Israel imemuua Jenerali wa Iran Sayyed Razi Mousa vita vinaweza kuenea sehemu kubwa

Israel imemuua Jenerali wa Iran Sayyed Razi Mousa vita vinaweza kuenea sehemu kubwa

Hiyo inaitwa akikupiga ngumi ya jicho nawe mpige ya sikio. Akikuuliza unaonaje, nawe muulize unajisikiaje😀😀😀😀😀😀
October 7 mlishangilia sana naye anafanya october 7 kwa wapelestina kwahiyo mkae kwa kutulia tu ili nanyi msikie maumivu
Umri wako mdogo vita Israel na Palestina umevujulia JF kabla ya October 7 hufahamu chochote wewe endelea na ushabiki mandazi hii vita imeanza miaka 75 iliyopita kabla ya October 7 unajua Waisrael walichofanya Masjd Al Alqsa?
 
Walikojolea na kunyea humo Masjid Al Aqsa. Kuna vitu vya ajabu sana duniani na katika kosa kubwa lililofanyika duniani ni kuruhusiwa kuzaliwa kwa Muddy(56) mme wa bi. Aisha (9) maana kasababisha mambo ya hovyo sana humu duniani.

Yaani Mkuresh ambaye mungu wake lile jiwe jeusi la pale macca leo anaenda kung'ang'ania eneo lingine na kusema mungu wake amempa eneo la ibada la Mungu mwingine. Yaani muarabu ambaye hana uhusiano wowote na myahudi leo analazimisha mungu wake kampa eneo la kuabudia la myahudi. Eti nilisalisha swala pale na manabii wa kiyahudi aliwaongoza swala waliozaliwa na kufa miaka dahali nyuma yake. Yaani mungu anayesikia maombi ya kiarabu akawasalishe na kuwaongoza watu wasiojua kiarabu. Mambo vurugu vurugu tupu.
 
Siku hizi wanasema mazayuni hapo wamekinukisha wenyewe. Iran hawezi kukubali kabisa ikapita hivihivi tu.
Story za magazeti hizi, Israel mpaka unaona inafanya strike ya namna hiyo hizo hesabu zoooote unazojua zilishafanyika.

Qasem Soleimani was killed in air strike inside Tehran by so called US Army, lakini ukwlei walikuwa wanatekeleza interest of Israel.......Iran ili vow kulipiza kisasi kisicho mithirika, now its going 4 years nothing tangible ever happened.

Western Country Plus Israel, ni wadhulumu haki za watu, wauaji na watu wanaotengeneza vita nyingi zinazo sababibisha uhalifu wa maisha ya watuu, but who can dare to touch them? nobody because of economic power they have, millitary capability they have....
1703564178918.png
 
Wanaukumbi.

BEIRUT, Des 25 (Reuters) - Shambulio la anga la Israel nje ya mji mkuu wa Syria Damascus siku ya Jumatatu lilimuua mshauri mkuu katika Walinzi wa Mapinduzi ya Iran, vyanzo vitatu vya usalama vilisema.

Vyanzo hivyo vililiambia shirika la habari la Reuters kwamba mshauri huyo anayefahamika kwa jina la utani la Sayyed Razi Mousavi, alihusika kuratibu muungano wa
kijeshi kati ya Syria na Iran.
===============

BEIRUT, Dec 25 (Reuters) -An Israeli air strike outside the Syrian capital Damascus on Monday killed a senior adviser in Iran’s Revolutionary Guards, three security sources said.

The sources told Reuters that the adviser, known by his nickname Sayyed Razi Mousavi, was responsible for coordinating the military alliance between Syria and Iran.

View: https://x.com/megatron_ron/status/1739305576100757507?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

====================
🇮🇷TAMKO RASMI LA IRAN: ISRAEL WATALIPA BEI YA KUMUUA REZA MOUSAVI

Walinzi wa Mapinduzi ya Irani:

"Shirika la Kizayuni litalipa gharama ya uhalifu wa kumuua mmoja wa washauri wetu wa zamani wa kijeshi nchini Syria.

Mshauri ambaye aliuawa na kundi la Kizayuni alikuwa na jukumu la kitengo cha usaidizi cha mhimili wa upinzani nchini Syria.

Chanzo: Al Jazeera

Warabu maneno matupu.....Dpw
 
Story za magazeti hizi, Israel mpaka unaona inafanya strike ya namna hiyo hizo hesabu zoooote unazojua zilishafanyika.

