Israel imemuua Jenerali wa Iran Sayyed Razi Mousa vita vinaweza kuenea sehemu kubwa

Wanaukumbi.

BEIRUT, Des 25 (Reuters) - Shambulio la anga la Israel nje ya mji mkuu wa Syria Damascus siku ya Jumatatu lilimuua mshauri mkuu katika Walinzi wa Mapinduzi ya Iran, vyanzo vitatu vya usalama vilisema.

Vyanzo hivyo vililiambia shirika la habari la Reuters kwamba mshauri huyo anayefahamika kwa jina la utani la Sayyed Razi Mousavi, alihusika kuratibu muungano wa
kijeshi kati ya Syria na Iran.
===============

BEIRUT, Dec 25 (Reuters) -An Israeli air strike outside the Syrian capital Damascus on Monday killed a senior adviser in Iran’s Revolutionary Guards, three security sources said.

The sources told Reuters that the adviser, known by his nickname Sayyed Razi Mousavi, was responsible for coordinating the military alliance between Syria and Iran.

View: https://x.com/megatron_ron/status/1739305576100757507?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

====================
🇮🇷TAMKO RASMI LA IRAN: ISRAEL WATALIPA BEI YA KUMUUA REZA MOUSAVI

Walinzi wa Mapinduzi ya Irani:

"Shirika la Kizayuni litalipa gharama ya uhalifu wa kumuua mmoja wa washauri wetu wa zamani wa kijeshi nchini Syria.

Mshauri ambaye aliuawa na kundi la Kizayuni alikuwa na jukumu la kitengo cha usaidizi cha mhimili wa upinzani nchini Syria.

Chanzo: Al Jazeera

Kimeumana tindo na nyundo
 
Mfyuuu...kwani ni mara moja kuuwa hao mageneral? Mbona soleiman alichinjwaa, juzi hapa tena mtengeneza silaha kaliwa kichwa hapo hapo iran na hakuna chochote wanafanya? Mfyuu ni umbwaa tu anabweka na kuingiza mkia miguuni..
Hauelewi Wairan walichokifanya baada ya hapo? Utakuwa na akili za samaki.
 
Kwa hasara ambayo amesha ipata Israel mpaka sasa kutoka kwa makundi yanayo ungwa mkono na Iran ilikuwa ni sababu tosha ya Israel kutangaza vita na Iran lakini hawezi thubutu kufanya huo ufala maana anajua ni kipi kitamkuta.

Hivi hujiulizi ni kwann Israel inakwepa kuingia vitani kamili na Hizbulah licha ya kundi hilo kufanya mashambulizi ndani ya Israel karibia kila siku?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nadhani atakua kakuelewa bila ya shaka
Kinachoendelea kule mpakani mwa israhell na Lebanon ni sababu tosha ya israhell kumtwanga iran ila hatakaa athubutu
Kilichotokea October 7 pia maana iran kasema hakuoanga lile tukio ila yanayoendelea baada ya pale anayaunga mkono kwa 💯% ilikua sababu tosha
Israhell hawezi kuipiga iran maana ana sababu zaidi ya million kama angekua na uwezo
Ila kwa proxy war ama yale mauaji ya kimya kimya haya hayatakaa yaishe ila ile ya direct sidhanii
 
  • Thanks
Reactions: ITR
Mossad washafanya yao! Irani ivamieni Israel acheni uonga. Mossad ni shida. Jamaa ukute walikuwa wanamfuatilia hadi akiwa anakunya.😁
Ila wameshindwa kuifatilia hamas 😀🤣😀
 
Wanaume kamili kwa kuuwa watoto na wagonjwa.
Brigadier General, Reza Mousavi alikuwa mtoto na mgonjwa?
Habari sijaifatilia ila kama israhell kafanya na iran kasema atajibu basi nisuala la muda tu
Hujafuatilia sasa unajibu nini hapa?
Suala la israhell kwenda kuipiga iran hili usahau
Iran si katangaza rasmi kama anaunga mkono alicho ama anachokifanya hamas kuanzia kule israhell mpaka ghaza haya
Ndio Israel kaua Brigadier General wa Iran. Aya ilete hiyo Iran ifutukute, nayo imuue Brigadier General au ifanye maafa makubwa kwa Israel.
israhell kapoteza wanajeshi wangapi kamfanya nini iran au ndio kaenda kujibu mapigo
Israel directly kaua maofisa wa jeshi la Iran kibao pale Syria, vilevile Israel kaua maofisa kadhaa wa nyuklia wa Iran tena bila suicide bombing wala terrorism, ni pure military and intelligence actions. Zingatia neno directly.

