Kama Kuna raia muirani anaye jitambu hawezi kufurahia hii kwa Sababu nchi inaenda kuwa kibogoyo kwenye medani za kivita
Sawa RAIA anajitambua
wewe ulitaka IRAN ifanyaje labda baada ya shambulizi la kuua VIONGOZI wake haswa Ayatollah
na marekani kuizunguka kila pembe kwa siraha za hatari ulitaka isalimamri
kwa utamaduni wa waajemi na waarabu kwa ujumla kusalenda kwa MAREKANI ni dharau iliyopitiliza
na katika UISLAM vita vya kwanza kabisa MWENYEZIMUNGU alimuhamulisha MTUME kupigana ni kumpiga aliyekuanza kwa kukufuata kwako
na JIHADI kubwa kabisa ya kwanza ni kutetea NAFSI yako FAMIRIA yako WAZAZI wako DINI yako na nchi yako( watu wako) na ndicho wanachokifanya IRAN
Nadhani unajua Fika kwa namna yoyote ile IRAN lazima ipambane mpak dakika ya mwisho kujitetea na kujilinda
na RAIA yoyote wa IRAN anayejitambua ambaye anajua kilichoitokea IRAQ LIBYA basi hawezi kukubari MAREKANI iwaingilie katika NCHI yao iliyobarikiwa kila aina ya NEEMA
inachofanya ni kujilinda
na ndege zote unazoziona Zinashambulia IRAN zinatoka katika base USA za nchi zote zilizooizunguka IRAN na kwenye Aircraft carrier
IRAN ndio mana anatandika hizo base na ndipo zilipo BOMB nyinngi zinazobebwa na ndege kushambulia IRAN
Ukiacha propaganda za West IRAN ni moja katika ya nchi amabazo wananchi wake wanaishi vinzuri sana ukitaka kuamini hilo tafuta zile min series zile wake jamaa wanaosafiri nchi mbalimbali haswa zinapatikana FACEBOOK REER na YOUTUBE kisha fatilia wakishafika wakiwa mitaani wanazungumza na watu mbalimbali utagundua kinachozungumzwa na media za west na maisha halisi ya IRAN ni tofauti sana na hawa jamaa huwa wanatembekea mpaka vijijini kabisa so huyo RAIA anayejitambua kamwe hawezi kuruhusu au kukubari NCHI yake IRAN kuwa chini ya MAREKANI
ndio maana baada ya KIFO CHA AYATOLLAH walilia sana 7bu walihisi ANGUKO la IRAN limefika ndio mana hata Hivi sasa IRAN inapigana JIHAD haswa na kila MUIRAN unaona kabisa yupo tayari k2a JIHAD ya kutetea NCHI yao
WAIRAN HAWANA NCHI NYINGINE NVHI YAO NDIO IRAN LAZIMA WAITETEE NA HAKUKA OOPTION NYINGINE ZAIDI YA KUPIGANA
we utakubari TANZANIA yako iangamizwe na KAGAME kwa ubabe TU tu hata kama uipendi CCM kupindukia bila shaka Hautataka hilo litokee
utaweka TANZANIA kwanza CCM baadae huwezi kukubari kudharaulika kiuonevu mbele ya KAGAME