Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

jet zinaingia tehran zinapiga zinaondoka


View: https://youtube.com/shorts/nyyS1N-6i7Q?si=4SBYLY_89cS3QE4I
cheki you tube hiyo hapo chuma zinapiga sarakasi over tehran sky

shehe ubwabwa una maneno wewe? eti za tanzania cheng du zinakimbia kuliko F35 za marekani hahahaaa
 
Tena kwa kilichotokea nyuma ndo kinatoa sababu zaidi ya USA kufikiri Iran wataamua liwalo na liwe maana umewachokonoa vya kutosha na sasa umevuka mstari. Pengine ndo walichotaka, patokee vita kamili liwalo na liwe.

Ukisema hizi ni part of possibilities na mbinu walizozitegemea upo sahihi, ila ukisema linalotokea halikuwepo kabisa kwenye possibilities za USA binafsi sioni kama ni sawa. Hata USA wenyewe wakisema hawakutegemea watakuwa wanafanya politics tu kuepusha lawama za matokeo ya vita.

Iran sio kakikundi ka waasi au kikundi cha wanamgambo, ni nchi tena yenye washirika wakubwa, ina Tech, ina silaha tena kali tu, kwanini USA isiwe na possibilities za majibu ya kiwango hichi au zaidi?
 
Reactions: ITR
Kama unafuatilia vyema , matukio yaliyopita yanaonyesha US na Israel wameua viongozi wakubwa sana kijeshi Iran na wenye ushawishi kama Suleiman, Iran ikajibu kwa kupiga kambi za US pale Iraq na maisha yakaendelea.

US na Israel wameua wanasayansi wasomi wakubwa sana Iran, Iran haikujibu.

US na Israel wameua top commanders wengi wa Iran, Iran ikajibu kwa kupiga kambi ya jeshi la US Qatar sijui na wapi , nadhani Kuwait.. kinyonge.. waliua almost 30 commanders... Israel na US wakaomba easefire wakakubaliana na Iran.

Huu mchezo ulishaonekana ni kama kawaida kwao, round hii wameaua viongozi, halafu wakaingia wote vitani kwa pamoja kwa nguvu zaidi wakifahamu wataua, na itakuwa kama kawaida.

Sasa hivi Iran katandika kambi zote za US, chini ya masaa 24, hio ni world record, US kama kawaida alifahamu anaogopwa.

Na vita inazidi kuwa ngumu, Iran imekataa cease-fire, na inaonekana US na Israel walikuwa tayari kwa cease-fire maana hata aljazeera wamesema hilo.

Hivyo Trump si Mungu mtu, Netanyahu pia, ni watu kama wewe na wanafanya makosa, mossad pia ni watu, wanatomba wana wake , wana familia wana watoto kama wewe, wanajamba na kujisaidia, wanafanya mistakes...

Hivyo usije kuona they are soooo special, kwamba wakipanga strategies, plans na kufanya intel hawafanyi makosa...

Hapo ndipo mnakosea, kuiona US ni special...

Ni ujinga tu.
 
Mkuu, nakubaliana na wewe kasoro hapo tu kuwa USA walitegemea kila siku itakuwa business as usual hata baada ya kuua viongozi wakuu. Kwa akili ya kawaida tu, USA inakutana na ilichotegemea hata kama kimechelewa ndo maana wakati IRAN inawapa majibu ya kawaida walirudi kusukuma majibu zaidi. USA ilitaka vita, ilivitafuta vita, ilitegemea vita na sasa imepata vita. Matokeo na kufeli au kufanikiwa kwa vita ni ishu nyingine.

Kwa akili ndogo tu ya kawaida, Hili la kusema USA haikutegemea ni sawa na mtu anayeenda kupima HIV kila wakati anakuta negative, anarudi kufanya ngono halafu anapima tena anakuta negative halafu siku ikiwa positive aseme sikutegemea sababu huwa inakuja negative.
 
