Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

hilo suala la kuficha taarifa halisi za vita ziko kila sehemu, hata urusi anaficha taarifa zake...huyo iran ndo kabisa usiseme ndo anazima hadi intaneti ili kuzuia taarifa zake zisisambae..sasa anayezima intaneti na ambae hazimi nani ana afadhali?
 
jeshi la irani ni kama bata asiyeweza kuogelea... vita ya maneno ndo wanaiweza vizuri
 
jeshi la irani ni kama bata asiyeweza kuogelea... vita ya maneno ndo wanaiweza vizuri
Sawa kuna tiketi za bure hapa ukaishi kwenye kambi za Marekani, wenzako wanakimbia huko, wewe huku unajitutumua ni vita ya maneno. Lincoln imekimbilia India, Ndege nyengine zimekimbilia Cyprus etc. kama maneno Yana nguvu hivi then Iran watashinda kwa maneno yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…