joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,513
- 41,719
Mkuu simu yangu ya sasa inashida sehemu nyingi.Weka picha halisi tuone…..
Hadi sasa wanaripotiwa 800+ ila ni raia.Wairan wamekufa wangapi?
Wakuu wanadhani labda mie najitungia habari.Hii habari ata BBC wameizungumzia
ila wanadai drone lkn umepigwa na kitu kizito mshindo mkubwa.
Yenye miji underground dunia hii ni FINLAND peke yake. Walijenga kama ikitokea watashambuliwa kinyuklia na Urusi.Israel Ina miji ambayo ipo underground hata wakibomoa magorofa hawataweza kubomoa underground city
Kuna rafiki zangu ni wapakistani nili waona wakiwa na mapovu hayo wanasema kwanini Israel ,marekani na his allies power wame ingilia internal affairs za Iran Wana hasira hao..Piga hao kobazi wote mpaka wa humu JF ili dunia ielewe kuwa Israel ni Taifa teule la Mungu.
Jamaa anakosa credibility kwa kutia chumvi nyingi mno kishabiki.Eti ubalozi umekuwa majivu 😀😀😀😀
Weka pichaIsrael Ina miji ambayo ipo underground hata wakibomoa magorofa hawataweza kubomoa underground city
Kasemaje?Marc Rubio kasema nini ? Au nimesikia vibaya ?
Mkuu nenda hata BBC katizame picha uone jengo la balozi lilivyoteketea.Jamaa anakosa credibility kwa kutia chumvi nyingi mno kishabiki.
Mnafurahia vifo vya wanadamu wenzenu? Mna laana nyie! October 29 kuuliwa ilikuwa sawa kabisa.Trump kasema kipigo bado hakijaanza. Honestly sijaona kipigo chochote kutoka USA. Na kwa kaul ya Hegseth hata Ayatolah kauawa na Israelis.
Trump anaropoka sanaa hao watu huenda wanayo hio nuclear tayari ila hawataki kuthibitisha tuIran CAN NOT HAVE NUCLEAR WEAPON-Donald Trump.
Usichukulie poa hio kauli.
Tuwashangae nyie wakristo mnafurahia Israel kaua watoto wadogo kwenye shule!!!! Vita havifai kabisa,nyie mmegeuza ushabiki wa Simba na yangaHivi kuna yeyote humu aliekuwepo wakati mabomu ya Mbagala na Gombs yanalipuka? Unaweza kupata picha kidogo ya kuishi kwenye vita.
Hii habari tangu juzi wanaitangaza.BREAKING: Newly appointed Supreme Leader of Iran, Ayatollah Arafi, has reportedly been killed in an airstrike, just hours after being given the role.
Acha udini.Tuwashangae nyie wakristo mnafurahia Israel kaua watoto wadogo kwenye shule!!!! Vita havifai kabisa,nyie mmegeuza ushabiki wa Simba na yanga
Mkuu acha mihemko.Mnafurahia vifo vya wanadamu wenzenu? Mna laana nyie! October 29 kuuliwa ilikuwa sawa kabisa.
Naona main stream media lama Al Jzeera wanasema 550Hadi sasa wanaripotiwa 800+ ila ni raia.