Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Mbona nyie mmezima internet na hatusemi,😊
 
Una Akili sana 💯

Ni vile tu humu ndani Kuna usimba na yanga ila umekwiva sana katika kuwa well informed Kwa mtu mwenye Akili timamu anapo kufuatilia Akiweka mahaba pembeni anaweza kutambua the way ulivyo Na high IQ , unaweza kutetea hoja zako with valid evidence tofauti na wengi humu
 
Na mlisema mkiwa kwenye maombolezo hamtaki suala la amani, sasa hata viongozi kuwasiliana hawawezi na nasikia ayatollah mpya yuko kwa bunker 🤭
Mpaka Israel iwe kama Gaza.
Na sasa interceptors zinaisha.
Israel hivi sasa ipo kwenye dilemma, baadhi ya shaheed drones wanadungua, nyingine wanaachia.
 
Ila kale ka rais ka Iran wa kuitwa Masood muhuni sana


yule faza huwa hashiki simu kipind Cha Vita yeye kazi yake huwa anamwachia msala abas wazir wa diplomat wa Iran🤣🤣🤣

alikoswa koswa kwenye Vita ya siku 12 akavunjwa mguu
 
Watu zaidi ya buku washakufa Iran yaani kiufupi Iran kwenye maandalizi ya vita huwa anawaza missiles na drones tu vingine vyote anasahau,
Yes ila watu wa kawaida mostly, Iran hawafichi Vifo vyao, Kati ya hao wengi wamefia mashuleni na Hospitali, watoto wadogo etc.

Iran pia ana uwezo huo akiamua kulenga watoto na wanawake ila atleast wao Wana deal na military infrastructure.
 
Mkuu haya mataifa ukitaka kulinganisha hivi utapotea. Iran walipiga marufuku cnn toka 2006, amepiga ban bbc, amepiga ban instagrt na mitandao mengie. Unataka kusema iran Kuna kitu wanaficha?
 
Yes ila watu wa kawaida mostly, Iran hawafichi Vifo vyao, Kati ya hao wengi wamefia mashuleni na Hospitali, watoto wadogo etc.

Iran pia ana uwezo huo akiamua kulenga watoto na wanawake ila atleast wao Wana deal na military infrastructure.
Huu ni uongo, kote kote wanacheza foul. Iran anashambulia pia maeneo ya raia
 
Safi
Safi , Hii tu ilitosha kumaliza ubishi ,
 
Kwani wewe Myahudi kumtimua Al Jazeera alikuwa anaficha nini?
Mkuu hilo swali nimeligeuza ili upate kufahamu kwa hizo nchi za Israel na Iran zinapiga marufuku hizo media

Lile ambacho unahisi Israel anakificha ndio hiko hiko Iran anakificha kwa kuzuia hizo media na mitandao ya kijamii.

Pia unapaswa kujua hata Iran waliipiga ban Al Jazeera kwa zaidi ya mwaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…