King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,350
- 6,098
Tunapoelekea ni MUNGU tu ndio anaejua. Maana hii vita na matokeo yake yatamgusa kila mtu duniani kwa namna moja au nyingine.Point ya 10 ndio matokeo ya vita hii kwa mujibu wa watabiri. Israel itakuwa na influence kubwa sana middle east na duniani
Sawa echolima 1(choo cha kulima 1).Acha ujinga wako fungal bakuli lako kama huna hoja!!!
Israel inamaliza hadi maeneo ya PropagandaAzadi stadium in Tehran obliterated.
Huyu jamaa anatangaza kwa huzuni sana.Israel inamaliza hadi maeneo ya Propaganda
Wana tupanga sana ๐๐Mkuu Israel na Marekani wanaendelea kupewa kichapo na Iran, sema wao wapo vizuri kwenye kuzuia taarifa za ukweli na kutoa habari za uongo ili ionekane hawajapata madhara makubwa kwenye hii vita. Ndio maana serikali ya Israel imeajili watu kwa kazi hiyo kama umemsoma matunduizi kwenye post yake ya 4,094 utaelewa mini namaanisha hapa
IRGC wamekataa mpaka Israel wanyooke..
Sisi unatuweza kwa propaganda... Iran hali ipo vibaya sanaSasa mbona anaenyooka ni Iran au?
Huu ongo wa kitotoMkuu sio Iran tu Israel unaambiwa wamekufa watu wengi na kuna tetesi wanajeshi wa marekani wamekufa idadi ni 500 plus sema ndio hivyo wao wanaficha tofauti na irani.
Mkuu kuna watu hawajajua ubora wa Marekani na Israel kwenye kuminya taarifa linapokuja suala la vita. Na hapa kwa kutumia media zao kubwa watataka dunia nzima ione madhara ya vita kwa adui zao tu nasio kwao.Wana tupanga sana ๐๐
Asee naona teams wapo ready kabisa inaonesha namna Gani wapo well informed wapi drone utatia. Huku kwetu mabomu yalijilipua yenyeweIranian drone strikes Nakhchivan, Azerbaijan, for the first time
Iran has threatened to strike Dimona if the US and Israel seek regime change.
NB: Iran kaanza maneno ya kwenye khanga,kuua kwa Ayatollah ni red line tosha,wapige wanapoweza.
Bado magereza๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Israel imeshambulia kwa makombora kikuo kikubwa Cha polisi moshiriyeh
View attachment 3552825
Sawa chai jaba.Huu ongo wa kitoto
Kaka usiweke chumvi kwenye kidonda.. bado tunaomboleza kifo cha Khayatolla na makamanda. Hali yetu mbayaKwa hiyo wewe sasa umeanza Propaganda maana hujasema chombo cha habari kipi.
Haya maneno ya kusema ** Kwa mjibu** ni uongo na kama una uhakika wa chombo hicho tuwekee hapa na sisi tukione kinyume chake utakuwa unatulisha Matango pori
Hakuna ugumu wowote kupata habari Israel habari zinatoka kama kawaida shida yenu mnataka Israel ipigwe na Iran anaposhindwa ninyi mnalazimisha amepigwe wakati hakupigwa na mko tayari kuokota za video za AI ili tu Israel aonekane amepigwa.
Mme set mind zenu Israel atapigwa nami nawaomba hapigwi mtu hapo Iran ndiyo anapigika sana, Mliaminishwa kuwa Israel hawezi kuivamia Iran haya sasa yametimia na kazi mnaiona Gaidi Ayatollah Ali Khamenei hatuko naye!!! Tafuta I visingizio vingine kuficha aibu yenu!!
Ha ha ha sasa huyu si ndio alikuwa anasaidiwa na Iran na N.Korea? Amalize vita Ukraine kwanza.BREAKING: ๐จ๐ท๐บ๐ฎ๐ท
Kremlin says Iran has not requested any military assistance or arms supplies from Russia