Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Hawawezi labda Saudia. Hivyo vi nchi ni vidogo na havina Ardhi ya kutosha na maeneo mengi ni majiji, bomu moja Tu kwenye jiji wageni wakiondoka zinaingia kwenye madeni makubwa ambayo itachukua generations kurudi kama Leo.
 
Hata humo kwenye biblia hakuna hadithi ya Israel kumpiga mwajemi , zaidi ya ile hadithi ya esta na modrekay kuwa esta aliwaokoa wayahudi kuuwawa na amani chini ya mfalme Ahasuerus wa kiajemi
So Kuna watu wanadhani kwamba waajemi ni wajinga wajinga
 
Iran called on the United Nations Security Council to convene an urgent meeting on Saturday to act to halt what it described as aggression against the country, Foreign Ministry spokesperson Esmail Baghaei said. Baghaei also said Foreign Minister Abbas Araghchi was β€œalive and well.”

Wanaomba po mapama sana
 
US-Israeli strikes have completely wiped a IRGC headquarters in Damavand Tehran off the map.

A senior American official tells Axios that U.S. strikes are focused on Iran’s missile program and missile launchers, while Israeli strikes are targeting the elimination of senior Iranian officials as well as elements of the missile program.
 
"Dunia nzima" "gen z hawataki tena ishu za dini." Hivi hizi data ni Kwa takwimu ipi na iliyofanyika wapi.? Maana humu humu ndani ya uzi uchangiaji umejaa mirengo ya kidini tena haswa kwa upande wa wasiokuwa waislamu,je unataka kusema hawa pia si Gen z,na je kwako wewe ukisema dunia nzima unamaanisha nini.?
 
Wananchi wa Iran wenyewe wanashangilia na wanasapoti USA ila kuna Iran feki huko bonyokwa na Kariakoo ndio wanaumia
Punguza uongo. Raia wa Iran 80% wapo nyuma ya serikali yao.
Ingekua wako kinyume na serikali yao basi raia wangeshaingia barabarani kuiondosha hiyo serikali.
 
Hapo nani anaomba poo!?
Acha kudanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…