Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Siasa za ukanda wa mashariki ya kati ulizifuatilia kwa undani mkuu!??
Qatar iliruhusu base za Usa,kwanini ina mikataba ya kibiashara ya gesi na silaha kisiri na Iran?? Tena mwaka jana June war ndio iligundulika!??
Nimekuuliza kwanini wanaruhusu hizo base zikae hapo? Wewe si ndio mtaalamu wa vita na siasa za ukanda huo. Jibu swali.
As long as Iran yuko fit hapo hamna alie salama hadi Israel.
 
Uarabuni sio safe ukipata upenyo rudi home kwa sasa
 
-Trump "hatujaona umuhimu wa kuingiza jeshi ardhi ya Iran,maana washapoteza kila kitu".

Kimeumana.
Maneno tu ndugu jiongeze kwann apo apo😄😄😄😄😄 wakiwataka wananchi wao wakimbie mido yote!!!!!!!!!!!!!!!!!!😇😇😇😇😇
 
Nimekuuliza kwanini wanaruhusu hizo base zikae hapo? Wewe si ndio mtaalamu wa vita na siasa za ukanda huo. Jibu swali.
As long as Iran yuko fit hapo hamna alie salama hadi Israel.
-Kuruhusu hizo base kuwa hapo hakuhusiani na Iran kuwa tishio.
Siwezi kukupa jibu la moja kwa moja kwanini wameruhusu ila je kabla ya hapo Iran iliwahi kuivamia nchi yeyote ya kiarabu!??
Kama Iran ni tishio kwanini Qatar aliingia naye makubaliano ya kisilaha ya siri!??
-Iran iliisaidia Lebanon isipoteze South Lebanon hususan Bint Jubeir.
-Iliisaidia Yemeni dhidi ya USA ilipotaka kuweka kibaraka wake Mansouri.
Kama Iran ingekua ni tishio ingetoa aina hiyo ya msaada!??

Narudia mkuu,siwezi kukupa jibu la direct kwanini gulf states wameruhusu ushirikiano wa kijeshi na Iran. Ila Iran HAIKUWAHI KUWA TISHIO NA WALA SIO TISHIO.
Maana tuki trace back hapa hakuna mwaka Iran ilichokoza taifa lolote.
 
hii imetunguliwa jana Usiku ilipokuwa inakaribu kuingia anga ya Iran.
mpiga picha kakamatwa hapo hapo kabla hajasambaza hii picha.ila watu wamedukua kwenye dark web.
Israel na Marekani ni waongo na wapotosha...huwezi ficha ukweli.
 
Attachments

  • 20260306_145817.jpg
    280.8 KB · Views: 11
hii imetunguliwa jana Usiku ilipokuwa inakaribu kuingia anga ya Iran.
mpiga picha kakamatwa hapo hapo kabla hajasambaza hii picha.ila watu wamedukua kwenye dark web.
Israel na Marekani ni waongo na wapotosha...huwezi ficha ukweli.
Hizi nyengine ni AI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…