Itakuwa Raha sana hapo USA lazima atakumbia tuWao wakimpa Ukraine location ya kulenga mali za Urusi wanaona ni sawa... Urusi ikifanya hivo wanaona ni kosa pumbavu zao ππ
Kadri vita vitakavyochukua muda mrefu itafika wakati Iran itapewa makombora
1 MIMI SILIPWI KWA MWEZI, MWEZI WANGU UNAANZIA SA2 ASUBUHI MPAKA SA12 JIONI INAKUA MWISHO WA MWEZI.Mbona wewe hauipendi IRan wakati Nchi Yako imekopa pesa Kwa serikali ya Iran na pesa hizo ndio moja ya mtaji unaotumika kuzungushia Uchumi uliopo Nchini !?
Usikute hiyo Simu unayo tumia ni zao la pesa ulizo lipwa na serikali Yako as salary baada ya serikali yako kukopa Iran
ππ
Hata kama haulipwi Kwa mwezi still pesa unayo ivuna pindi unapo kuwa katika Hilo Taifa Moja ya chanzo Cha mzunguko wa pesa hizo mpaka zikufikie wewe na Mimi ni serikali kukopa pia Kwa baadhi ya Nchi rafiki na Taifa hili , so Hela ya Wairan hauwezi kuikwepa , kaa Kwa kutulia mkuu uchumi ni namba π1 MIMI SILIPWI KWA MWEZI, MWEZI WANGU UNAANZIA SA2 ASUBUHI MPAKA SA12 JIONI INAKUA MWISHO WA MWEZI.
Mnaukataa muembe lakini maembe ndio chakula chenu pendwa
Israel inajikaza tu, na kutunisha msuli ambao hawana, nsio maana hii vita ya sasa hajathubutu kwenda peke yake tokana na kuogopa kichapo.
Vita ya chini jeshi la Israel uwezo wao ni mdogo ndio maana wameshindwa kuidhibiti Hamas.
Turkey ikipeleka jeshi lake kla ardhi pale Gaza wanaweza kabiliana na Hamas na kuwatoa, lakini si Israel.
Kawadanganye watoto wenzako huko hukoChief..soma kuhusu Tide and Tide.
Kuna wakati bahari inahama na kurudi.hii picha ilipigwa wakati bahari imehama.
kumbe watu wanachukua picha kwa wizi wizi usijeonekana.
Israel wakikuona unachukua picha unauwa hapo hapo..hawataki habari hizi zisambae.
Hiyo hela unajua anatoa nani? Ndugu hii vita ipo sponsored.Wachamuzi wa vita CNN wanakadilia US wanatumia USD 890 m kwa siku,so hivita ikienda wiki maana yake USB 7Bil zitakuwa zimekatika. Iran nae hapoi wala haboi.
View: https://m.youtube.com/shorts/f45sjmaHGfI
Utafauti ni kuwa yakiwa intercepted ni kitendp cha haraka, wakati yakipiga sehemu ni kitendo endelevu mtu anaweza kuchukua kwa kadri anavyotaka sababu tayari incident imetokea. Hilo ni la kwanzaKwani yakiwa intercept wananchi Hawa wezi kuchukua !?
Watu wa Iran haoDuh meli iko jangwani. Vipi walivyoiplipua wakaivua mpaka jangwani Iran? πππ
Hebu kangalie Maseneta wanavyo nyukana kwa hoja bungeni?Hiyo hela unajua anatoa nani? Ndugu hii vita ipo sponsored na waarabu.
We jamaa unatuchukulia sisi watoto wenzako au siyo!??Hiyo hela unajua anatoa nani? Ndugu hii vita ipo sponsored na waarabu.