Kama unataka majina mengine sema nikutajie. Kisha taja ofisa yeyote wa Mossad au IDF aliyeuwawa directly na Iran akiwa Israel au kwa mshirika wake.
Kwamujibu wa habari hapo toka iran huyo bwana alikua ni mstaafu kama sijakosea
Aaah wapi, acha longolongo iteni hao Iran wafanye wanalofanya. Brigadier General Mosuavi yuko stationed na serikali yake pale Syria akifanya coordination ya kijeshi baina ya Iran na Syria leo unamuita mstaafu kisa kafa.
Mtu alikuwa anacoordinate fedha na silaha kwenda kwa vikundi rafiki wa Iran unamuita mstaafu. Hamas na Hezbollah zimepata sana fedha na silaha kutoka kwake.
Israhell anapigwa kule na Lebanon wanauliwa wanajeshi wake ambao wanajulikana kabisa lebanon mtoto wa iran
Hezbollah mpaka juzi imetangaza wapiganaji wake waliouwawa na Israel ni 117 tangu October 7.
Taja idadi ya Israel inayodai wanajeshi wake wameuwawa na Hezbollah tulinganishe nani anadundwa.
Israhell hana ustand by amalizane kwanza na hamas hawezi pigana na iran
Kuna maofisa wawili wa ngazi ya chini kwenye mojawapo ya ranks 5 za majenerali wa Iran waliuwawa na Israel palepale Syria, ni kama 2 weeks ago na TASNIM ilitangaza. Ni mwendelezo huu, Israel itaua maofisa wa Iran ikijisikia hapo Syria na ndio kupambana kwenyewe au wewe unataka wapambane uso kwa uso. Si uiombe Iran ianzishe idundwe, we uliona wapi Israel inaanzisha vita?
Hawa wataendelea na proxy tu utaona hawa wakipigana direct endapo mmoja wapo atashambulia ardhi za mwenzie direct nani jambo ambalo hamna atakae fanya si israhell wala iran
Kama hujui proxy za iran na israhell utaona hili jambo kuubwa ila lakawaida sanaaaaaaaa
You are right except that hili sio jambo dogo, ni jambo kubwa. Unamchukulia Brigadier General kama jambo dogo kwa Iran?
 
Kwa hasara ambayo amesha ipata Israel mpaka sasa kutoka kwa makundi yanayo ungwa mkono na Iran ilikuwa ni sababu tosha ya Israel kutangaza vita na Iran lakini hawezi thubutu kufanya huo ufala maana anajua ni kipi kitamkuta.
Israel haijawahi anzisha vita, inawasubiri muanzishe wenyewe ili ikiwatandika msiseme mmeonewa. Adui asitafute janjajanja ya kuja kulalamika baadae kama anaona ana uwezo dhidi ya Israel, aende direct ashambulie.
Hivi hujiulizi ni kwann Israel inakwepa kuingia vitani kamili na Hizbulah licha ya kundi hilo kufanya mashambulizi ndani ya Israel karibia kila siku?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hezbollah kwenye taarifa zao rasmi imedai wapiganaji wake 117 hadi sasa wameuwawa na Israel. Basi Hezbollah iingie vitani, mbona Hamas walianzisha wenyewe na sasa hivi wanabaki wamevaa chupi tu kwenye uwanja wa mpira pale Gaza
View: https://twitter.com/clashreport/status/1739337970191049051?t=rGemRQgMoSSA0eBCLyEMVQ&s=19
 
Brigadier General, Reza Mousavi alikuwa mtoto na mgonjwa?

Hujafuatilia sasa unajibu nini hapa?

Ndio Israel kaua Brigadier General wa Iran. Aya ilete hiyo Iran ifutukute, nayo imuue Brigadier General au ifanye maafa makubwa kwa Israel.

Israel directly kaua maofisa wa jeshi la Iran kibao pale Syria, vilevile Israel kaua maofisa kadhaa wa nyuklia wa Iran tena bila suicide bombing wala terrorism, ni pure military and intelligence actions. Zingatia neno directly.

Kama unataka majina mengine sema nikutajie. Kisha taja ofisa yeyote wa Mossad au IDF aliyeuwawa directly na Iran akiwa Israel au kwa mshirika wake.

