100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Hio ni military deception...Eti Jana wakatangaza kuwa leo watafungua uwanja vya ndege maana makombora ya Iran yamepungua asubuhi na mapema tu Iran akaupiga kwa makombora ili tuone jeuri wa kuufungua wataitoa wapi.
Iran walivyo na hasira wakikamata mshirika wa Marekani sijui watamfanya nn.Kurdi wanaelewa kuusoma mchezo, maana IRGC hivi sasa wapo kwenye mode nyingine.. mkikamatwa ni kitoweo.. uzuri na wao wanakataa..
Iran wamesema kuwa wameipiga meli ya kubeba ndege kwa drone.Hio ni military deception...
Iran wanakuwa wajanja sana.. i kweli kwamba missiles zimeisha, watu humu walisema sana 12 days war , Iran kaishiwa na nuclear zimeharibiwa.. sasa kapiga base za US zote middle east...
Hapo wanaweza kufanya mashambulizi makubwa sana na ya kushtukiza, huwezi fahamu wana mpango gani , ama wanajipanga na lipi, ama wanatafuta target ipi...
Kama hivyo wanafungua Airport, huduma na vitu vingine halafu dhahama inashuka...
Wanaweza hata kumpika..Iran walivyo na hasira wakikamata mshirika wa Marekani sijui watamfanya nn.
Kushambuliwa kambi za jeshi zote za US middle east na
Mlipuko mkubwa haupo ndugu mnazareti
Mkuu umeelewa nilichosema hapo?[FONT=georgia]Israel ilitangaza ni marufuku ku post taarifa za uharibu zinazosababisha na makombora ya Iran, na waandishi wa nje wamezuia kufanya live coverage, na chochote kabla ya ku post idara za usalama zi review [/FONT]
F-35 kuirusha kwa lisaa ina cost around $42,000...Kwa siku US anakadiriwa kitumia Trilioni 2+ kwenye hii vita.
Masikini sisi tupigane vita vya uchawa tu hivi vya kisasa bajeti ya taifa ya miaka 20 inaweza kutumiwa kwa wiki tu
Mlipuko wa drone ni tofauti na kombora Likishuka kombora lazima mlipuko uwe mkubwaMlipuko mkubwa haupo ndugu mnazareti
Bado hujakoma? πππHao askari wa USA washaanza kupunguzwa na Iraq hizbollah.
Hadi wafike Iran washachoka na kudebweda.
Unastahili tuzo πππNdicho hiko nawaambia hapa..
Serikali ya Israel inajitahidi kwa nguvu zote kuionyesha dunia things are just OK!
Kwa kupiga picha kiongozi yupo hadharani, kwa kusambaza habari biashara zinaendelea, kufungua Airport..right now its dangerous out there...
Nashangaa jinsi mnavyodanganyika kwa cheap propaganda, kila muda Israel ving'ora vinalia, na hamfahamu mtaishi wapi... hapo ni kuzimu sasa.. middle east yote Israel na Iran ni sehemu hatari.. bora Iran ni kubwa... Israel ukisimama Golan height ukapiga mluzi nchi nzima wanakusikia.. π€£ π€£