Israel imemuua Jenerali wa Iran Sayyed Razi Mousa vita vinaweza kuenea sehemu kubwa

Israel imemuua Jenerali wa Iran Sayyed Razi Mousa vita vinaweza kuenea sehemu kubwa

Minyukano ya Israel na mahasimu wake ipo miaka yote...

Kama kamanda wa Iran kaweza kupigwa kwa kulengwa yeye tu, ina maana intelijensia ya Iran ipo na walakini...

Hata kama Iran itakuwa na nia ya kulipiza kisasi, lazima itajitathimini kwanza kuangalia mwanya ulipotokea kabla ya kufanya chochote...
 
Israeli hana uwezo wa kupiga huko wala msimsingizie maana hamas tu anamhenyesha. Na tena alijuaje kama huyo m-iran alikuwa huko? Acheni kumsingizia.
 
Hauelewi Wairan walichokifanya baada ya hapo? Utakuwa na akili za samaki.
Amefanya nini..sema hapa...hakuna kitu, hawana uwezo huo..wataishia kubweka tu kama vile wewe unavyobweka humu jf
 
Brigadier General, Reza Mousavi alikuwa mtoto na mgonjwa?

Hujafuatilia sasa unajibu nini hapa?

Ndio Israel kaua Brigadier General wa Iran. Aya ilete hiyo Iran ifutukute, nayo imuue Brigadier General au ifanye maafa makubwa kwa Israel.

Israel directly kaua maofisa wa jeshi la Iran kibao pale Syria, vilevile Israel kaua maofisa kadhaa wa nyuklia wa Iran tena bila suicide bombing wala terrorism, ni pure military and intelligence actions. Zingatia neno directly.

Kama unataka majina mengine sema nikutajie. Kisha taja ofisa yeyote wa Mossad au IDF aliyeuwawa directly na Iran akiwa Israel au kwa mshirika wake.

Aaah wapi, acha longolongo iteni hao Iran wafanye wanalofanya. Brigadier General Mosuavi yuko stationed na serikali yake pale Syria akifanya coordination ya kijeshi baina ya Iran na Syria leo unamuita mstaafu kisa kafa.
Mtu alikuwa anacoordinate fedha na silaha kwenda kwa vikundi rafiki wa Iran unamuita mstaafu. Hamas na Hezbollah zimepata sana fedha na silaha kutoka kwake.

Hezbollah mpaka juzi imetangaza wapiganaji wake waliouwawa na Israel ni 117 tangu October 7.
Taja idadi ya Israel inayodai wanajeshi wake wameuwawa na Hezbollah tulinganishe nani anadundwa.

Kuna maofisa wawili wa ngazi ya chini kwenye mojawapo ya ranks 5 za majenerali wa Iran waliuwawa na Israel palepale Syria, ni kama 2 weeks ago na TASNIM ilitangaza. Ni mwendelezo huu, Israel itaua maofisa wa Iran ikijisikia hapo Syria na ndio kupambana kwenyewe au wewe unataka wapambane uso kwa uso. Si uiombe Iran ianzishe idundwe, we uliona wapi Israel inaanzisha vita?

You are right except that hili sio jambo dogo, ni jambo kubwa. Unamchukulia Brigadier General kama jambo dogo kwa Iran?
BREAKING:

⚡ 🇮🇱🇮🇷 Mwanamume mmoja wa Israel ambaye jina lake halijafahamika aliuawa kwa bomu lililotegwa kwenye gari huko Netanya.

IDF iliamuru vyombo vya habari kutochapisha maelezo yoyote.

Inaonekana kwamba Iran iliua mtu wa ngazi ya juu katika Israeli, labda katika IDF au Mossad.

View: https://x.com/megatron_ron/status/1739653050376057213?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Minyukano ya Israel na mahasimu wake ipo miaka yote...

Kama kamanda wa Iran kaweza kupigwa kwa kulengwa yeye tu, ina maana intelijensia ya Iran ipo na walakini...

Hata kama Iran itakuwa na nia ya kulipiza kisasi, lazima itajitathimini kwanza kuangalia mwanya ulipotokea kabla ya kufanya chochote...
Intelijensia zote duniani kua na gape nijambo lakawaida
Na gape hizo hizo ndio hutumiwa na maadui zako
Hata israhell ina walakini sana nandio maana ikapigwa ambush na hamas wakati wanadaiwa kua ni well kwenye Intelijensia ila gapes moja imefanya mpaka wakafa zaidi ya Waisrahell 1500
Haya gape walilolitumia israhell kuua huyo jeneral na gape walolitumia hamas kuivamia israhell lipi limekua gape kubwa nalililoleta maafa
Ndio maana israhell anaripua ripua mpaka shule na hospital kwa alivyo dhalilishwa na hamas
Yaani israhell imeonesha bonges la gape kiasi kwamba mpaka houthi wameona hana maajabu wanamvimbia
 
Tena aliweka hadi kizungu ili tu atuchanganye kina sisi mkuu asante sana.
Heheeeeee shukran mkuu
Israhell au Americant hawezi kwenda kuua mtu ndani ya iran kwakutumia drone
Watajibanza kama vibaka waue halaf wakimbie
Nawakishaua hua wanakanusha vibaya sana ingawaje wanakua niwao kwa % zote
 
Marekani na washirika wake wanamtafuta sana Iran ni sababu tu ya kumshambulia moja kwa moja hawajaipata ila wanaisaka kwa udi na uvumba.
iran isibweteke ijifunze kwa Iraki.
mrusi hakuweza kumtetea Iraki, libya, Afghanistan &co nchi zao zisisambaratishwe.

Huyo US anaipiga Iran akitokea wapi?
Au anaipiga Iran akitokea nchi gani?
 
Hamna kitu Israel itafanywa na Iran. Na kwa sasa jeshi la Israel lipo chonjo silaha ziko standby ili yeyote atakayejitokeza kulipiza kisasi cha shahidi huyu IRGC Brigadier General Reza Mousavi apigwe.

Israel haibembelezi, Brigadier General wa Iran alikuwa amejificha Syria anatoa maelekezo akapigwa. Na uzuri haijakana imetangaza.
Je, Iran itathubutu kulipiza kisasi kwa Israel kwa kumuua jenerali huyo?

Bila shaka.

Iran tayari inafanya uharibifu mkubwa kwa Israeli. Hezbollah, Wahouthi wana silaha kamili na wanaungwa mkono na Iran. Hamas pia, wakiwa na silaha, akili na uhandisi.

Iran inafanya kazi "kwa subira". Israel tayari inakabiliwa na hasara kubwa ya wanajeshi, vifaa na kiuchumi. Iran haijaguswa, wala haitakuwa hivyo.

Israel ni samaki mdogo, tishio kuu kwa Iran ni USA, hapo ndipo lengo lao kuu liko. Hata mashambulizi yote ya mabomu huko Gaza yanafanywa na mabomu na makombora yaliyotolewa na Marekani.

Ndege 230 za mizigo na meli 30 za usafiri za Marekani zimewasili Israel zikiwa zimebeba silaha na risasi tangu kuanza kwa vita.

Kama Israel isingepokea silaha hizi kutoka kwa Marekani, hadithi ya mauaji ya halaiki huko Gaza ingeisha muda mrefu uliopita.
 
Uneandika nini we mvaa kobasi
 
Back
Top Bottom