Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Una source yoyote ya kuaminika iliyoripoti Iran kumaliza bases zote za US huko Mashariki ya kati?Iran imesha maliza base za US zote middle east.
Tatizo ni kuwa ushindi mnaona ni Ayatollh kufariki, mzee wa miaka 86, hivi ukitoa kifo cha Ayatollah Israel imedhoofisha vipi jeshi la Iran hadi sasa?
Iran hawana haraka, Israel ni kama inaficha kitu kilichokufa ndani, ikifika muda kikaanza kutoa harufu, kila mmoja atafahamu, na hakuna namna inabidi atoe huo mzoga kila mmoja aone.Mbona USA wanaweza kutoa footage kutoka kwenye ndege zao? Iran watoe footage zao wanapopuga sensitive targets za Israel.
Iran as off now hana Air Force, Air defense wala NavyIran imesha maliza base za US zote middle east.
Tatizo ni kuwa ushindi mnaona ni Ayatollh kufariki, mzee wa miaka 86, hivi ukitoa kifo cha Ayatollah Israel imedhoofisha vipi jeshi la Iran hadi sasa?
"No injuries or deaths resulting from the strike have been reported as of early Tuesday evening".π₯π₯π₯π₯
Wajumbe wa baraza la kiislamu waliokua kwenye mkutano wa kumchagua Ayatollah wameuwawa baada ya shambulizi la makombora kutoka kwa Israel
Una source yoyote ya kuaminika iliyoripoti Iran kumaliza bases zote za US huko Mashariki ya kati?
Si kidogo ila pia si meli iliojengwa kwa ajili ya vita Bali Meli ya kawaida ya container wakai repurpose, same issue kama nilivyosema juu Wana Tight budget kila hela wanapeleka kwenye project za maana sio hio midude ambayo ni easy Targetsiwezi kukariri majina ya kiarabuπ... Kwa akili yako unaona hicho walichokifanya Iran ni kidogo sio
Hana air force? makombora yanayokwenda Israel ni ground force sio?Iran as off now hana Air Force, Air defense wala Navy
Amejiandaa na vita vya muda mrefu au ana ongea chochote kufurahisha MAGA wenzake ?π₯π₯π₯π₯
Trump: ulinzi wa anga lao, jeshi la anga, jeshi la majini na uonozit wao vyote vimeenda. Wanataka tuzungumze Ila nimekataa
Jeshi la wanamaji na la anga la Iran ni upuuzi tu pale uliopo huwezi kuwa mfuatiliaji au mchambuzi wa siasa za kimataifa ukasema Iran ina serious Navy na Air force.Irani hana jets. Sijui zile sukhoi za Russia ni nini. Jamaa uongo upo kwa damu
Mbona haisemi kuwa Iran imezimaliza bases zote?
Wewe niambie base gani gulf state ipo active US anaitumia sasa kuishambulia Iran?
Jamaa anachekesha sana. Unalize base za USA wakuangalie tu?Una source yoyote ya kuaminika iliyoripoti Iran kumaliza bases zote za US huko Mashariki ya kati?
Je, yeye anataka kuwapora nini South Korea ?
Wewe ndio unambie kuna base ipi gulf ipo active?Mbona haisemi kuwa Iran imezimaliza bases zote?
Huyu mzee awahishwe hospitali.
Kwa hiyo kwako base kutokuwa active maana yake ndo imemalizwa?Wewe ndio unambie kuna base ipi gulf ipo active?
Hivi ina maana US hashambulii?π₯π₯π₯π₯
Israel muda huu inashambulia kwa makombora eneo la magharibi mwa Tehran
View attachment 3551942
Huyu Babu yako Trump kwa namna fulani maamuzi yake yana ivua nguo U.S kuhusu hii vita inayo endelea kwa sasa, itapata wakati mgumu sana kupambana na mataifa makubwa kama tu Iran ana sumbuana naye hivi na hapo nguvu mbili za yeye na Israel zimeunganishwaKwa hiyo kwako base kutokuwa active maana yake ndo imemalizwa?
Mkuu kuna mashambulizi makubwa ambayo hufanya pamoja, haya mengine ni Israel.Hivi ina maana US hashambulii?
Kwa sababu siku nzima hapa naona ni Israel, Israel kashambulia. Mlipuko mkubwa..
Ina maana US amepumzika hiko kipindi chote?