Israel kutangaza vita na Hezbollah muda wowote kuanzia sasa

Isije lebanon ikabomolewa bomolewa kama gaza naona hezbollah anaitafuta israel
 
Hizbullah hawana tofauti na mwanamke aliyeko kwenye siku zake za hatari atafanya juu chini umgegede.
 
Sijui umeandika nini, vita ya Israel na Hizbollah haikuanza leo mpaka Israel ameamua kujitoa Gaza upande ule wa Hizbollah kutokana na kichapo, vita sio kutishana, vita unaingia uwanjani kuonyesha uwezo wako.

Kwani nani alitarajia Taifa kama la Urusi ambalo lilisifikana kuwa ni taifa kubwa zaidi duniani ukitoa Marekani kuwa na jeshi kubwa zaidi na silaha za kisasa na technolojia ya hali ya juu mpaka leo kuwa linaendelea kuhenyeshwa ni Ukraine? sasa mwaka 3 choka mbaya.

Israel toka siku ya kwanza ya vita anapata misaada toka America meli kwa mameli Gaza tu imemshinda hadi leo hii anauwa raia tu wala hakuna mateka hata mmoja aliyemkoboa
 
Hawezi hapo alipo anatolewa kamasi na Hamas😁
 
Wewe ulishawai kuzipima au mastori ya uwongo uwongo tuuu
 
Palestine au Gaza!...Gaza ni kijisehemu tu ilala karume kubwa,2006 IDF wako walikula mkong'oto swaafi,kuvuka mto litan tu ilikua shida,wakaishia kubomoa madaraja Kama kawaida yao
 
binafsi yangu natamani israel apambanane na makundi ya kigaidi ila asidhuru raia ambao w=hawana hatia kama ambavyo anafnya pale palestina,kama anapigana na hezbollah basi apigane nao sio kuianganmiza lebanon nzima hiyo sio sawa,najua hoja haa itakuwa mbona hezbollah anapiga wanisrael huo pekee hupaswa kuwa utetezi kwa kuwa isreal ni jeshi kamili hivyo wanapswa kujitenga na illegal acts za kivta wasiwe sawa na wanayoyita makundi ya kigaidi
 
Israel anataka kununua ndege mpya M35 za kijeshi, huenda ana jambo lake.
 
Vita haviajaanza na tayari wanalalamika na kupata shida kuzima moto.Vikianza vita kutatokea makubwa zaidi.
 
Hamas na hezbollah ndio wanawatumia raia kama ngao manajificha maeneo ya raia
 
Kwamba Hezbolla itaweza kuhimili mkiki wa mabomu 60 kwa siku za ndege za IDF? au unawatakia matatizo raia wa Lebanoni? Yaani unashangaza sana
2006 ilibidi wakubwa waingilie kati
Ili kusitisha vita kati ya Israel na Hezbollah, jeshi la Israel likiwa na vifaru aina ya merkava au kitanda cha Mungu
Hezbollah walivichakaza vibaya mno
Kiufupi Israel alipata hasara na changamoto kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…