Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,966
- 8,977
sema mwamba nakukubari sana kwa uwezo wako wa kujenga HOJA zenye mashiko na ufafanuzi wa kinaUmetengeneza hoja mbili na sijui ipi ni sahihi.
Unasema Iran haina hypersonic kwa sababu wangekuwa nayo wangeibadili Tel Aviv kuwa majivu.
Unasema tena Russia hawawezi tumia nuclear Ukraine kwa sababu watafilisika.
Kwani kugeuza sehemu yeyote ndani Kyiv ingepelekea Russia kufilisika?
Kitu ambacho huelewi hypersonic haipimwi kwa uwezo wake wa kulipua sehemu kubwa, hio inategemea na warhead waliyofunga, hypersonic ni kutokana na uwezo wake wa kasi kuanzia mach 5 na kuendelea na pia uwezo wake wa kuhama hama kwenye njia ili kukwepa air defense huku ikiwa na kasi ya hali ya juu. Hivyo huelewi utofauti wa hyprsonic na ballistic.
Kila unaposoma uharo wako huu unaona aibu toka jana umezima simu baada ya uliyekuwa unasema amewekwa sehemu salama kuuwawa kijinga.Labda mpaka jeshi la ardhi la US na Israel liingie Iran na kulishinda jeshi la Iran.
Ayatollah alishawekwa mahala salama mapema kaba hata ya vita.
Hata viongozi wa jeshi la Iran , safari hii walikuwa wanafanya mikutano yao kwa kificho..
Mlituaminisha kuwa Waziri Mkuu wa Israel kauwawa na hamkutuambia Mazishi yake yatakuwa lini!!!Habari nyengine kubwa mbili sasa hivi IRGC wametangaza
1. Destroyer moja ya Marekani imeliwa kichwa tayari km 600 kusini MWA Iran Baharini
2. F15 nyengine nayo imedondoshwa, Waseme tena ni Friendly fire.
HIMARS yupo kwenye huu Uzi anachungulia na kutoka.sema mwamba nakukubari sana kwa uwezo wako wa kujenga HOJA zenye mashiko na ufafanuzi wa kina
kuna muda naona kabisa MAPRO US na ISRAEL wanataka mabishano ili uwape nondo
nakumbuka kama uzi wa RUSSIA vs UKARAINE kuna mwamba mmoja alikuwa PRO US kindakindaki alikuwa anajiita HIMARS alikuwa anashusha nondo na ufafanuzi wa kina sana kuhusu siraha za RUSSIA na US kiasi kwamba mapro RUSSIA alikuwa anatukarisha kila tukienda tunakula za uso kwa hoja na fully ufafanuzi
sasa ndio kama wewe sasa washakuja PRO US kibao lkn unawakalisha kwa nondo zenye hoja na ufafanuzi wa kina
endelea kutupa maujanja
hata kama IRAN itaanguka ila historia yake ya vuta hii itaandikwa mpaka vizazi na vizazi
Hata mm hili la viongozi kuuliwa hovyo hovyo linanikara sana.Ila Iran……
Ingawa sikubaliani na utawala wa Ayatollah, ila jamaa ni wajeuri.
Vita hajaanzisha yeye. Anachangiwa na nchi mbili zenye majeshi bora duaniani lakini bado anapambana tu.
Lakini pia Iran kaonyesha uzembe na upumbavu wa hali ya juu sana.
Ni kama vile Wairan hawana common sense. Sielewi kwa nini viongozi wake na makamanda wao kwa nini wanaendelea na mikusanyiko ya watu wengi na wanaishia kuuliwa kirahisi rahisi kama sisimizi!
Wakishakuwa na digital copy ID yako huchomoki ,Na hakuna kujificha, artificial intelligence na autonomous weapon zitamalizana na wewe, technology waliyotumia kumkamata Maduro chumbani kwake au yule drug cartel leader aliyeuliwa juzi ndio inatumika Iran, hawahitaji snitch siku hiziHata mm hili la viongozi kuuliwa hovyo hovyo linanikara sana.
Hivi kulikuwa na ulazima gani wa Ayatollah kufanya mkutano sehemu wa usalama sehemu ambayo ni target rahisi kwa adui zake hali yakuwa anajua kuwa anawindwa?
