Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Unaandika ukiwa kiwalani kwenye chumba cha kupanga. Ujuaji ujuaji tu. Mibongo bana. Baada ya hapo unaenda kwa mangi kukopa unga.
 
Kumbe jadiliana na kiazi 🚮
 
Hujui hata Biblia wala Historia
 
Mungu tuhurumie kwa namna wanavyochapana hivi utulivu hautakuwepo leo
 
Walishaondoka siku nyingi!

Marekani kwenye hizo kambi yamebaki magofu tu ila vifaa muhimu na askari waliamuliwa kuondoka.

Ayatollah akipona safari hii sijui.

Ilikuwa lazima Iran ashambuliwe, isingewezekana USA kurudisha vifaa vyote vile bure tu.
Usitudanganye hapa. USA aliondoa askari wake Al udeida base ya Qatar peke yake. Kwingine kote askari wapo.
 
Na hyo ndo njia pekee ya kumaliza vita hii
 
Israel ni mbwa koko tu; anategemea Marekani yenye kituo cha kijeshi pale Israel.
Uwezo wake wa kijeshi ni wakawaida saaana ila ni overrated hasa huku kwa wafuasi wanao fikiri waisrael ni wakristo!
Safari hii mtaficha kichwa wapi nyie wasunishia?😛😛
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…