City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Wanavuta Bangi huoni US anaomba msaada wa kutumia kambi za washirika wenzake, ile meli ni kama kambi itembeayo baharini ina uwezo wa kubeba meli tisini na inalindwa na meli kumi na yenyewe ina uwezo wa kujilinda na kushambualia. Pamoja na hayo yote bado imepigwa ndio maana US ameomba washirika wake ,apate sehemu kwa ajili ya ndege zake kutua na kujaza mafuta. Hapo ndio ujue hii sio bangi bali ni Calculated Move ambayo imehit target. Hapo bado kambi zake 27 maeneo ya middle East zimepigwa, ndio maana anaomba msaada kwa washirika wa NATO kutumia kambi na meli zao. Mpaka sasa France na UK tayari wanamsupport US,japo UK nae washairipua kambi yake ya Cyprus.Makombora manne 4" ya ballistic π€ π€ π€ π€ iran wanapigana kama wamevuta bangi
Ina maana Iran pekee ndiye ana missiles za masafa, mbona China ana missiles za bara hadi bara.Mathenge yameanza kutia huruma mtandaoni!
Yanataka msaada kutoka nchi za ulaya.
View attachment 3551136
Iran kwisha habari yake, walijifanya kujua kumbe hata kiongozi wao wa juu walishindwa kumlinda. Wajaribu sasa kurusha tena kombora hata moja waoneWashatangaza Jihad. Hivi unavyoongea wanajiandaa kwa mashambulizi makubwa dhidi ya Israel.
Trump ameshatangaza huko kwake yeye vita imeisha kusiwe na mashambulizi mengine.
Unadhani Iran wataruhusu hilo lipite!?
Huyo ni kiongozi wa dini.
Mfano kujitoa muhangaKwani ili mtu awe gaid ni vitendo vipi akifanya ambavyo wakristo Huwa hawafanyi
Kwa kifupi Iran inamuwinda Netanyahu hivi sasa..Tuhuma za kifo cha Netanyahu ni ili ajitokeze atupiwe kitu kizito. Inasemekana ilihisiwa yuko kwenye ofisi yake imetumwa Kheibar Shekhan moja hapo na pamegeuzwa korongo la majivu.
Ngoma bado mbichi, Hadi Muajemi akate moto inahitaji achangiwe na dunia
Saa moja lililopita Be'er Sheva imepigwa kibiriti.Iran kwisha habari yake, walijifanya kujua kumbe hata kiongozi wao wa juu walishindwa kumlinda. Wajaribu sasa kurusha tena kombora hata moja waone