Nijipange kwa lipi? Kwani usiku huo walishambulia Nevatim pekee? Au walishambulia na kambi zingine? Nishakwambia acha ujuaji mimi humu sina aly niko mwenyewe face me bro!Hata baba yako@Ritz naye alikuwa analeta visababu uchwara kama unavyovileta wewe Nimekuuliza wewe Una uhakika gani kuwa hapo ni uwanja wa ndege wa Nevatim? Mimi najua uwanja huo uko Jangwani na hauko karibu na mji mbona sasa Naona kuna majengo na makazi ya watu hiyo labda ni Nevatim ya Manzese!!!
Hivi wewe huoni aibu kudanganya waziwazi??
Nenda kajipange upya!!!!!
Wew huwezi kunidanganya mimi chochote kila nikiamka nafuatilia taarifa kuhusu gaza na Lebanon na ninawapigia watu walioko sehem zenye misukosuko hadi westbank jenin kabisa nina mtu wa kunipa taarifa nazotaka hivyo sina haja ya kudanganya akati kila siku napoteza ndugu wa marafiki zangu haimeki sense baki na ujinga wakoMkojo wa yahudi kwako ni mlinda nyeusi mimi uwa sibishani naweka vitu mezani hauko honest then huna logic Kwa unayobwavwaja humu mwenye akili timamu hawezi kukuelewa narudia Israel hana uwezo wa kuzuia makombora ya Iran kama tu ya houth yanapenya, alafu we dogo dunia siku hizi iko kiganjani kuna watu wako dar lakini hawajui kama LiSsu yuko ndani hivyo ni priority ya mtu kujua kitu unajifanya uko tel Aviv ndio unajua kila kitu, mimi siko tel avivi lakini niko about km 600 tu na hapo tel Aviv hivyo wewe mimi huwezi kunidanganya chochote kuhusu mambo yanayotokea ingawa sipo hapo ila nina jamaa zangu wako gaza na Lebanon wameniambia kila kinachoendelea kila dk kila siku wewe jadili mambo kwa fact na sio ujuaji usio maana kwani kilicho kweli kisemwe
Tayari umeashaanza kukwepa mwanzoni ulituaminisha kuwa hapo ni Nevatim!! Mimi kama unasema uongo lazima nikupinge nakupa na facts. Mimi Niko huko mpaka may huwezi kunidanganya kitu.Nijipange kwa lipi? Kwani usiku huo walishambulia Nevatim pekee? Au walishambulia na kambi zingine? Nishakwambia acha ujuaji mimi humu sina aly niko mwenyewe face me bro!
Ni hulka yenu Wafuga Midevu na Majini kuwa waongo waongo. Kama ndugu zako wanakudanganya sana Uwanja wa ndege uko Jangwani na wala hakuna makazi ya watu huko hiyo video ni fake!!!Wew huwezi kunidanganya mimi chochote kila nikiamka nafuatilia taarifa kuhusu gaza na Lebanon na ninawapigia watu walioko sehem zenye misukosuko hadi westbank jenin kabisa nina mtu wa kunipa taarifa nazotaka hivyo sina haja ya kudanganya akati kila siku napoteza ndugu wa marafiki zangu haimeki sense baki na ujinga wako
Namimi sina haja ya kudanganya nilishakwambia shambulio hilo 90% yalitua kwa mujibu IRGC hivyo wewe uwepo huko usiwepo huko ndicho kilichotokeaTayari umeashaanza kukwepa mwanzoni ulituaminisha kuwa hapo ni Nevatim!! Mimi kama unasema uongo lazima nikupinge nakupa na facts. Mimi Niko huko mpaka may huwezi kunidanganya kitu.
Mwanzoni mlikuwa kila leo mnazua habari za uongo na manami Nika kumbe waongo wakubwa sana mmejaa chuki dhidi ya Israel
Pole sana leta video iliyo kweli kama hiyo ni fake, missile za Iran zinajulikana balaa lake hizo ni missile za Iran 100% roho inauma waislam kua na technology kubwa ya kuangamiza ndani ya dk 7-10 tuNi hulka yenu Wafuga Midevu na Majini kuwa waongo waongo. Kama ndugu zako wanakudanganya sana Uwanja wa ndege uko Jangwani na wala hakuna makazi ya watu huko hiyo video ni fake!!!
