Search picha za satelaiti hakuna kilichobaki Nevatim base na kuna report ilitumwa na shushu muizrael ambaye anafanya kazi za Iran ndani ya Israel na kuna mashushu waliokamatwa piakwa akili yako ndogo unafikiri ndege-Vita zinaanikwa tu kama karanga?
Kwa sababu kwenu uongo ni hulka yenu endelea kujidanganya mwenyewe. Promise-3 ilishabuma haiwezekani tena!!
Amarika ana chapika mapema tu.Kwahiyo vita inataka kuanza nyuma ya Israel Kuna marekani
Nyuma ya Iran Kuna Urusi, China na Kiduku
Hi vita itakuwa tamu sana Kwa sisi watazamaji
Bahati nzuri sana mimi si zuzu nimepitia hiyo link yako hakuna ukweli wowote hapo inasema makombola hayo yalianguka karibu na kambi hiyo na picha moja inaonyesha runway moja imeharibiwa sasa nikuulize hizo ndege-vita F-35 zinakaa karibu na uwanja wa ndege au zinakaa kwenye Runway kiasi cha kuharibiwa na makombola hayo ya Iran?Search picha za satelaiti hakuna kilichobaki Nevatim base na kuna report ilitumwa na shushu muizrael ambaye anafanya kazi za Iran ndani ya Israel na kuna mashushu waliokamatwa pia
Angalia picha jinsi walivyokua wameanika ndege zao wakimtegemea Marekani atazuia makombora 100+
Na Iran?Kwa akili yako unafikiri Israel imeanza vita leo??
Wamelewa sifa hao,hawatarudi nyuma hadi liwakute la kuwakuta!Israel itapigana vita ngapi?
Time will tell and I'm sure you will vanish from this forum when the time comes.kwamba akili yako inafikiri IRAN ni kundi la watu!!!
IRAN ni nchi mzee,tena inayojiweza kwa kila kitu haswa linapokuja swala la vita
Ilishampiga nani.kwamba akili yako inafikiri IRAN ni kundi la watu!!!
IRAN ni nchi mzee,tena inayojiweza kwa kila kitu haswa linapokuja swala la vita
Mimi siwezi kukusikiliza wewe Hio oparation bado ni mwiba kwa Netanyahu alizuia kabisa picha zispigwe na walifuata baadhi ya satelaiti images nasikiliza walioufanya sio wew yaani makombora 100 waharibu run way? Pekee na hi ni kambi moja zilipigwa zaidi ya mojaBahati nzuri sana mimi si zuzu nimepitia hiyo link yako hakuna ukweli wowote hapo inasema makombola hayo yalianguka karibu na kambi hiyo na picha moja inaonyesha runway moja imeharibiwa sasa nikuulize hizo ndege-vita F-35 zinakaa karibu na uwanja wa ndege au zinakaa kwenye Runway kiasi cha kuharibiwa na makombola hayo ya Iran?
Kwa kifupi muwe na aibu na kumwogopa huyo Allah wenu hata kama anawaruhusu muwe waongo!!
Uzuri mimi si zuzu wa kudanganywa na link za michongo kama hii. Hapo kasema “Many Israel F-35 jets” Jiulize kwa nini wasitaje idadi wakati kwenye settalite images zinaonekana? Tatizo media nyingi sana za kiarabu na kiajemi linapokuja suala la Israel wako tayari waseme uongo ( TAQIYYAH) kama mnavyoita.Mimi siwezi kukusikiliza wewe Hio oparation bado ni mwiba kwa Netanyahu alizuia kabisa picha zispigwe na walifuata baadhi ya satelaiti images nasikiliza walioufanya sio wew yaani makombora 100 waharibu run way? Pekee na hi ni kambi moja zilipigwa zaidi ya moja
Many Israeli F-35 jets destroyed in Operation True Promise II: IRGC
Brigadier General Ebrahim Jabbari says the IRGC simultaneously conducted cyber and electronic warfare operations aimed at the Israeli regime's air defense systems.english.almayadeen.net
Huyo ashakunywa maji ya kiyahudi myahudi Akinya kwake ni keki hata hizi atakataa tu tumuachie alivyo ila neta anaelewa 90% ilihit target atabisha nami ntakataa kwakua dunia yote ilishuhudia
Kwa akili yako unafikiri Israel imeanza vita leo??
Who is stronger, Iran or Israel?Tatizo kubwa sana tayari iran imesha kuwa na urafiki wa urussi ...wazungu wa nato ni wapumbavu awakutakiwa kumchokoza urussi bali walitakiwa kuungana naye kuwa kitu kimoja yani kutokuwa maadui ....marekani aina uwezo wowote wa kuishinda iran kijeshi ikiwa urussi ipo nyuma ya irani ....mbinu pekee kwa marekani na Israel ni kuifitinisha serikali ya iran ndani kwa ndani ili idondoke vinginevyo vita ni kujidanganya.
Video hiyo niambie Una uhakika gani kuwa hapo ni nevatim?Huyo ashakunywa maji ya kiyahudi myahudi Akinya kwake ni keki hata hizi atakataa tu tumuachie alivyo ila neta anaelewa 90% ilihit target atabisha nami ntakataa kwakua dunia yote ilishuhudia
Kina ho Issa gaza mimi ni kuona Nevatim iko mjini wakati uwanja huo uko Jangwani na hakuna majumba kama hayo huko. Nashangaa sana Mmatumbi mwenzangu huyu anadiriki kunidanganya hata Mimi mwenyewe niyeko huku kama anafanya hivi kwangu kwa wabongo wengine si wanawakoga vizuri sana.Echolima1 nevatim hapo , we mmatumbi una mchukulia poa iran wakati wemyewe israel na us wanamuogopa, ana utawala wake hapo middle east
Mkojo wa yahudi kwako ni mlinda nyeusi mimi uwa sibishani naweka vitu mezani hauko honest then huna logic Kwa unayobwavwaja humu mwenye akili timamu hawezi kukuelewa narudia Israel hana uwezo wa kuzuia makombora ya Iran kama tu ya houth yanapenya, alafu we dogo dunia siku hizi iko kiganjani kuna watu wako dar lakini hawajui kama LiSsu yuko ndani hivyo ni priority ya mtu kujua kitu unajifanya uko tel Aviv ndio unajua kila kitu, mimi siko tel avivi lakini niko about km 600 tu na hapo tel Aviv hivyo wewe mimi huwezi kunidanganya chochote kuhusu mambo yanayotokea ingawa sipo hapo ila nina jamaa zangu wako gaza na Lebanon wameniambia kila kinachoendelea kila dk kila siku wewe jadili mambo kwa fact na sio ujuaji usio maana kwani kilicho kweli kisemweVideo hiyo niambie Una uhakika gani kuwa hapo ni nevatim?
Hata baba yako@Ritz naye alikuwa analeta visababu uchwara kama unavyovileta wewe Nimekuuliza wewe Una uhakika gani kuwa hapo ni uwanja wa ndege wa Nevatim? Mimi najua uwanja huo uko Jangwani na hauko karibu na mji mbona sasa Naona kuna majengo na makazi ya watu hiyo labda ni Nevatim ya Manzese!!!Mkojo wa yahudi kwako ni mlinda nyeusi mimi uwa sibishani naweka vitu mezani hauko honest then huna logic Kwa unayobwavwaja humu mwenye akili timamu hawezi kukuelewa narudia Israel hana uwezo wa kuzuia makombora ya Iran kama tu ya houth yanapenya, alafu we dogo dunia siku