Qasem Soleimani was killed in air strike inside Tehran by so called US Army, lakini ukwlei walikuwa wanatekeleza interest of Israel.......Iran ili vow kulipiza kisasi kisicho mithirika, now its going 4 years nothing tangible ever happened.

Western Country Plus Israel, ni wadhulumu haki za watu, wauaji na watu wanaotengeneza vita nyingi zinazo sababibisha uhalifu wa maisha ya watuu, but who can dare to touch them? nobody because of economic power they have, millitary capability they have....View attachment 2853274
Warabu wanajua kutuibia tu mabanadari yetu kwa rushwa......hawana lolote
 
ni bora Iran ifanye hivyo, tena ifanye mapema kabisa ili Israel watafute solution ya kudumu mapema. elewa neno "solution ya kudumu".
Bado tu mpo kwenye propaga tu hata vita ya gaza haijawafundisha kuelewa kuwa vita sio kucheza sindimba?
 
🇮🇷 Iran's foreign minister, Amir Abdollohian, threatened israel after the assassination:

“Tel Aviv should expect a tough countdown.”
 
Marekani na washirika wake wanamtafuta sana Iran ni sababu tu ya kumshambulia moja kwa moja hawajaipata ila wanaisaka kwa udi na uvumba.
iran isibweteke ijifunze kwa Iraki.
mrusi hakuweza kumtetea Iraki, libya, Afghanistan &co nchi zao zisisambaratishwe.
 
Saa hizi wanajipanga wanajisogeza sogeza na wanatayarisha upinzani wa Serikali ya Iran ukinukishe ndani ya Iran kama walivyofanya Libya na Iraq. Sema wameminywa tu.
 
Kitu ambacho Iran haikijui ni kwamba MOSAID wako ndani ya nchi yake hata kwenye vyombo vyake vya Intelijensia pamoja na jeshi lake!
Kila mkakati ambao Iran inapanga dhidi ya Israeli, Israeli inajua!
 
Brigadier General, Reza Mousavi alikuwa mtoto na mgonjwa?

Hujafuatilia sasa unajibu nini hapa?

Ndio Israel kaua Brigadier General wa Iran. Aya ilete hiyo Iran ifutukute, nayo imuue Brigadier General au ifanye maafa makubwa kwa Israel.

Israel directly kaua maofisa wa jeshi la Iran kibao pale Syria, vilevile Israel kaua maofisa kadhaa wa nyuklia wa Iran tena bila suicide bombing wala terrorism, ni pure military and intelligence actions. Zingatia neno directly.

Kama unataka majina mengine sema nikutajie. Kisha taja ofisa yeyote wa Mossad au IDF aliyeuwawa directly na Iran akiwa Israel au kwa mshirika wake.

Aaah wapi, acha longolongo iteni hao Iran wafanye wanalofanya. Brigadier General Mosuavi yuko stationed na serikali yake pale Syria akifanya coordination ya kijeshi baina ya Iran na Syria leo unamuita mstaafu kisa kafa.
Mtu alikuwa anacoordinate fedha na silaha kwenda kwa vikundi rafiki wa Iran unamuita mstaafu. Hamas na Hezbollah zimepata sana fedha na silaha kutoka kwake.

Hezbollah mpaka juzi imetangaza wapiganaji wake waliouwawa na Israel ni 117 tangu October 7.
Taja idadi ya Israel inayodai wanajeshi wake wameuwawa na Hezbollah tulinganishe nani anadundwa.

Kuna maofisa wawili wa ngazi ya chini kwenye mojawapo ya ranks 5 za majenerali wa Iran waliuwawa na Israel palepale Syria, ni kama 2 weeks ago na TASNIM ilitangaza. Ni mwendelezo huu, Israel itaua maofisa wa Iran ikijisikia hapo Syria na ndio kupambana kwenyewe au wewe unataka wapambane uso kwa uso. Si uiombe Iran ianzishe idundwe, we uliona wapi Israel inaanzisha vita?

