Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Tqngu juzi mashambulizi yamepungua. Kwanza tuliambuwa wanafuturu,wakasema bado wanasubiri wale daku. Siku ikaisha sasa wachambuzi wetu wa JF wanasema hio ni strategy wanaacha wapigweee hadi silaha za US ziishe wao ndio wataanza.
Mkuu Israel na Marekani wanaendelea kupewa kichapo na Iran, sema wao wapo vizuri kwenye kuzuia taarifa za ukweli na kutoa habari za uongo ili ionekane hawajapata madhara makubwa kwenye hii vita. Ndio maana serikali ya Israel imeajili watu kwa kazi hiyo kama umemsoma matunduizi kwenye post yake ya 4,094 utaelewa mini namaanisha hapa
 
Does the Iran war work well as a distraction from the Epstein files?

👍 Friends, many of you have asked us not to forget about the Epstein files, as one of the main purposes of the Iran war is to distract attention from the biggest and dirtiest scandal in political history.

Of course, we continue to support this topic. But how successful is the war in Iran at diverting attention from the Epstein case? The fastest way to check this is to look at Google Trends and see what people are currently searching for around the world.

📊 Here are the two trends:

1. "War in Iran" is indeed now being searched for many times more often than the Epstein files.
2. The good news is that the popularity of search queries about the Epstein files has not changed quantitatively, even since the war began.

👉 By the way, it would be interesting to know your opinion on why the war started now.
 
Mkuu unamaanisha marekani akishambuliwa base zake taarifa haziji?? Unamaanisha pia Israel akishambuliwa ndani taarifa haziji?
Habari unaweza kuzicontrol vipi zisitoke??
Hivi unajua leo ni siku ya 5 Iran Hakuna internet kabisa, lakini bado matukio tunayapata? Vipi kwa nchi zenye base za marekani ambapo Internet ipo free?
 
Mossad na CIA ni miungu?

Usitake kuwafanya wana u special sana..

Hao ndio walisema Saddam Hussein ana WMD(silaha za maangamizi), akavamiwa na nchi 42(operation desert storm). akanyongwa, baadae kuja kukagua hana silaha yoyote ya maangamizi.
Humu ndani propaganda ni nyingi sana kuliko uhalisia
 
Nakupata mkuu. Ila Iran kichapo kinatembea au sio?
 
We unademka kwa furaha wenzio wanauana huko! hapo raha kabisa reporter bandia wa kiyahudi!!!!!!
Waarabu-koko acheni kujilizaliza kama vitoto vya nguruwe!!!

Kabla bwana wenu hajaanza kupigwa mlikuwa mnamramba makalio sana na kumpa sifa ambazo hana naye kawa na kichwa kikubwa kajiona anaweza kupigana na wababe wa dunia, sasa yako wapi maana anapigwa kama ngoma tu!!
 
Dege la kivita na la kinyklia la US E-6B Mercury, inasemekana tangu jana liko hewani.
Hii wanasema sio kwa ajili ya combat ila ikitokea mifumo yote imefeli kwa kushambuliwa, au hakuna mawasiliano yoyote au kuna ulazima utatokea hili dege linawasiliana na nyambizi za kimarekani zilizoko baharini ambazo huwezi kujua hata sasa ziko wapi na mzigo unarushwa kumaliza kazi.

Ikumbukwe US anasubmarine zaidi ya 60 chini ya Bahari na ubaya wa haya madude huwa hayajulikani yalipo hata yakihama hujui. Unaweza kukuta limeshakusogelea wewe unapambana na wakina Ford na Destroyers.

Ni hayo tu.
Vijana wa hayati Ayatollah wanapigwa presha hapa
 
Mostly sababu Hamas hawatumii technology, wamepanga vita Yao na Makaratasi na wanawasiliana kawaida.

Hizi simu na os zetu zinasikilizwa 100%, vifaa vyao Marekani washaweka backdoor zao siku nyingi Tu, kupitia backdoor wanapata Taarifa,
 
Mkuu nimekupata sawia sana cause nilikuwa najiuliza sana hili swali na wengi humu huwa wanaliuliza kwanini Israel na intelejensia yake yote alishindwa kupata mateka kwenye eneo dogo tu la Gaza hadi wakawa wakafikia makubaliano ya kubadirishana mateka. Asante sana mkuu.
Sema Irani ni mbishi kweli!!
 
Ukiacha live coverage asilimia karibu ya 80 ya Taarifa ya hii vita ni Propaganda kwa pande zote mbili. Kuna mafia ya picha za Ai yanasambazwa kuonyesha Iran anashambulia au Israel.
Ukweli wanaujua wanaoshambuliana.
Hapa tunachangamsha kijiwe tu.
 
Mostly sababu Hamas hawatumii technology, wamepanga vita Yao na Makaratasi na wanawasiliana kawaida.

Hizi simu na os zetu zinasikilizwa 100%, vifaa vyao Marekani washaweka backdoor zao siku nyingi Tu, kupitia backdoor wanapata Taarifa,
Kwamba wanatumia mbinu za kizamani kufanya mawasiriano yao. Niliwahi sikia hata Osama alikuwaga anaitumia hiyo mbinu yaan ni barua tu au vikaratasi ndo vinatumika kuwasiriana ili kukwepa kujurikana kwa wenye teknolojia yao.
 
Mbona kiwango cha makombora wanayorusha Iran imepungua sana,nini tatizo?
Sababu kiwango cha uminywaji habari kimeongezeka, Ben Guiron ilikua ifunguliwe asubuhi ikatandikwa Tena. Ila probably usione popote pale, in short Mimi na wewe hatujui lolote ndani ya Israel na extent ya destruction.

Huko kwa washirika Jana kuna sharpnell zilipiga mabomu depot za mafuta yakawa yanawaka mpaka Leo hakuna hata MTU mmoja aliye attempt kuzima kila MTU kajikatia tamaa.

Drone za Iran zinapita Tu juu kama tax hakuna anaezigusa,
 
Kwamba wanatumia mbinu za kizamani kufanya mawasiriano yao. Niliwahi sikia hata Osama alikuwaga anaitumia hiyo mbinu yaan ni barua tu au vikaratasi ndo vinatumika kuwasiriana ili kukwepa kujurikana kwa wenye teknolojia yao.
Yap, ama uwe na vertical integration kama China ama Urusi, unatengeneza hardware yako from scratch.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…