Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kabisa, na Iran ametambua hilo anapiga kwenye mshono, yaani Trump akibahatika kutoka kwenye hii vita hawezi tena kuleta kiherehere. Atafanya hata sherehe.
 
🀣🀣🀣
 
Bigger picture ni hii

Energy prices kupanda inapelekea gharama za kila kitu kupanda
Oil na gas zikisurge, transport, manufacturing, umeme zote zinapanda cost.
Hii inaleta global inflation wave nyingine.

Nchi ambazo zinaimport mafuta mengi (Europe, Asia, Afrika) zinaumia zaidi. Fuel ikipanda, chakula na bidhaa pia zinapanda.

Supply chain disruption
Kama Persian Gulf na Strait of Hormuz zina shida, hiyo ni route ya mafuta na LNG nyingi duniani.
Shipping ikifreeze + insurance kukata cover = bidhaa kuchelewa + freight costs kupanda.

Tuliona hii during COVID, supply shock inaweza slow down global trade fast.

Stock markets volatility
S&P, Nasdaq, Kospi kushuka inaonyesha investor confidence iko low. Watu wanahamisha pesa kutoka risk assets kwenda safe havens kama gold au US treasuries.

Hii inaweza kupunguza investment, kuslow business expansion na unemployment

Risk ya Global Recession
Kama oil inapanda hadi $100+ na gas spike inaendelea, central banks zitakuwa kwenye dilemma, Wakipandisha interest rates kudhibiti inflation, growth inashuka
Wasipopandisha, inflation inakimbia

Hiyo combo inaweza kusukuma baadhi ya economies kwenye recession.

Defense sector kunawiri
Kama nilivyosema, defense stocks ziko green.
Geopolitical tension ikiongezeka, nchi zinaongeza military budgets.

Lakini hiyo haibalance damage ya energy shock kwa broader economy.

Emerging markets ziko risk zaidi
Countries zenye madeni makubwa na currency dhaifu zinaweza kuona currncy depreciation, capital flight na Balance of payment crisis

Bottom line
Vita ikiendelea, oil ikipanda, shipping ikisimama dunia inaingia mode ya β€œexpensive living + slow growth.”

Na economy ya dunia haipendi uncertainty.
Markets zinaweza recover kama tension inapoa, lakini kama escalation inaendelea, tunaweza kuona slowdown kubwa globally
 
Huyo mtu uongo upo kwenye damu. Sijui anapata raha gani

Kabisa mtu anasema hakuna ndege za Israel?

Ungemuuliza ndege zinazoshambulia Iran zinatokea wapi.? Ungemuuliza pia zinazoshambulia Lebanon muda huu nazo zinatokea wapi
Hii vita yote ni ya Marekani hakuna asiyejua hili. Israel na NATO ni washiriki tu

Israel ana Uchumi gani wa kupigana vita?
 
Marekani Haina kambi za kijeshi Pakistan .Hiyo umeiona wapi boss?
 
na waziri wa ulinzi pia alikataa special protection?
 
na waziri wa ulinzi pia alikataa special protection?
Viongozi wa Iran na makamanda wa jeshi wanaishi kwa kufuata falsafa za Ayatollah, mfano mzuri Tanzania, kipindi cha JPM uliona jinsi viongozi wengi walikuwa wakifuata mienendo ya JPM.

Kuanzia kina Kasim, wakuu wa mikoa n.k..

Kiongzi wako hawezi kjitoa fanya jambo flani halafu wewe unajificha na hujitoi.

Ndio maana wanakuwa easy target.
 
kuna wat
kuna watu wakatili kama waarabu? waarabu si ndo wanaochinja watu na mapanga tena hadharani?
 
kwa hiyo unataka kuniambia kwamba wanajua kabisa kwamba wanawindwa ili wauwawe and then hawachukui measure zozote za kujilinda sababu wanafuata falsafa za ayatolah? ndo unachosema?
 
Nimeona Lockheed Martin, inapanda tu..
Huu mgogoro naamini kuna watu watatajirika sana na wengine watafisilika.
 
kuna wat

kuna watu wakatili kama waarabu? waarabu si ndo wanaochinja watu na mapanga tena hadharani?
Ushaona wapi Taifa la kiarabu linavamia mwenzake ovyo ovyo ambalo halipo supported na west. Vita vyote hapo mashariki ya Kati vimeanza baada ya divide and rule ya west, before that wote walikua Tu ni kama Taifa moja Ottoman na jangwa ambalo kulikua na vitaifa vidogo
 
Huyo mtu uongo upo kwenye damu. Sijui anapata raha gani

Kabisa mtu anasema hakuna ndege za Israel?

Ungemuuliza ndege zinazoshambulia Iran zinatokea wapi.? Ungemuuliza pia zinazoshambulia Lebanon muda huu nazo zinatokea wapi
Kuna watu hawako objective.
Imani inawakataza kuisifia Israel hata kama ni kweli israeli/yahud kafanya kitu. Israel inatakiwa kuhusishwa na mauaji ya wanawake na watoto tu. Sio eti IDF au Mossad wako vizuri...
 
yani iran keshavunjwa vunjwa kila sehem hadi ikulu imepigwa mabomu najiuliza sana alivokua anajipata ana mifumo imara ya ulinzi inafanya kazi gani dah. asingekua amezima internet asee tungeona mengi sana kutoka tehran na ndio maana kakimbilia kuzima intaneti sababu anajua kabisa amejaa porojo nyingi sasa angeaibika. meli zake zote zimezamishwa sasa hivi hana jeshi la majini tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…