Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Au sio!? Mchambuzi wa mambo ya kijeshi unajua hadi stock ya nchi ilivyobaki.! Basi sawa sisi wengine tunasubiri muda utoe majibu.
 

Rais wa Syria kawekwa na CIA, Israel hivyo anafanya kila watakalo ili aendelee kuishi.
Kumbuka alitaka leta ujinga wakamkosa kosa akili zikarudi
 

Hawauliwi kirahisi ni kwamba hakuna wanaloweza fanya maana wamejitenga na Raia wao.
Wamejenga Uadui
Angalia Ukraine vita imekuwa ngumu sababu Raia wako upande wa serikali
Vietnam pia hivo hivo
 
Watanzania wangapi waliuliwa?
 
Dah umejua kunifurahisha namna ulivyomjibu huyo pimbi anaekurupuka tu kuparamia hoja bila ujuzi.
Lakini pia usitumie nguvu kubwa sana kumwelewesha mtu ambae haijui hata hiyo local physics tunayopewa shule zetu za giza.
 
Hivi kwa uhalisia Tanzania tungeweza dumu kwa siku ngapi dhidi ya hayo mashambulizi?
Sikuuuuu? mbona ndefu

Sema ile dakika moja iliyomuondoa babu Ayatollah ndio kitu pekee tungemudu

Kwa viongozi hawa wanaolilia kutopigiwa makofi wanamudu vipi hiyo pressure ya makombora
 
Sikuuuuu? mbona ndefu

Sema ile dakika moja iliyomuondoa babu Ayatollah ndio kitu pekee tungemudu

Kwa viongozi hawa wanaolilia kutopigiwa makofi wanamudu vipi hiyo pressure ya makombora
Au Hassan Nasrallah aliuliwa 20m chini ya ardhi.
Tanzania hatuna bunker ndefu kihivo.Wanawapiga wakiwa cabinet meeting
 
Au Hassan Nasrallah aliuliwa 20m chini ya ardhi.
Tanzania hatuna bunker ndefu kihivo.Wanawapiga wakiwa cabinet meeting
Hao wanavyopenda kukusanyika kama manyumbu
Uzinduzi tu wa kisima cha mtaa au soko tu unaona Rais VP PM CJ SPEAKER CDF IGP DGIS CGI CGP na mawaziri wote

Wapo zao chini ya maturubai na nyimbo za mpoto zinapigwa
Ndege 1 tu inatosha kuanza upyaaaa
 
Hawauliwi kirahisi ni kwamba hakuna wanaloweza fanya maana wamejitenga na Raia wao.
Wamejenga Uadui
Angalia Ukraine vita imekuwa ngumu sababu Raia wako upande wa serikali
Vietnam pia hivo hivo
Nani kakudanganya Ukraine wapo pamoja na serikali!??
Ingekua hivyo ile mikoa iliyobebwa na Russia wasingekubali kuingizwa kwenye Russian federation.
Ingekua hivyo vijana wasingekua wanakimbia ili wasiingizwe vitani na kumuita Zelensky muuaji wa raia wake mwenyewe.
 
Kwa mashambulizi anayofanya Israel na US kwa pamoja kama isingekua hizo radar unazozidharau muda hii Iran ingekua Gaza.
Kila shambulio Israel na US wanapeleka ndege sio chini ya 150 kwa mujibu wa ripoti zao wenyewe.
Kati ya hizo ndege 150 Iran kaangusha ngapi? Oops kuna mtaalam mwenzio alisema haziingii anga la Iran zinapiga kwa nje πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Msemaji wa jeshi la UAE amesema wana interceptors za kutosha. Mtaalam wewe unasema wanazo za wiki moja tu. Vipi ulihack kwenye system yao kujua hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…