El Mencho walimkamata kuwa kumfuatilia demu wake.Wakishakuwa na digital copy ID yako huchomoki ,Na hakuna kujificha, artificial intelligence na autonomous weapon zitamalizana na wewe, technology waliyotumia kumkamata Maduro chumbani kwake au yule drug cartel leader aliyeuliwa juzi ndio inatumika Iran, hawahitaji snitch siku hizi
Nikikuita FALA itakua nimekosea!?Wewe Jamaa akili kisude Israel inahitaji support ya wairan so ukiona imeua raia kama wale wanafunzi ujue ni military blunder tu! Ila ingekua hawataki support ya wananchi wa Iran! Vifo vingekuwa vimeshafika 10,000+
That’s what they want you to believe, fuatilia Anthropic’s claude vs Pentagon upate ideaEl Mencho walimkamata kuwa kumfuatilia demu wake.
Hakuna intelligence iliyo nzuri kuliko human intelligence.
View: https://youtu.be/VGwbP8HIeOE?si=WssrzFPPeH0Hqsm5
Still unaongea UPUUZI.Unafikiri kuunda nuclear ni kama kula maharage , angekuwa anaweza angekuwa nalo na kusingekuwa na wa kumgusa
Punguza kula maharage mabovu 😂Still unaongea UPUUZI.
Viongozi wa chini wa Iran walisisitiza kama wangetaka kuwa na nuke wangeunda ila Khameni amewakataza.
Iran ina uranium iliyorutubishwa kiwango cha kuunda nuke ndani ya wiki.
Hilo hata Mr.Grossi afisa wa Atomic alilithibitisha.
Alireza ni miongoni mwa viongozi waliomsisitiza Khamenei kuunda nuke ila alikataa.
Sasa kafa Alireza ametoa ruhusa.
Nakusisitizaga kama hujui jambo kaaga kimya.Wewe kumbe akili zako ni mbovu!! Unafananisha technologia inayotumika kutengeneza nuclear na hypersonic missile ambayo haina cha maana zaidi ya speed kuwa kubwa?? FYI nchi ambayo ipo nyuma ki-technologia kama Iran itachukua miaka sio chini ya 15 kufanya enrichment ya uranium itakayotosha kutengeneza nuclear weapon kama wataanza from the scratch.
Huna hoja kijana.Punguza kula maharage mabovu 😂
Hizo 2 weeks tumeanza kuzisikia 2008!! Acha story ww.Nakusisitizaga kama hujui jambo kaaga kimya.
2008 Iran waliharibiwa nuke facilities.
Iliwachukua miaka 6 hadi 2013 kurudisha kila kitu na kufanya uranium enrichment na 2015 walifikia kiwango cha kuunda silaha za nuclear. Aliyewarudisha nyuma kiurutubishaji ni Obama kwa kusaini mkataba mpya wa JCPOA.
Hypersonic missile sio kuhusu jambo la speed tu,pia ni jambo la maneuverability.
Unadhani hilo ni jambo jepesi?
Mbona USA na Israel hawajafanya hadi sasa!??
Iran ina enriched uranium ya 70% kiwango kinachotosha kabisa kuuna nukes with in 2 weeks kwa mujibu wa maafisa wa atomiki.
Jamaa namsoma sana, atakuwa mjeda huyuu au war analyst dio kwa izo nondo😁😁sema mwamba nakukubari sana kwa uwezo wako wa kujenga HOJA zenye mashiko na ufafanuzi wa kina
kuna muda naona kabisa MAPRO US na ISRAEL wanataka mabishano ili uwape nondo
nakumbuka kama uzi wa RUSSIA vs UKARAINE kuna mwamba mmoja alikuwa PRO US kindakindaki alikuwa anajiita HIMARS alikuwa anashusha nondo na ufafanuzi wa kina sana kuhusu siraha za RUSSIA na US kiasi kwamba mapro RUSSIA alikuwa anatukarisha kila tukienda tunakula za uso kwa hoja na fully ufafanuzi
sasa ndio kama wewe sasa washakuja PRO US kibao lkn unawakalisha kwa nondo zenye hoja na ufafanuzi wa kina
endelea kutupa maujanja
hata kama IRAN itaanguka ila historia yake ya vuta hii itaandikwa mpaka vizazi na vizazi
What if what you’re telling me to go check out is what they want you to believe? What then…..?That’s what they want you to believe, fuatilia Anthropic’s claude vs Pentagon upate idea