Aaah wapi, acha longolongo iteni hao Iran wafanye wanalofanya. Brigadier General Mosuavi yuko stationed na serikali yake pale Syria akifanya coordination ya kijeshi baina ya Iran na Syria leo unamuita mstaafu kisa kafa.
Mtu alikuwa anacoordinate fedha na silaha kwenda kwa vikundi rafiki wa Iran unamuita mstaafu. Hamas na Hezbollah zimepata sana fedha na silaha kutoka kwake.

Hezbollah mpaka juzi imetangaza wapiganaji wake waliouwawa na Israel ni 117 tangu October 7.
Taja idadi ya Israel inayodai wanajeshi wake wameuwawa na Hezbollah tulinganishe nani anadundwa.

Kuna maofisa wawili wa ngazi ya chini kwenye mojawapo ya ranks 5 za majenerali wa Iran waliuwawa na Israel palepale Syria, ni kama 2 weeks ago na TASNIM ilitangaza. Ni mwendelezo huu, Israel itaua maofisa wa Iran ikijisikia hapo Syria na ndio kupambana kwenyewe au wewe unataka wapambane uso kwa uso. Si uiombe Iran ianzishe idundwe, we uliona wapi Israel inaanzisha vita?

You are right except that hili sio jambo dogo, ni jambo kubwa. Unamchukulia Brigadier General kama jambo dogo kwa Iran?
Wewe unaandika gazeti refuu porojo tupu wewe si ulituambia wakati Israel wanaingia Gaza, kuwa wameigawa mara mbili kusini na kaskazini Hamas hawana pakutokea watamalizwa wote😂
 
Israel haijawahi anzisha vita, inawasubiri muanzishe wenyewe ili ikiwatandika msiseme mmeonewa. Adui asitafute janjajanja ya kuja kulalamika baadae kama anaona ana uwezo dhidi ya Israel, aende direct ashambulie.

Hezbollah kwenye taarifa zao rasmi imedai wapiganaji wake 117 hadi sasa wameuwawa na Israel. Basi Hezbollah iingie vitani, mbona Hamas walianzisha wenyewe na sasa hivi wanabaki wamevaa chupi tu kwenye uwanja wa mpira pale Gaza
View: https://twitter.com/clashreport/status/1739337970191049051?t=rGemRQgMoSSA0eBCLyEMVQ&s=19

Ww jamaa buana mm nikikuambiaga kuwa siku hizi ulisha kuwa mchekeshaji humu jf huwa unasema nakukusea heshima.
Sasa Iran atangaze vita mara ngapi?
Ya kuwa kuna kutangaza vita zaidi ya kuipa Hamas silaha ambazo mpaka sasa zimesha uwa wanajeshi wake 500 ,zimesha haribu magari na vifaru vyake zaidi ya 800 ,zimesha uwa raia wake 1400 , zimefanya raia wake zaidi ya 500,000 ni wakimbizi wa ndani, zimeifanya Israel mpaka sasa ipoteze zaidi ya %21ya uchumi wake, zimesha fanya maelfu ya raia wake wapoteze ajira?

Au kuna kutangaza vita zaidi ya Iran kuwaamuru wauthi kuzishambulia meli za Israel ambapo mpaka sasa imesababisha hasara ya mabilion dora na bandari nchini Israel kufungwa? si jana tu Marekani imetangaza kuwa Iran imeishambulia meli yenye uhusiano na Israel?

Marekani aliivamia Afghanistan kwa sababu ya serikali ya nchi hiyo kuwaunga mkono Alqaida sasa kwann na Israel isiivamie Iran kwa kuvidhamini vikundi ambavyo vime kuwa vikileta maafa kwa nchi yao?
Alafu nilisha kukataza maneno yako ya sijui mkipigwa mnalalamika mnaonewa,mtu anaye jiita msomi hatakiwi kuongea mipasho ya aina hiyo ,hakuna anaye lalamika bali vita ina sheria zake ni razima zifuatwe, ukishindwa kuzifuata ni razima utapigiwa kelele tu,kama vita ni kushambulia chochote basi hizo sheria zisinge wekwa na kila mtu angepigana anavyo jua.

Hao Hamas unao sema kuwa wanavaa chupi kichwani si ndo hao ambao mpaka sasa wameifanya Israel itumie miezi mitatu kudhibiti %33 tu ya ukanda wa gaza?
Si ndo hao wamemfanya Netanyau jana atoe mlio kwa kusema kuwa Israel inalipa gharama kubwa sana kwenye yake na Hamas?
Alafu tuambie zile video ni watu walio recodiwa na kuitwa Hamas kwa nn walizifuta kwenye page zao?