You are right except that hili sio jambo dogo, ni jambo kubwa. Unamchukulia Brigadier General kama jambo dogo kwa Iran?
Heheeeeee mbna unapovukwa sana kiongozi
Sijafatilia sana nje ya mtoa mada wa hapa jf
Iran anafadhili Hizbullah anafadhili hamas amabao wameua wanajeshi zaidi ya 300 wa israhell au unataka iran ifanye kubwa gani
Pili unaposikia direct sio kama hii unayoisema wewe eti wanajiingiza wahuni fulani ndani ya iran wanamuua mtu fulani huu uoga wahali ya juu
Direct niwamuue huyo kamanda akiwa ndani ya mipaka ya iran kwakutumia hio hio drone halaf wajitangaze au hao hao waliowaua ndani ya mipaka ya iran nitajie lini israhell ilitoka hadharani ikadai kuhusika kama wao ndio waloua
Israhell ilianzisha vita kwakuivamia misri nk nk nk
Naomba wewe unitajie iran lini ilianzisha vita dhidi ya mwengine
Mwisho sija dharau cheo cha aliouliwa nimepuuza namna waliotumia kumuua sababu niuoga wa hali ya juu
Suala la Hizbullah haijalishi Hizbullah wangapi wamekufa dhidi ya israhell wangapi ila inajalisha nani anawafadhili Hizbullah kuwaua wanajeshi wa israhell
Mwisho kabisa proxy na kuviziana kati ya iran na israhell haitakaa iishe ila hutakuja kusikia israhell kafanya ujinga wakuipiga iran ndani ya mipaka yake hata United Shits Of Americant hawezi
Iran haina history yakuanzisha vita kama israhell alipofanya dhidi ya misri ama United Shits Of Americant ila akianzwa waanzaji watapigika mbaya mbovu
 
Israel haijawahi anzisha vita, inawasubiri muanzishe wenyewe ili ikiwatandika msiseme mmeonewa. Adui asitafute janjajanja ya kuja kulalamika baadae kama anaona ana uwezo dhidi ya Israel, aende direct ashambulie.

Hezbollah kwenye taarifa zao rasmi imedai wapiganaji wake 117 hadi sasa wameuwawa na Israel. Basi Hezbollah iingie vitani, mbona Hamas walianzisha wenyewe na sasa hivi wanabaki wamevaa chupi tu kwenye uwanja wa mpira pale Gaza
View: https://twitter.com/clashreport/status/1739337970191049051?t=rGemRQgMoSSA0eBCLyEMVQ&s=19

Israhell washaanzisha vita waliwapiga ambush misri gugo huko utapata majibu
Iran haijawahi kuanzisha vita tokea itawaliwe na watu wenye akili
Hizbullah hii hii ilimlazmisha mzayuni aachie baadhi ya maeneo kule kusini mwa Lebanon
Hamas wanao vaa chupi wako wapi mnakamata watu mahospitalini mnasingizia hamas
 
Kitu ambacho Iran haikijui ni kwamba MOSAID wako ndani ya nchi yake hata kwenye vyombo vyake vya Intelijensia pamoja na jeshi lake!
Kila mkakati ambao Iran inapanga dhidi ya Israeli, Israeli inajua!
Hongera mkuu yaani wewe umejua ila iran hawajui
Bila yashaka utakua upo kwenye taasisi nyeti hapo njini kwenu
 
Story za magazeti hizi, Israel mpaka unaona inafanya strike ya namna hiyo hizo hesabu zoooote unazojua zilishafanyika.

Qasem Soleimani was killed in air strike inside Tehran by so called US Army, lakini ukwlei walikuwa wanatekeleza interest of Israel.......Iran ili vow kulipiza kisasi kisicho mithirika, now its going 4 years nothing tangible ever happened.

Western Country Plus Israel, ni wadhulumu haki za watu, wauaji na watu wanaotengeneza vita nyingi zinazo sababibisha uhalifu wa maisha ya watuu, but who can dare to touch them? nobody because of economic power they have, millitary capability they have....View attachment 2853274
Huu umbea umeupata wapi ewe mzayuni wa jf
Soleiman hakuuliwa tehran acha kupotosha watu
 
Marekani na washirika wake wanamtafuta sana Iran ni sababu tu ya kumshambulia moja kwa moja hawajaipata ila wanaisaka kwa udi na uvumba.
iran isibweteke ijifunze kwa Iraki.
mrusi hakuweza kumtetea Iraki, libya, Afghanistan &co nchi zao zisisambaratishwe.
Wanataka sababu ipi
Anawaunga mkono Hizbullah waliomchapa israhell mwaka 2006 naleo wanampiga
Anawaunga mkono hamas waloua Waisrahell zaidi ya 1400 na wanajeshi zaidi ya 500
Bado tu hawajapata sababu ya kumchapa
Iran wala hana shida na msaada wa mtu akitaka kufanya jambo lake anatoa tu dozi
 
Kwani wameanza kuuwawa leo? Huko Syria walikuwa wanapanga mashambulizi dhidi ya Israel. Israel pia ina haki ya kujilinda🤔
 
Back
Top Bottom