😄😄Location hiyohiyo uliopost meli, ukaamua tena upost na ndege .
AU HUJAGUNDUA LOCATION YA MELI NA NDEGE KUWA NI SEHEMU MOJA?
Kiama hicho 😄🤣🤣IRGC aerospace commander
Tumerusha kombora moja lenye makombora ndani yake 80 yenye kulenge targets 80. Tukirusha ya hivyo 100 tutalenga targets 8000 ndani ya Israel.
Huu mkwara au fact?
Mbona wao wanapigana na Iran Kwa mtungo na watu Hawalalamiki !?Maafisa wa Marekani wameishutumu Urusi kwa kuipatia Iran taarifa za kiintelegensia kuhusu mienendo ya shughuli na harakati za kijeshi za Marekani kwenye eneo hilo,hali inayo isaidia Iran kufanya mashambulizi yenye mafanikio dhidi ya vikosi vya Marekani.
Basi huko ni ngumu kumeza kama North korea tuuHuku apps za nje zote hazifanyi kazi ila apps zao kama kawa zinapiga mzigo na irancell inafungua data unaangalia fresh muvie tena hakuna hata kukwamakwama
Whatspp yao ndio sina tu maana hizi apps zao zinafanya kazi ndani ya iran tu
Sasa hivi yupo anakula bikira tuu hukoAyatollah: Israel tutaifuta kwenye uso wa dunia🤣🤣🤣
Na hapo wa iran weusi ndio wanaponiacha hoi, unasema humpend mmarekani wakati hiyo comment imewezeshwa na android, ios au windows.Siku tano zimeisha toka mwili wa gaidi mkuu duniani uwekwe kwenye frij😁😁😁
gaidi lilikuwa na nyodo sio poa
tena nyodo zenyewe alikuwa anachamba kupitia Twitter ya mmarekani
Wao wakimpa Ukraine location ya kulenga mali za Urusi wanaona ni sawa... Urusi ikifanya hivo wanaona ni kosa pumbavu zao 😊😊Maafisa wa Marekani wameishutumu Urusi kwa kuipatia Iran taarifa za kiintelegensia kuhusu mienendo ya shughuli na harakati za kijeshi za Marekani kwenye eneo hilo,hali inayo isaidia Iran kufanya mashambulizi yenye mafanikio dhidi ya vikosi vya Marekani.
Vita ndio chanzo ila ikiisha ni whatsapp na imo tu ndio utaipata kawaida ila apps nyingine zote bila vpn hufunguiBasi huko ni ngumu kumeza kama North korea tuu
Hapo ndio sijawaelewa, kama unafungia insta na fb unaacha whatsapp naona kitu si kilekile tuuuVita ndio chanzo ila ikiisha ni whatsapp na imo tu ndio utaipata kawaida ila apps nyingine zote bila vpn hufungui
Mbona wewe hauipendi IRan wakati Nchi Yako imekopa pesa Kwa serikali ya Iran na pesa hizo ndio moja ya mtaji unaotumika kuzungushia Uchumi uliopo Nchini !?Na hapo wa iran weusi ndio wanaponiacha hoi, unasema humpend mmarekani wakati hiyo comment imewezeshwa na android, ios au windows.
Hapo nimetoka muda sana toka december nipo deyyer hapa wakishambulia nitakushtua na juzi walitoka shambulia sokoni asaluyeh
Mkuu si kila makombora yanaporushwa huwa yanafanikiwa kupiga. Yakiwa intercepted habari inaishia hapoLeo Iran imefanya mashambulizi dhidi ya Israel mara mbili lakini mpaka sasa hakuna taarifa yeyote juu ya matokeo ya mashambulizi hayo.
Duh hawa ******* wanao dhibiti habari ni kiboko aisee na wametuweza sisi wapenda makuu.
😄 Muhimu wanapigwa tu hata wakificha haiepushi ukweli kwamba wanapigwaLeo Iran imefanya mashambulizi dhidi ya Israel mara mbili lakini mpaka sasa hakuna taarifa yeyote juu ya matokeo ya mashambulizi hayo.
Duh hawa ******* wanao dhibiti habari ni kiboko aisee na wametuweza sisi wapenda makuu.
Kwani yakiwa intercept wananchi Hawa wezi kuchukua !?Mkuu si kila makombora yanaporushwa huwa yanafanikiwa kupiga. Yakiwa intercepted habari inaishia hapo
Yakipiga pale palipopigwa wananchi lazima watavhukua video. Hiyo ni lazima haiwezi kuzuilika