Mkuu acha kupamba mavi ili yaonekane keki, uhalisia wa jeshi la Israel kila mtu anauona ,mpaka Jeneral mmoja msitaafu wa kimarekani akihojiwa na CNN alisema kuwa ni kweli nguvu ya jeshi la Israel imejengwa katika misingi ya propaganda kuliko uhalisia lakini hakuwahi kufikilia iwapo jeshi la Israel ni dhaifu kiasi ambacho linaoneka kwenye vita yake na Hamas.

Iran anaweza kusita kuishambulia Israel kwa kuiofia Marekani kuingilia na kusababisha vita kubwa na yenye maafa makubwa na sio hizo takataka ambazo zipo zinapelekwa mbio na wanamgambo hapo gaza.
 
Wanaukumbi.

BEIRUT, Des 25 (Reuters) - Shambulio la anga la Israel nje ya mji mkuu wa Syria Damascus siku ya Jumatatu lilimuua mshauri mkuu katika Walinzi wa Mapinduzi ya Iran, vyanzo vitatu vya usalama vilisema.

Vyanzo hivyo vililiambia shirika la habari la Reuters kwamba mshauri huyo anayefahamika kwa jina la utani la Sayyed Razi Mousavi, alihusika kuratibu muungano wa
kijeshi kati ya Syria na Iran.
===============

BEIRUT, Dec 25 (Reuters) -An Israeli air strike outside the Syrian capital Damascus on Monday killed a senior adviser in Iran’s Revolutionary Guards, three security sources said.

The sources told Reuters that the adviser, known by his nickname Sayyed Razi Mousavi, was responsible for coordinating the military alliance between Syria and Iran.

View: https://x.com/megatron_ron/status/1739305576100757507?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

====================
🇮🇷TAMKO RASMI LA IRAN: ISRAEL WATALIPA BEI YA KUMUUA REZA MOUSAVI

Walinzi wa Mapinduzi ya Irani:

"Shirika la Kizayuni litalipa gharama ya uhalifu wa kumuua mmoja wa washauri wetu wa zamani wa kijeshi nchini Syria.

Mshauri ambaye aliuawa na kundi la Kizayuni alikuwa na jukumu la kitengo cha usaidizi cha mhimili wa upinzani nchini Syria.

Chanzo: Al Jazeera

zipo unconfirmed news kwamba, iran imerusha kombora kaskazini mwa israel kutokea syria. naona iran ameanza kuingia kwenye kitanzi ambacho wenzake wamekuwa wakimtafuta kwa muda mrefu sana.
 
Iran inafanya kazi "kwa uvumilivu" sana na jibu labda litakuja baada ya muda fulani. Kwa maoni yangu, Iran pia itaifunga Bahari ya Mediterania kwa meli za kibiashara zinazokwenda Israel, kwa kutumia ndege zisizo na rubani za Kamikaze kutoka Lebanoni na itaitumbukiza Israel katika mgogoro hatari wa kiuchumi na ukosefu wa bidhaa nyingi.
ni bora Iran ifanye hivyo, tena ifanye mapema kabisa ili Israel watafute solution ya kudumu mapema. elewa neno "solution ya kudumu".
 
Kwisha khabr yako
uko canada unajifnya unatetea iran na hamas nenda gaza uwezo unao tuone kama wewe ni mtetezi wa kweli
Wa Canada tumepigwa marufuku kwenda israel hata kwa ibada mpaka serikali itupe idhini kuwa usalama wetu hautokuwa mashakani. Nyie vipi huko?

Vipi wewe mbona huendi kuwasaidia wajomba wa Mungu wako? Kimbembe wanachopokea si kidogo, jionee:

Wanaukumbi.

BEIRUT, Des 25 (Reuters) - Shambulio la anga la Israel nje ya mji mkuu wa Syria Damascus siku ya Jumatatu lilimuua mshauri mkuu katika Walinzi wa Mapinduzi ya Iran, vyanzo vitatu vya usalama vilisema.

Vyanzo hivyo vililiambia shirika la habari la Reuters kwamba mshauri huyo anayefahamika kwa jina la utani la Sayyed Razi Mousavi, alihusika kuratibu muungano wa
kijeshi kati ya Syria na Iran.
===============

BEIRUT, Dec 25 (Reuters) -An Israeli air strike outside the Syrian capital Damascus on Monday killed a senior adviser in Iran’s Revolutionary Guards, three security sources said.

The sources told Reuters that the adviser, known by his nickname Sayyed Razi Mousavi, was responsible for coordinating the military alliance between Syria and Iran.

