Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kawasadie kufanya kurusha hujui kama uwezo hawana
 
Katika siku Tel Aviv itapigwa nadhani ni leo..
Leo Iran inashambulia non-stop...
US na Israel nao ni was3ng3, we unalengaje miunndo mbinu ya mafuta?
Atapigwa vipi wakati mpaka Airport zinafanya kazi
 

Attachments

  • Screenshot_20260308-163313_Chrome.jpg
    80.7 KB · Views: 17
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Abu Al Qasm ambae aliteuliwa kuwa mkuu wa idara ya jeshi kwa ayatollah ameuwawa.
 
Sasa kwanini Israel inazuiya kupigwa Picha mapigo kwake kiasi ya kutunga Sheria ya kuzuiya????????
 
Tel aviv airport imetekenywa.
Iran wanapigana kisede,mnapigaje ado ado kama mnanyofoa samaki sangara!??
 
Washaona Iran ni chui wa karatasi badala alete madhara kwa Israel na meli za Marekani yeye anadili na wasio wahusika wakuu.
Marekani ishapata hasara kawasikilize maseneta wa USA.
UAE eidha itakua Israel wana raise false flag. Ila kama wenyewe WAMEISHA.
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la khoramabad Jimbo la Lorestan
 
Atapigwa vipi wakati mpaka Airport zinafanya kazi
Hii Propaganda sawa na kusikia Tela Aviv Wananchi wameambiwa watoke
wafanye kazizao kama kawaida.

Ukisikia ivyo jua ni Propaganda ya kivita kumkatisha tamaa mpinzani wako.πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Dakika chache zilizopita!!!!!

Smoke above Tel Aviv after IDF reports Iranian missiles fired at Israel

 
Tel aviv airport imetekenywa.
Iran wanapigana kisede,mnapigaje ado ado kama mnanyofoa samaki sangara!??
Mkuu huu ni uongo, uwanja wa ndege tel Aviv haujapigwa na unafanya kazi kama kawaida.
Muda huu napoandika ndege zinaingia na kutoka na ratiba zinaendelea kama kawaida. Hii commercial flight Paris ndio inaingia hapo
 

Iranian missile barrage strikes central Israel​


A missile barrage from Iran has hit several locations in central Israel, including Tel Aviv.

17:23

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…