U.S iliwahi ingia Vietnam,Korea na kote ikaondoka kwa aibu ilipigana na wachovu kuliko hata huyu Iran sisemi hawawezi kuangusha utawala lakini sio kirahisi hivyo kisa yeye ni U.SNimesoma posts zako, umekuza mambo au pengine una mashaka fulani. Iran lazima ifanye retaliations, hiki anachofanya Iran katika maslahi ya US na Israel kilitarajiwa kabisa.
Hadi sasa nguvu ya kijeshi ya Iran imeshapigwa kwa zaidi ya 85%. Anachofanya Iran ni kutapatapa na kujaribu kuondoa uchungu ambao anao moyoni mwake baada ya mapigo anayokoea.
Take this, kadri siku zinavyozidi kwenda anytime utaona Iran nguvu yake ikishuka chini zaidi, na hapo ndipo mission inakuwa imemalizika.
Mimi nilivyoona US kaingia kazini hapo, nilijua kabisa Iran ndo mwisho wake. US ni kubwa sana saaana kwa Iran, mbali tu na Israel kuwa kubwa kwa Iran.
Sijakataa ila US wanakuwaga wagumu khakuna vita isiyo na vifo mzee hata marekani wangekuja kupigana na sisi lazima wangekufa
Vita Ina mambo mengi sana nje na teknolojia,jeshi kubwa nk USSR ilishindwa Afghanistan,NATO imeshindwa Afghanistan after 20s years,M 23 kundi la waasi lakini majeshi ya SADC na Congo (DRC) yanatoka jasho.U.S iliwahi ingia Vietnam,Korea na kote ikaondoka kwa aibu ilipigana na wachovu kuliko hata huyu Iran sisemi hawawezi kuangusha utawala lakini sio kirahisi hivyo kisa yeye ni U.S
Nilicho gundua pia ni kuwa raia wengi wa mataifa ya kiarabu hawapendi uwepo wa vikosi vya marekani kwenye ardhi zao maana zikipingwa wanasikika wanashangilia.Ina maana muajemi yeye hataki kuona moshi unapungua hayo maeneo...
-Kwa mujibu wa sera yao ya kivita ya sasa ya Iran walisema atakayehusika na yeye atashambuliwa.Nikuulize wewe uko kiulisia Kwa nini Iran anaishambulia Cyprus?
Ukweli ni kwamba vikosi vingi vya west middle ni chanzo Cha migogoro hapo middle east.Na ukifuatlia Kwa undani vipo Kwa sababu ya maamuzi ya wanasiasa wenye maslahi binafsi katika mataifa ya west.Nilicho gundua pia ni kuwa raia wengi wa mataifa ya kiarabu hawapendi uwepo wa vikosi vya marekani kwenye ardhi zao maana zikipingwa wanasikika wanashangilia.
Hapo kwa m23 kuna ulaji wa wakubwa ndio maana hata majeshi ya SADC hayako serious.Vita Ina mambo mengi sana nje na teknolojia,jeshi kubwa nk USSR ilishindwa Afghanistan,NATO imeshindwa Afghanistan after 20s years,M 23 kundi la waasi lakini majeshi ya SADC na Congo (DRC) yanatoka jasho.
Unaweza kuangusha utawala kama ilivyo tokea Afghanistan,Libya nk lakini ukazalisha endless war ambayo ni nje na matarajio au kuibuka Makundi mengi ya kiitikadi,haya tumeyaona Syria,Libya,Somalia,Sudan nk
Wabongo ni watu wa ajabu sana PK kuingilia mgogoro wa DRC wanamshambulia Kila leo lakini Israel na US kuvamia Iran au Gaza ni tendo njema nala kupigiwa chapuo.Jeshi la Iran lime claim kushoot Ndege 3 so far, baadhi ya vyombo vya habari vime confirm na Ndege pia zimetambuliwa, marubani wame eject na wamesha kamatwa Kuwait.
Ila Raia walitoa uchungu kidogo wakawapiga kama wezi kabla ya polisi kuja kuwaokoa.
Video ya Raia wakitembeza kichapo
View attachment 3551096
Haya wale wanaosema Anga la Iran linatawaliwa na Ndege za Israel, Ndege zimesogea karibu Tu hapo Kuwait zimeliwa kichwa, unaingiza vipi Ndege 200 Iran zitoke salama?
Raia wana hasira na hawa jamaa.Jeshi la Iran lime claim kushoot Ndege 3 so far, baadhi ya vyombo vya habari vime confirm na Ndege pia zimetambuliwa, marubani wame eject na wamesha kamatwa Kuwait.
Ila Raia walitoa uchungu kidogo wakawapiga kama wezi kabla ya polisi kuja kuwaokoa.
Video ya Raia wakitembeza kichapo
View attachment 3551096
Haya wale wanaosema Anga la Iran linatawaliwa na Ndege za Israel, Ndege zimesogea karibu Tu hapo Kuwait zimeliwa kichwa, unaingiza vipi Ndege 200 Iran zitoke salama?
Ndio maana viongozi wao nao wanasita sita kui support Israel kwa uwazi, kupinduliwa nje njeRaia wana hasira na hawa jamaa.
Nilizungumza humu,raia wa hizi gulf states wanafurahi anachokifanya Iran. Na inaonekana hawapendi ushirikiano wa serikali zao na Marekani.
Watu walibisha. Huo ni ushahidi tosha.
Nilijua tu Iran ndiye anapiga ndege hizo..Jeshi la Iran lime claim kushoot Ndege 3 so far, baadhi ya vyombo vya habari vime confirm na Ndege pia zimetambuliwa, marubani wame eject na wamesha kamatwa Kuwait.
Ila Raia walitoa uchungu kidogo wakawapiga kama wezi kabla ya polisi kuja kuwaokoa.
Video ya Raia wakitembeza kichapo
View attachment 3551096
Haya wale wanaosema Anga la Iran linatawaliwa na Ndege za Israel, Ndege zimesogea karibu Tu hapo Kuwait zimeliwa kichwa, unaingiza vipi Ndege 200 Iran zitoke salama?
Sasa na Kwa akili yako unaona Utawala wa Iran unatakiwa kuwepo-Kwa mujibu wa sera yao ya kivita ya sasa ya Iran walisema atakayehusika na yeye atashambuliwa.
Keir Starmer alimruhusu USA atumie kambi za Uingereza zilizopo Cyprus. Iran kwa kuona hiyo threat akalipua hiyo kambi.
-Hata Oman amepewa taarifa asipokabidhi marubani watano wa USA waliotua Oman kwa kuishiwa wese basi napo Oman patashambuliwa.
Hiyo ni war doctrine ya Iran ya sasa.