Turudi kwenye uchumi athari yake. Sasa check market fallout jinsi mambo yamechemka:
S&P futures zimedrop 1.5%. Nasdaq futures down 2%. DoW futures minus 705 points, Wall Street iko shaky.
South Koreaβs Kospi imecrash 7.24% , the biggest drop in 19 months. Samsung down 10%, investors wanapull out fast.
Saudi Aramco wameshutdown Ras Tanura, refinery yao kubwa kabisa , 550,000 barrels per day zimeenda offline after drone strike. Hii ni serious supply hit.
QatarEnergy wamehalt ALL LNG production. European natural gas futures zimespike 40% , energy market imepanic. EU walikuwa wanategemea energy ya Qatar kama alternative ya Russia baada ya vita na vikwazo
UAE Abu Dhabi securities exchange (ADX) na Dubai Stock market/Financial Market (DFM) haijafunguliwa siku ya pili leo
Insurance companies sasa wanacancel war risk coverage kwa vessels zinazoingia Persian Gulf. Basically shipping imefreeze, hakuna mtu anataka risk. Gharama ya kusafirisha mizigo kutoka huko zimepanda
Oil imepanda siku ya tatu straight. Analysts wanasema kama Hormuz inabaki closed, $100+ per barrel si story ya mbali. Tusubiri EWURA na bei elekezi
Defense stocks ndio pekee ziko green. South Korean defense companies zinarun 20β30% juu vita kwa ground, profits kwa screen. Hapa ndio makampuni ya silaha faida zianongezeka
Hii ndio reality ya geopolitics kwa market risasi zikilia, financial charts zinatikisika. Money haipendi uncertainty