Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel assesses that IRGC Commander-in-Chief Mohammad Pakpour and Minister of Defense Aziz Nasirzadeh were likely assassinated - Israel Hayom
 
Saudi Arabia-"We are putting all our capabilities to support the UAE, Bahrain, Qatar, Kuwait, and Jordan."
MBS anatamani sana Iran ianguke na hakika itaanguka then atatawala nzima maskini kwa matajiri watamuabudu kwa amri yake japo ni kwa miaka isiyozidi 7 aisee ukijua unabii wa siku za mwisho na ukiona unavyotimia inakuwa raha sana
 
BREAKING: 'Israeli assessments indicate that the attempt to assassinate Iran’s Supreme Leader Khamenei and the Iranian President has failed' – Channel 15
 
😹😹😹 Kwahiyo wakristo wanawafata watu ambao wao wenyewe hawaamini wanachokiamini?

Wa Africa wa kuchapwa viboko..!!
Sasa wewe uko team gani hapa?
 
😹😹😹 Kwahiyo wakristo wanawafata watu ambao wao wenyewe hawaamini wanachokiamini?

Wa Africa wa kuchapwa viboko..!!
Sasa wewe uko team gani hapa?
Mimi niliacha kuamini katika hizo Imani kabisa nasitaki hata kusikia yaani

Uongo mwingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…