View: https://x.com/megatron_ron/status/1739305576100757507?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

====================
🇮🇷TAMKO RASMI LA IRAN: ISRAEL WATALIPA BEI YA KUMUUA REZA MOUSAVI

Walinzi wa Mapinduzi ya Irani:

"Shirika la Kizayuni litalipa gharama ya uhalifu wa kumuua mmoja wa washauri wetu wa zamani wa kijeshi nchini Syria.

Mshauri ambaye aliuawa na kundi la Kizayuni alikuwa na jukumu la kitengo cha usaidizi cha mhimili wa upinzani nchini Syria.

Chanzo: Al Jazeera

hamas wa mchambawima husema wazayuni ni mashoga tu ndiyo maana wanaua wanawake na watoto huyu jeneral lazima itakuwa ni mwanamke au mtoto maana wazayuni hawawezi kumuua general tena wa Iran 🤣😂😆
 
Iran wamezidi upole sana
Anajua vizuri akiichokoza Israel nini kitamkuta maana alishuhudia ilichofanywa jordan, egypt na waarab wengine mara ngapi iran katishia nyau ooh Israel ikivuka red line kwenye hii vita Iran itaingia vitan haya palestinian zaidi ya 20, 000 washauawa na wanaendelea kuuwawa kila siku tena dozens za kutosha kabisaa na wataendelea kuuwawa lakini iran imeufyata mfuu. Na Netanyau keshasem vita itaendelea tena kwa muda mrefu. Leo hii hamas hawataki tena vita wanalialia kuomba vita viishe kabisaa yaan kusiwe na vita sasa cha kujiuliza si walisema wanataka ardhi yao sasa wameipata???🤣😂😆
 
Wanaume kamili kwa kuuwa watoto na wagonjwa.
Hiyo inaitwa akikupiga ngumi ya jicho nawe mpige ya sikio. Akikuuliza unaonaje, nawe muulize unajisikiaje😀😀😀😀😀😀
October 7 mlishangilia sana naye anafanya october 7 kwa wapelestina kwahiyo mkae kwa kutulia tu ili nanyi msikie maumivu
 
Hawa hujitoa akili mpaka aibu utawasikia ohh Israel wanaua wanawake na watoto swali kwao mbona ile oktoba 7 migaidi ilivamia festival ikateka watoto, vikongwe, raia wasio waisrael tena wasio na silaha (rip joshua mollel, clement mtenga) na kubaka halaf walivyo waoga wakakimbia kurudi gaza tena kwenye tunnels kama wao ni vidume walishindwa nini kuvamia kambi za jeshi ili wapambane man to man na vidume vya israel na tena why walisubiri mpaka kuna festival na sikukuu ya wayahudi? ndo wakavamia na tena why walikimbilia kwenye tunnels kama panya si wangesonga front wakiwashe na israel?
 
Wanaukumbi.

BEIRUT, Des 25 (Reuters) - Shambulio la anga la Israel nje ya mji mkuu wa Syria Damascus siku ya Jumatatu lilimuua mshauri mkuu katika Walinzi wa Mapinduzi ya Iran, vyanzo vitatu vya usalama vilisema.

Vyanzo hivyo vililiambia shirika la habari la Reuters kwamba mshauri huyo anayefahamika kwa jina la utani la Sayyed Razi Mousavi, alihusika kuratibu muungano wa
kijeshi kati ya Syria na Iran.
===============

BEIRUT, Dec 25 (Reuters) -An Israeli air strike outside the Syrian capital Damascus on Monday killed a senior adviser in Iran’s Revolutionary Guards, three security sources said.

The sources told Reuters that the adviser, known by his nickname Sayyed Razi Mousavi, was responsible for coordinating the military alliance between Syria and Iran.

View: https://x.com/megatron_ron/status/1739305576100757507?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

====================
🇮🇷TAMKO RASMI LA IRAN: ISRAEL WATALIPA BEI YA KUMUUA REZA MOUSAVI

Walinzi wa Mapinduzi ya Irani:

"Shirika la Kizayuni litalipa gharama ya uhalifu wa kumuua mmoja wa washauri wetu wa zamani wa kijeshi nchini Syria.

Mshauri ambaye aliuawa na kundi la Kizayuni alikuwa na jukumu la kitengo cha usaidizi cha mhimili wa upinzani nchini Syria.

Chanzo: Al Jazeera

FaizaFox sijui ana maoni gani kuhusu suala hili?
 
Back
Top Bottom