Nimewachokoza pro-Hamas kwa makusudi.Hongera mkuu yaani wewe umejua ila iran hawajui
Bila yashaka utakua upo kwenye taasisi nyeti hapo njini kwenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimewachokoza pro-Hamas kwa makusudi.Hongera mkuu yaani wewe umejua ila iran hawajui
Bila yashaka utakua upo kwenye taasisi nyeti hapo njini kwenu
Mkuu nilikuwa nachokoza pro-Hamas nisikie !😄😄iran haijui ila wewe unajua..!😅
sawaMkuu nilikuwa nachokoza pro-Hamas nisikie !😄😄
Amefanya nini..sema hapa...hakuna kitu, hawana uwezo huo..wataishia kubweka tu kama vile wewe unavyobweka humu jfHauelewi Wairan walichokifanya baada ya hapo? Utakuwa na akili za samaki.
Tena aliweka hadi kizungu ili tu atuchanganye kina sisi mkuu asante sana.Huu umbea umeupata wapi ewe mzayuni wa jf
Soleiman hakuuliwa tehran acha kupotosha watu
Hana lugha za kibunge na kiwaziri kabisaNdugu Ritz ,wewe ni mkongwe humu jukwaani, kuona umeandika neno hilo kwa kumuuita mwanajukwaa naona si sahihi.
Tutofautiane na kupingana kwa hoja kwa stara.
BREAKING:Brigadier General, Reza Mousavi alikuwa mtoto na mgonjwa?
Hujafuatilia sasa unajibu nini hapa?
Ndio Israel kaua Brigadier General wa Iran. Aya ilete hiyo Iran ifutukute, nayo imuue Brigadier General au ifanye maafa makubwa kwa Israel.
Israel directly kaua maofisa wa jeshi la Iran kibao pale Syria, vilevile Israel kaua maofisa kadhaa wa nyuklia wa Iran tena bila suicide bombing wala terrorism, ni pure military and intelligence actions. Zingatia neno directly.
Kama unataka majina mengine sema nikutajie. Kisha taja ofisa yeyote wa Mossad au IDF aliyeuwawa directly na Iran akiwa Israel au kwa mshirika wake.
Aaah wapi, acha longolongo iteni hao Iran wafanye wanalofanya. Brigadier General Mosuavi yuko stationed na serikali yake pale Syria akifanya coordination ya kijeshi baina ya Iran na Syria leo unamuita mstaafu kisa kafa.
Mtu alikuwa anacoordinate fedha na silaha kwenda kwa vikundi rafiki wa Iran unamuita mstaafu. Hamas na Hezbollah zimepata sana fedha na silaha kutoka kwake.
Hezbollah mpaka juzi imetangaza wapiganaji wake waliouwawa na Israel ni 117 tangu October 7.
Taja idadi ya Israel inayodai wanajeshi wake wameuwawa na Hezbollah tulinganishe nani anadundwa.
Kuna maofisa wawili wa ngazi ya chini kwenye mojawapo ya ranks 5 za majenerali wa Iran waliuwawa na Israel palepale Syria, ni kama 2 weeks ago na TASNIM ilitangaza. Ni mwendelezo huu, Israel itaua maofisa wa Iran ikijisikia hapo Syria na ndio kupambana kwenyewe au wewe unataka wapambane uso kwa uso. Si uiombe Iran ianzishe idundwe, we uliona wapi Israel inaanzisha vita?
You are right except that hili sio jambo dogo, ni jambo kubwa. Unamchukulia Brigadier General kama jambo dogo kwa Iran?
Intelijensia zote duniani kua na gape nijambo lakawaidaMinyukano ya Israel na mahasimu wake ipo miaka yote...
Kama kamanda wa Iran kaweza kupigwa kwa kulengwa yeye tu, ina maana intelijensia ya Iran ipo na walakini...
Hata kama Iran itakuwa na nia ya kulipiza kisasi, lazima itajitathimini kwanza kuangalia mwanya ulipotokea kabla ya kufanya chochote...
Heheeeeee shukran mkuuTena aliweka hadi kizungu ili tu atuchanganye kina sisi mkuu asante sana.
BREAKING:
⚡ 🇮🇱🇮🇷 Mwanamume mmoja wa Israel ambaye jina lake halijafahamika aliuawa kwa bomu lililotegwa kwenye gari huko Netanya.
IDF iliamuru vyombo vya habari kutochapisha maelezo yoyote.
Inaonekana kwamba Iran iliua mtu wa ngazi ya juu katika Israeli, labda katika IDF au Mossad.
View: https://x.com/megatron_ron/status/1739653050376057213?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Marekani na washirika wake wanamtafuta sana Iran ni sababu tu ya kumshambulia moja kwa moja hawajaipata ila wanaisaka kwa udi na uvumba.
iran isibweteke ijifunze kwa Iraki.
mrusi hakuweza kumtetea Iraki, libya, Afghanistan &co nchi zao zisisambaratishwe.
Je, Iran itathubutu kulipiza kisasi kwa Israel kwa kumuua jenerali huyo?Hamna kitu Israel itafanywa na Iran. Na kwa sasa jeshi la Israel lipo chonjo silaha ziko standby ili yeyote atakayejitokeza kulipiza kisasi cha shahidi huyu IRGC Brigadier General Reza Mousavi apigwe.
Israel haibembelezi, Brigadier General wa Iran alikuwa amejificha Syria anatoa maelekezo akapigwa. Na uzuri haijakana imetangaza.
Uneandika nini we mvaa kobasiJe, Iran itathubutu kulipiza kisasi kwa Israel kwa kumuua jenerali huyo?
Bila shaka.
Iran tayari inafanya uharibifu mkubwa kwa Israeli. Hezbollah, Wahouthi wana silaha kamili na wanaungwa mkono na Iran. Hamas pia, wakiwa na silaha, akili na uhandisi.
Iran inafanya kazi "kwa subira". Israel tayari inakabiliwa na hasara kubwa ya wanajeshi, vifaa na kiuchumi. Iran haijaguswa, wala haitakuwa hivyo.
Israel ni samaki mdogo, tishio kuu kwa Iran ni USA, hapo ndipo lengo lao kuu liko. Hata mashambulizi yote ya mabomu huko Gaza yanafanywa na mabomu na makombora yaliyotolewa na Marekani.
Ndege 230 za mizigo na meli 30 za usafiri za Marekani zimewasili Israel zikiwa zimebeba silaha na risasi tangu kuanza kwa vita.
Kama Israel isingepokea silaha hizi kutoka kwa Marekani, hadithi ya mauaji ya halaiki huko Gaza ingeisha muda mrefu uliopita.