Israel kutangaza vita na Hezbollah muda wowote kuanzia sasa

Mkuu sasa kama majitu yanavaa nguo za kiraia utayatofautishaje na askari wa kivita?
 
Mbona wanapigana kila siku na Hezbollah.

Sema labda atangaze vita na Lebanon.
 
Taarifa za kupika hizi, askari waliokufa hata 200 hawafiki.
 
Tulia wewe hiyo mikwara mbuzi unakua kama yule waziri wa ulinzi wa israeli akija kwenye TV anakunja uso kama kabanwa na mavi kumbe hamna lolote.
Yule Waziri wa Ulinzi wa Israel akija kwenye TV anakunja uso kuonesha msisitizo ili utekelezaji wa hicho anachokisema ukianza asije mtu akasema sikuambiwa au sikujua. Myahudi siku zote ni mwaminifu kwa ahadi zake. Ngoja wajichanganye kwa Myahudi halafu watajua walikuwa hawajui.
 
Mkuu sasa kama majitu yanavaa nguo za kiraia utayatofautishaje na askari wa kivita?
Mkuu; Sio kuvaa tu nguo za kiraia bali hata kujichanganya na raia, kujificha kwenye nyumba za Raia,nyumba za ibada, Hospitali na mashuleni. Halafu raia wenyewe hathubutu kuwakataa hao magaidi na kuwatoa hadharani ili hao magaidi wapewe haki yao (kipondo).Raia wamekuwa maduanzi wanawakumbatia magaidi. Kumkumbatia gaidi manake unaukumbatia na moto unaompasa huyo gaidi.
 
hawa wasenge waislam wapo kimya ila Israel akianza jibu utasikia wanaua watoto
 
waende front , hizbollah kama panya road wanaogopa kujiweka hadharani
Hii ndio itakua vita hasa sio ile ya Hamas na IDF kuviana hii vita Hezbollah wanaitamani sana miaka mingi wanaonekana wamejiandaa kwa muda mrefu sana
 
Inaonekana wewe ukiambiwa ule mavi ya muyahudi ni dawa upo tayari
 
Inaonekana wewe ukiambiwa ule mavi ya muyahudi ni dawa upo tayari
Mkuu; Bila shaka NDIYO/YES EXACTLY. Kwani kuna shida gani? Unajisikia vibaya kwa sababu tu eti yameitwa ni mavi ya Myahudi au labda kuna kitu kingine unachokifahamu. Je, Mkuu wewe utakula ya Mwarabu sio? Ila ya Mwarabu hayajasemwa ni dawa.
 
Mkuu; Bila shaka NDIYO/YES EXACTLY. Kwani kuna shida gani? Unajisikia vibaya kwa sababu tu eti yameitwa ni mavi ya Myahudi au labda kuna kitu kingine unachokifahamu. Je, Mkuu wewe utakula ya Mwarabu sio? Ila ya Mwarabu hayajasemwa ni dawa.
Psychopath
 
Wayahudi watapigwa mande kama mwana mke malaya
 
UN chini ya USA haijawahi kuwa na sheria za usawa hata mara moja.
Kama unabisha fuatilia kesi alizo handle ICC/ICJ na mgogoro wa Palestina-Israel tokea 1947.
 
Nahisi mkuu we ni mgeni kwenye huu mgogoro wa Palestina.
Tokea 1949 kina Yasser Arafat walikua wakihangaika Palestina itambuliwe kama taifa huru ila walikua wakipuuzwa na wakipewa kauli wahamie kwa waarabu wenzao ardhi zipo za kutosha.
Kila njia ya diplomasia Palestina walitumia ila waliishia kunyanyasika na hata baadhi ya viongozi wao wa PLO wenye misimamo mikali waliuliwa kimya kimya.
 
Kwamba Hezbolla itaweza kuhimili mkiki wa mabomu 60 kwa siku za ndege za IDF? au unawatakia matatizo raia wa Lebanoni? Yaani unashangaza sana
Hizbollah ina missile power ya kurusha makombora 3000+ kwa siku.
Je Israel ina uwezo wa kuya intercept makombora yote hayo!?
Mbaya zaidi makombora yenyewe ni GUIDED MISSILES yenye uwezo wa kukwepa interceptors.
Hizbollah wamepewa ADS za kulinda anga.
Uzito wa bomu pa ndege na uzito wa kombora ni tofauti.
 
Hata israel haikushindwa kwanza kusini mwa lebanon kuliharibika sana na hezbollah wengi plus raia waliuawa sana na jeshi la anga
Israel ilishindwa,kama isingeshindwa wasinge withdraw majeshi Bint Jubeir na kuacha hadi vifaru vyao.
Lengo la IDF ilikua ni kuweka buffer zone pale Bint jubeir kama walivyofanya Gollan heights,ila WALISHINDWA maana walikutana na upinzani wa Hizbollah.
Unabomoa majengo halafu unashindwa mission iliyokupeleka!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…