We ndio hutafakari ndege mia mbili unazijua wewe? Labda kama matoi, Iran anarusha mesile kwenye kila direction aitakayo, unafanya masihala kushikilia anga. Hebu vipime unavyo viongea kabla ya kuvipost.
Halafu kama wamekamata anga, Usiku ukirusha ndege juu utaona tu missiles zinapotokea, kwanini wasipige hayo maeneo? wapige launchers kwa B-2..

Na je hizo ndege hazi refuel, yaani zinaruka masaa 24? je hazifanyii service? jamaa ni weupe sana.

Maana ya kukamata anga ni kumdhibiti adui asifanye mashambulizi yeyote ya anga, ajabu usiku kucha Israel inapigwa, hii vita ina propaganda za ajabu sana.
 
Kabisa... Ila watanzania tulishagombana na mantiki kitambo sana.
 
Reactions: Tsh
Huu Uzi unanikumbusha ushabiki uliokuwepo wakati vita ya Ukraine na Russia ilipoanza.

Wanazi wa Bonyokwa huzizungumza vita kama vile ni mashindano ya vigodoro mtaani kwao.

Vita watu hufa wasio na hatia.
Kwani wanaokufa wanauliwa na wachangia mada wa Jf au wanauwana wenyewe huko wanaopigana

Ukweli ni kuwa hakuna mTz anayeweza kuzuia hii vita Kwahiyo tunabaki kuwa watazamaji na wahadithiaji tu
 
Ndio maana nakuambia intel huwa zinafeli... hio ni kawaida kabisa..

Kama walitegemea ina maana lazima walijiandaa kukabiliana na hili, je kuna hatua zozote? Israel inazidi kutandikwa, kila siku usiku inapewa dozi.

Wameanza na kutumia iron beam, ile miale kuzuia makombora.. lakini hali ni tete, ina-perform hovyo ndo maana unaona hawapigi kelele kuhusu huo ujinga wa iron beam.


Vita ina utaalamu, na kuna watu wanasomea, ni jambo la kutumia akili, inawezekana walipata intel wakipiga sehemu flani kuna missiles za hypersonic, wakimuua flani uwezo wa kurusha makombora unakuwa mdogo na kuua chain of command... matokeo yake inakuwa sivyo, kwani huwezi jua mwingine kajipanga vipi...

Israel ilishapata intel ya uhakika 2006 kuhusu makombora ya Hezbollah yalipo, walipiga hilo eneo usiku kucha, wakatangaza tayari wamemaliza uwezo wa makombora wa Hezbollah.. baadae mvua ikaanza ya makombora...

Gaza, Netanyahu alisema hawato negotiate, ataipiga Hamas na wataachia mateka, what happened?, Israel walishindwa waka kaa mezani na kubadilishana mateka dunia ikishuhudia...

Elewa intel zinafeli.

Wanaofanya intel ni watu kama sisi.
 
Sijakupinga kwenye uwezekano wa intel kufeli boss. Kufeli na kufaulu kwa intel wala haikuwa hoja yangu. Hoja yangu ilikuwa USA kutokutegemea majibu waliyokuwa wakiyachokonoa yatoke.
 
Wafuasi wa Iran kubaini ukweli kuwa Israel iko makini sana kwenye vita

IDF says it is identifying a shift in Iranian tactics, moving from isolated launches to larger missile barrages instead of single strikes.
 
Ukweli ni kuwa hakuna mTz anayeweza kuzuia hii vita Kwahiyo tunabaki kuwa watazamaji na wahadithiaji tu
Samia akiamua kuingia front vita inaisha ndani ya masaa ma3.
Israel na US wote watakuwa wamekaa chini.
Who are they?
 
BADO UNAONGEA UTUMBO.
Iran ya 1980 ilikua dhaifu ila ilipigana vita ya miaka nane.
Tena iliwekewa armo embargo hakuna kuuziwa silaha.
Iraq ilipigana ikisaidiwa na USA,USSR na France.
Iran ilipigana VITA YA MIAKA NANE NA IKAIBUKA KIDEDEA.
Hapa tunaongea fact sio POROJO ZAKO ZA MAHABA.
 
Hadi sasa Iran haijatumia silaha zake za Khoramshar wala Sejjil.
Wewe kaa jiropokee hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…