Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Iran kapiga UAE,Qatar,KSA,Bahrain,Cyprus,Azerbaijan yaani anatafuta Shari kila mahali.
 
Iran inaonekana kuzorota kama 12 days war June 2025. Ni kama wanakatisha tamaa, hivi ni strategy zao au ndio wanakata moto!?
Maana mashambulizi yanafanywa ya kinyonge sana.
Wenzao wanapiga bombing heavy wao wanapiga ado ado.
Kwasasa Israel imeweka udhibiti mkali sana dhidi ya usambazaji wa habari juu ya madhara na baadhi ya mitandao imekuwa ikizifuta video zinazo postiwa kwa hiyo kwa sasa tuko gizani.
 
Kingine nahisi kuna viongozi waliouwawa ndio walikuwa wanafahamu stoke ya makombora yalipo maana hawa jamaa walikuwa na siri mno.
 
Iran inaonekana kuzorota kama 12 days war June 2025. Ni kama wanakatisha tamaa, hivi ni strategy zao au ndio wanakata moto!?
Maana mashambulizi yanafanywa ya kinyonge sana.
Wenzao wanapiga bombing heavy wao wanapiga ado ado.
Nilipokusoma mwanzo sikukuelewa. Ila kuna post ingine nimekusoma naona umeshakubali ndugu zetu Iran hali ni mbaya.
 
Mpaka viwanja vya mipira?
Ndio hivyo mkuu tukiwambia watu Israel na Marekani washapanic kwa kufanya mashambulizi ya ovyo yasiyo na impact yoyote yenye kutimiza malengo yao ya kijeshi. Utakuta wapambe wao wenye mahaba wanao tumia hisia na sio akuili kufikilia kama mfono Echolima1 (choo cha kulima kimoja1) watakwambia chini ya huo uwanja kukikua na andaki la askari wa irani.
 
๐Ÿš€๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Iran fires its SUPER HEAVY Khorramshahr 4 missile towards Israel

The strike was carried out early on Thursday morning, Iranian media reported.
 

Attachments

  • VID_20260305_145333_751.mp4
    3 MB
๐Ÿช–๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ 'Get used to the sound of sirens', Iranian Brig. Gen. Heydari tells Israel

๐Ÿ’ฌ "Iran will not let Israelis taste security and comfort after attacks on Iranian soil."
 
Mkuu mbona Israel na marekani wote wanatoa taarifa za vifo. Marekani wametoa taarifa hizo na tumeziweka sana humu za wanajeshi waliokufa, wamewasafirisha kwenye ndege yote imeonyeshwa hadi walivyopokelewa. Makombora yametua srael na kupiga mbona huwa wanatoa taarifa na kutaja idadi ya majeruhi au vifo
Mkuu kwa hiyo Iran wakizima internet Ina faida sababu ya usalama wao, je marekani au Israel nao wakizima internet inakua haina faida kwa usalama wao?
Mkuu kwa hiyo unakubali iran kuzimwa internet ni sahihi sababu kuzuia misinformation. Hizo misinformation haziwezi kuwepo kwa upande wa marekani au Israel?
Mkuu ingezimwa internet kwingine ungesema ni uminywaji wa taarifa
Mkuu mbona marekani wametoa taarifa za vifo vya Askari vilivyotokea. Au ilibidi watoe vipi?
Mbona athari zinatangazwa? Netanyahu alienda live kutembelea maeneo yalivyoshambuliwa akiwa live na wakaonyesha athari zilizotokea? Au mkuu inabidi watangaze vipi?
Hapa Netanyahu alikua kwenye sehemu iliyopata athari baada ya kupigwa na makombora
 
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ Massive destruction and civilian casualties in Tehran
 

Attachments

  • VID_20260305_150041_600.mp4
    66.6 KB
  • VID_20260305_150038_814.mp4
    3.7 MB
  • VID_20260305_150036_220.mp4
    440.3 KB
  • VID_20260305_150033_574.mp4
    854.1 KB
US and Israeli airforce has targeted multiple Iranian regime police headquarters across Iran in strikes today.

Lengo ni kuidhoofisha serikali ya Iran iseweze kusimamia nchi hili Watu wakiingia barabarani wanatangaza nchi
Kwahiyo mpaka kiwanja cha mpira nacho kinatumika kusimamia nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