Walishaondoka siku nyingi!Sidhani kama US ni wajinga kwamba hakuondoa askari wake hapo kwenye hizo kambi kabla hajashambulia Iran.
Subiri uone!
Yani upo kibaha madafu lkn unajua silaha zote za USA middle east zilipoWalishaondoka siku nyingi!
Marekani kwenye hizo kambi yamebaki magofu tu ila vifaa muhimu na askari waliamuliwa kuondoka.
Ayatollah akipona safari hii sijui.
Ilikuwa lazima Iran ashambuliwe, isingewezekana USA kurudisha vifaa vyote vile bure tu.
wamepiga RiyadhSaud Capital ndio wapi? Saud Arabia au?
RiyadhSaud Capital ndio wapi? Saud Arabia au?
Wewe ni liongo takataka kabisa, Israel kila siku wainjilishaji wanaenda kujifunza na kuhubiria watu.Nchini Israel hakuna wafuasi wa Yesu (hakuna Wakristo) na wala hairuhusiwi kupeleka Injili huko.
Ni rahisi kwenda kuhubiri Injili Saudi Arabia kuliko kwenda kuhubiri Israel.
Angalau Kuna Waisrael Waislam ila Waisrael wakristo kwanza kuwapata ni shida kwa kuwa hawakubaliki....
Ila wwWote wapo kwenye mfungo nani ataibuka mshindi kati ya wala tende na wanywa mvinyo wenye chachu?
Kinachoumiza ni watoto watakaokufa wasio na hatia.
Sasa unaikataa dini yako ya kiislam ili ionekane mtu mwema mtandaoni 😁😁Wapi nimejiambatanisha na Wakristo?
Nyie walokole wa kimatumbi mna akili kisoda sana
Israel wameua maelfu ya Wakristo wa kipalestina ila mnashangilia tu kama magoigoi🚮
Wananchi hawatakubali hiliViongozi wao ndio wanao tumika na Israhell
Sasa Iran hana chakupoteza Anatwanga tu
Achana naye huyoYani upo kibaha madafu lkn unajua silaha zote za USA middle east zilipo
Lakini hao waarabu na wenyewe ni maadui wa Iran, wanatamani Iran apigwe awe dhaifu. Ni vile tu hakuna mtu anaefurahia vita nchini mwake. Waarabu wanatamani Iran ipigwe lakini bila kuwaathiri wao. Na ndio maana Iran analenga kambi za kijeshi za Marekani hapo masharki ya kati ili na waarabu waonje kidogo kidogo joto.Hii vitu haina siku zaid ya 2 inaisha hao waarabu wanaoshambuliwa kambi za USA nchini mwao watasababisha vita iishe mapema wananchi wao hawatakubali huu upumbavu
Dunia ni kijiji dogo, wewe bado unaishi enzi za vita ya kageraYani upo kibaha madafu lkn unajua silaha zote za USA middle east zilipo
Kishasambaratisha kambi zote za USJUFFAIR BASE BAHRAIN KUNAWAKA MOTO. MUAJEMI KAANZA KAZI.