Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kwa maelezo hayo inamaanisha kumbe tanzania hua inakopa kwa Iran tuu, sawa mkuu nimekuelewa wacha tuendelee kuenjoy pesa za beberu Iran

Zishawahi letwa Sana humu hizi data, hizo ni bilateral debt, ikimaanisha benki kuu moja kumkopesha benki kuu nyengine, haijumuishi mikopo ya Multilater kama vile IMF, WB etc.

Sisi most of time ni nchi za Asia + ufaransa mambo mengi.
 
Hio mikwara tu. Tehran haikaliki
 
Kwa maelezo hayo inamaanisha kumbe tanzania hua inakopa kwa Iran tuu, sawa mkuu nimekuelewa wacha tuendelee kuenjoy pesa za beberu Iran
Wanakopa kote sijamaanisha kwamba wanakopa Kwa Iran tu ,

Wanakopa kote ila Inatakiwa ufahamu kwamba Katika hizo pesa zinazo ingia katika mzunguko Kwa wananchi na za Iran pia zipo na zinakufikia mpaka wewe ,
 
🇮🇷 Iran's Marandi shares prayer session in Tabriz amid missiles raining down

New footage by Iranian analyst Mohammad Marandi shows massive crowds of people absolutely undaunted amid US-Zionist aggression and constant bombardments of cities full of civilians.

💬 "Iranians are not intimidated," he says.
 

Attachments

  • VID_20260306_183458_596.mp4
    1.5 MB
Aisee... Kabla ya vita.. hizi silaha ukizisikia unaweza kuogopa utadhani teknolojia ya halii ya juu sana.. but nothing.

Kitu kama Iron dome ni utapeli mkubwa sana.

Huyu Marekani akiingia Battle na Mrusi anachakazwa vibaya sana
Iran anaivua nguo US..

Trump ni rais flani ambaye vitendo vyake na maneno yake anataka uelewe kwamba ,

  • US ndio taifa linaloweza kuamua chochote na wakati wowote wakitaka,

  • ndio taifa lenye nguvu za jeshi kuliko taifa lolote,

  • ndio taifa linapaswa kunyeyekewa na mataifa yooote duniani,

  • US ikitaka chochote kutoka taifa lolote lazima ikipate hata kama ni kwa nguvu.

  • US inaweza kuadhibu taifa lolote endapo ikitaka, muda na wakati wowote.

  • Hakuna taifa linapaswa kuwa juu zaidi kiuchumi kuliko US.

  • US ndio taifa linapaswa kutoa masharti kwa taifa lolote.

Kama kauli mbiu yake isemayo MAGA , Sasa kwa huu mgogoro unavyoendelea US inavuliwa nguo, Trump anaona yote anayotaka kuaminisha watu si kweli na hapo ndipo anajitutumua kuanza kuandika mipasho mitandaoni na kufanya press na waandishi. Alivyo mjinga anasema wanaofuata ni Cuba.
 
Mbona china alimaliza Energy siku nyingi Tu? Asilimia 84 ya mafuta na Gesi anajitegemea mwenyewe, hio 16 iliobakia ndio anachukua Middle East, Urusi, Sea countries etc.

Na fujo inayoendelea anaweza Tu ongeza kiasi cha mafuta toka Urusi na Iran kureplace gulf countries.
 
Aisee unachekesha sana. Yaani wewe ujue hizo mbinu za Iran halafu USA wasijue! Amazing.
 
Mkuu Sio tu trump viongozi wengi wa marekani huwa wadanganyifu sana. Ni wapuuzi tu ndio wataendelea kuamini uongo wao.

MAGA( Make America Go Away).
 
Ushawahi fika New York au unaongea tu ukiwa buza kwa mpalange🙂
 
Mkuu inamaana wewe peke yako humu ndio una kibali cha kuleta taarifa sahii? unge-verify identity yako ili tukuamini kwa usahii! Isiwe msela mmoja tu wa hapo kijiwe samli BOM BOM.
Mkuu na wewe leta updates.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…