Kwa taarifa yako tu Iran hakuna shambulio alilofeli kama The Promise-2 hiyo 90% ni TAQIYYAHNamimi sina haja ya kudanganya nilishakwambia shambulio hilo 90% yalitua kwa mujibu IRGC hivyo wewe uwepo huko usiwepo huko ndicho kilichotokea
Toa data mzee sio maneno matupuKwa taarifa yako tu Iran hakuna shambulio alilofeli kama The Promise-2 hiyo 90% ni TAQIYYAH
Ngoja nikupe sasa data ili ujue The Promise-2 ilikuwa Operation ya kijinga kabisa unarushaje makombola 400 kati ya hayo 200 yanapopolewa na mengine kuangukia sehem za wazi mengine Jangwani na kuua mtu mmoja mpalestina mhamiaji haramu hiyo nayo ni Operation ya kijeshi? Angalia sasa ujinga wa Irani hapo chini:Toa data mzee sio maneno matupu
Acha ujinga ving’ora kama hivyo viko vingi hata Ukraine wanavyo na nchi nyingi tu wameuziwa kwa akili yako ndogo utuambie kwa kutumia ving’ora unajua hapo ni Israel.? Acha ujinga!!Kame data haka ka jamaa unasikia kabisa ving'ora vyao vile vinavyowapelekaga shimoni basi atwambie hapo ni wapi
Hahahahhh ooooooyii myahudi kupatikana uzuri walio rekodi ni wayahudi wenyewe hakuna kumsingizia mtu chutameni tuu bro alizidiwa ni kawaida kijeshi hakuna air defence system iliyo perfect Kwa technology ya Sasa ambayo inaweza kucheza na missiles za dk 7-15 zaidi ya 200 kwa accuracy wanayotundanya mayahudi na taqqiya yao, ndio maana kwenye hio video unaona vinapitiliza tu, jiulize kama al Houth anarusha kadrone kamoja na ballistic moja wanahit target iweje kwa baba lao Iran? Kaka mahaba hayo wote tunamahaba na tuvipendavyo lakini kwenye ukweli hua tunakubali yanaisha tunaanza mojaNgoja nikupe sasa data ili ujue The Promise-2 ilikuwa Operation ya kijinga kabisa unarushaje makombola 400 kati ya hayo 200 yanapopolewa na mengine kuangukia sehem za wazi mengine Jangwani na kuua mtu mmoja mpalestina mhamiaji haramu hiyo nayo ni Operation ya kijeshi? Angalia sasa ujinga wa Irani hapo chini:
View: https://x.com/phareselisha1/status/1843207931766227422?s=12
View: https://x.com/phareselisha1/status/1849085645848818061?s=61Take note Israel is not dumping area!! Oct 01,2024 Iran ilirusha makombola zaidi ya 400 kuelekea Israel mengi yalipopolewa na mengine yaliangukia sehemu za wazi. Hayo mapipa yenu mmekosa sehemu ya kuyatupia mkaamua kuyatupia Israel? Israel siyo jalala la kutupia taka ndiyo sababu mpaka leo hii The Promise-3 ishakuwa kizungumkuti.
Kwahio hapo sio Israel? Hizi ni uongo zilitungwa? Ngoja nipumzike yawezekana niko na mgonjwa wa Mirembe humu sielewi yanAcha ujinga ving’ora kama hivyo viko vingi hata Ukraine wanavyo na nchi nyingi tu wameuziwa kwa akili yako ndogo utuambie kwa kutumia ving’ora unajua hapo ni Israel.? Acha ujinga!!
Nimekupa data harafu unajichekesha! Angalia hizo video uone makombola (Mapipa)ya Iran mengi yaliangukia sehem za wazi na mengine kupopolewa.Hahahahhh ooooooyii myahudi kupatikana uzuri walio rekodi ni wayahudi wenyewe hakuna kumsingizia mtu chutameni tuu bro alizidiwa ni kawaida kijeshi hakuna air defence system iliyo perfect Kwa technology ya Sasa ambayo inaweza kucheza na missiles za dk 7-15 zaidi ya 200 kwa accuracy wanayotundanya mayahudi na taqqiya yao, ndio maana kwenye hio video unaona vinapitiliza tu, jiulize kama al Houth anarusha kadrone kamoja na ballistic moja wanahit target iweje kwa baba lao Iran? Kaka mahaba hayo wote tunamahaba na tuvipendavyo lakini kwenye ukweli hua tunakubali yanaisha tunaanza moja
Zaid ya nuke ya Israel .....Iran kaizidi nguvu Israeli kwa zaidi ya mara 10 kwa nguvu za kijeshi...na miyndombinu ya kijeshi.Who is stronger, Iran or Israel?
Israel maintains military supremacy. Besides Israel's operational and intelligence advantage over Iran, it also has a nuclear deterrent, experts said. Israel is widely believed to possess nuclear weapons, with the Washington-based Nuclear Threat Initiative estimating that Israel has around 90 nuclear warheads.
Source??Netanyahu roho inamuuma jamaa alikaanga F35 na 16 Zaidi ya 20+ na kuiacha kambi flat na waliokua zamu wote majivu hata sahau mbwa Netanyahu
Kumbuka marekani na nguvu zake zote alipigwa Vietnam...Israel ni kaeneo kadogo sana .... hapa inafaa kuongelea USA VS IRAN siyo Israel...ukubwa tu wa nchi ya iran ni mara 2 ya nchi yetu ya tanzania ...pia silaha za iran zipo chini ya ardhi umbali ambao hskuna bomu la kuzifikia zaidi ya nuclearKivipi?