Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

tayari iran wamerusha mvua ya makombora now.. Ingia Aljazeera ujionee
 
Wazee wa "Free Iran" "Pray for Iran" Yani Kobazi ni wanafiki wakutupwa yapo kimya tu wakati mwenzao anachapika, wanakuja kutia huruma kwenye social media. Useless kabisa
Mkuu hayo mambo ya mashariki ya kati yapo complicated sana. Iran ni muislam lakini ana uadui mkubwa na waislam wenzie eg Saudi Arabia kwa sababu ya tofauti za kimadhehebu ( Shia na Sunni). Usitegemee Saudia au UAE wamsaidie Iran, SAHAU. Kwanza hao majirani wa Iran wanatamani Iran apigwe apigike. Kwao kifo cha utawala wa Iran ni shangwe na sherehe. Waislam ambao hawapo mashariki ya kati ndio wanawaona Iran kama muislam mwenzao,lakini waislam walio jirani na Iran hawampendi Iran hata bure. Ni maadui wa vizazi na vizazi
 
Ha ha ha hiyo Iran acha ichapike. Nchi ilikuwa inajinadi kufadhili ugaidi, ikamuua kijana wetu Mollel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…