Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kwani huo mkutano ungefanyiwa kwenye mkao ya chini ya ardhi hiyo Israel ingewauwaje?
Tena inasemekana kuwa maafisa wa ujasusi wa Iran walimuonya juu ya kufanyia mikutano kwenye makazi yake kwa wakati huu lakini yeye akakataa maonyo yao.
Na hii ndo hasara ya kutanguliza siasa kwenye mambo yanayo hitaji akili
 
Ripoti;
-Qatar Ministry "Tunachozungumza na wizara ya nje ya Iran kinaonesha matumaini ya amani,ila matendo yanaonekana tofauti,huwenda hakuna muunganiko wa amri baina ya serikali kuu na jeshi la mapinduzi".
-Iraq na Iran Kurdi pamoja na MEK fighters wamepewa silaha kukinukisha ndani ya iran.
 
Jeshi limesha pewa mamlaka yote ya kufanya maamuzi bila kutegemea maagizo ya wanasiasa.
 
Aljazeera live updates;
-US and Israel continue striking Iran and Hizbollah.
-US official and unofficial personnels urged to leave Cyprus as soon as possible.
-Iran striked US Dubai consulate with drone attack.
 
UAE na Qatar wana wiki moja tu ya kuendelea ku-stahimili kuzuia mabomu ya Iran, kwani interceptors wanakaribia kuishiwa na Irani wametangaza siku zaidi ya thelathini za kuomboleza na wamesema hawatopoa. Saudi nae sijui, maana kama akiishiwa Wahouth kwao wanapata mwanya mzuri wa kurusha rocket zao. Baada ya hii vita nchi za middle east zitakaa kuangalia upya ushirikiano na US.
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Trump: karibu waandamanaji 35000 waliuliwakwenye maandamano nchini Iran
Hii figure sio kweli
Iran waliua waandamanaji lakini haifiki hiyo idadi logically
Israel imepiga Gaza miaka 2 kwa jets, shelling za vifaru, rockets, hand guns na kuangusha majengo karibu yote, waliokufa approximately 70,000 kwenye population ya 2.5m
Inawezekana vipi ndani ya wiki moja kuua watu 35000 kwa risasi za bunduki tu kwa waandamanaji wasiofika hata 100k?
Unless kama walitumia gas chamber!
 
Jamaa Yuko well informed
 
Naona Uk nae kamkatalia trump kutumia base yake ya cyprus

Trump anazidi kupoteza uungwaji mkono kwenye hii vita
Usiwaamini wazungu na hizi propaganda.

Nchi za ulaya wanajidai hawaungi mkono US kwenye hii vita ili kupunguza mashambulizi wanayoweza kupata kutoka Iran na vikundi vya kigaidi, lkn subiri kwenye finishing utaona washirika wote wakijiweka wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…