Hehehehe, unaiona Rwanda ilivyo mbabe wa bongo na kiuhalisia inaweza kuichakaza vizuri sana sasa ndivyo ilivyo kwa IsarelIsrael ni mbwa koko tu; anategemea Marekani yenye kituo cha kijeshi pale Israel.
Uwezo wake wa kijeshi ni wakawaida saaana ila ni overrated hasa huku kwa wafuasi wanao fikiri waisrael ni wakristo!
Iran ni li dude likubwa sana , tangu kale hao ni wazee wa vitaa kumbuka alishawahi kuwa kiranja wa dunia🤔Hatari sana, kuna kina France na Germany nao wamejificha
Nina ripoti zote zinazotangazwa vyombo vikubwa. USA aliondoa jeshi AL UDEIDA PEKE YAKE.Hufuatilii pekeako hizi habari!
Kwenye ile vita ya siku 12 USA na Israel walimsoma Ayatollah kisha wakajifanya kusitisha vita kumbe wanarudi kujipanga upya.
Moja ya target za Iran siku zote ilikuwa ni hizo kambi ndio sababu USA aliondoa watu wote kukabaki empty ndio maana unaona makombora yanatua bila upinzani.
Safari hii Bibi na Trump wamekuja wakiwa full kwahiyo Ayatollah hachomoi
Unadhani ni rahisi kihivyoJamani brics wako wapiii na mrusi wamsaidie kdgo muirani mazee dah sio poaaa
Iran kuna watu ndio hawapendi utawala wa Ayatollah ila kwa Pamoja wairan wote wanaopenda na kumchukia Ayatollah hawawapendi Shah, Shah mwenyewe kila siku anasujudia ule ukuta israelUmetumia kigezo gani cha kijeshi, kiteknolojia au kiuchumi kufikiria hvyo au ni hisia? Ki fact Israel iko mbali sana kijeshi la kisasa ukilinganisha na nchi zote Mashariki ya kati na baadhi za Ulaya...ila hawana eneo, Iran ni nchi kubwa sana kijeografia ambayo ni nzuri kwa kujilinda na makombora. Kuna nchi ambazo huwezi kuzishambulia kwa makombora ukashinda hata kama zingekua hazina jeshi kama Iran, US, Russia, Afghanstan kwa sababu ya geografia yake. Plan ya US na Israeli sio kuharibu Iran...ukiharibu Iran mashariki ya kati kila siku itakua vita, plan ni kudhoodisha uongozi wa Ayatollah na jeshi lake ili yatokee mapinduzi ambao utaongozwa na na wa Shaa ambao ndio walikua viongozi halali wa Iran kabla ya mapinduzi ya Ayatollah miaka ya 70. ma SHAA walikua marafiki wakubwa wa Israeli na US na hadi sasa 50%ya raia wanaunga mkono Ayatollah na 50% wanaunga wa Shaa ambao wako uhamishoni...
Hahahahahaaaaa kobaz Hahahahahaaaaa nacheka hapa kwa sauti.Leo umemaliza mapema kumbadil nepi huyo kibibi?
Wanachi wapi?Hapo wananchi watalalamika kuhusu usalama na watu watarud mezan kumaliza vita
Iran alishawahi kuwa kiranja wa duniaJamaa ni Kiboko
Dahh 🤣Taarifa nzuri sana kwa wachimbaji na wafanya biashara ya dhahabu na mafuta...usiwahi kuuza mzigo, soon bei inapaa
SameKubeti sijui na sijawahi waza kujifunza asee
Iran hakuna wa kumsaidia mkuu. Kwanza nchi za Brics zina uhusiano wa karibu sana na Israel. Mrusi ni rafiki wa Israel, waziri mkuu wa India juzi hapa alikuwa kwenye ziara nchini Israel. Iran yuko yatima.Unadhani ni rahisi kihivyo
Labda wewe uende kuwasaidia
Nmesema wananchi wa nchi hizo za kiarabu zinazoshambuliwa na IranWanachi wapi?
. Wanachi wa Iran wanarekodi mobomu yakitua huku wanashangilia
Iran hata kabla ya kushambuliwa usalama kwa Raia ni mdogo sana. Watu wakikosoa tu unapewa kesi ya kunyongwa.
Sasa hivi dola moja ni sawa na mabilon ya Iran
Muda wowote raia wanaweza kurudi mtaani kushinikiza Ayatollah aondoke madarakanj
hakuna nchi BRICS yenye ubavu wa kupeleka pua yake kwenye hii vita Iran inakung'utwa na utawala huu wa sasa wa kishetani unaanguka.Jamani brics wako wapiii na mrusi wamsaidie kdgo muirani mazee dah sio poaaa
🤣🤣🤣Shia limeshiba daku
Nipe mchongo bongo kugumu hukuHahahahahaaaaa kobaz Hahahahahaaaaa nacheka hapa kwa sauti.
Utoto kafanye na watoto wenzako🤣🤣🤣Shia limeshiba daku