karibia kila siku?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Siku hizi wanasema mazayuni hapo wamekinukisha wenyewe. Iran hawezi kukubali kabisa ikapita hivihivi tu.
Mfyuuu...kwani ni mara moja kuuwa hao mageneral? Mbona soleiman alichinjwaa, juzi hapa tena mtengeneza silaha kaliwa kichwa hapo hapo iran na hakuna chochote wanafanya? Mfyuu ni umbwaa tu anabweka na kuingiza mkia miguuni..
 
Aliuliwa iran ipi au ya pale jirani yenu
 
Mfyuuu...kwani ni mara moja kuuwa hao mageneral? Mbona soleiman alichinjwaa, juzi hapa tena mtengeneza silaha kaliwa kichwa hapo hapo iran na hakuna chochote wanafanya? Mfyuu ni umbwaa tu anabweka na kuingiza mkia miguuni..
Aliuliwa iran ipi au ya pale jirn
 
Mossad washafanya yao! Irani ivamieni Israel acheni uonga. Mossad ni shida. Jamaa ukute walikuwa wanamfuatilia hadi akiwa anakunya.😁
 
Back
Top Bottom