baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 6,063
- 12,808
Iran hatumii navy kuzuia hizo Meli Bali missile na Drones, it's just watu wanataka kukuza Navy ya Iran ionekane kubwa ili watake credit kwamba wamezamisha meli zao.Mkuu hata zile missile si zinafika hapo Hormuz?
Sasa wewe na yeye tofauti nini?Unalipwa sheikh....kazi saa ngapi? Usije anza kumlaumu Samia baadae!? Vita vitaisha ivyo na maisha yataendelea huko middle east! Wakati huo wewe bado hoehae ! Myahudi hatambui kama wewe mmatumbi ni myahudi mwenzie!
Mbona Trump anaongea kama amechanganyikiwa?Nyie endeleni kusema Iran anarusha mabomu hovyo hovyo. US mda huu wanadiscuss, jinsi Iran mabomu yake yanavyoweza kulenga target kwa usahihi.Mabomu yenyewe mengi gharama yake hayavuki USD 20k,lkn yana ufanisi mkubwa kwenye uwanja wa kivita.
View: https://m.youtube.com/watch?v=ZMBrA9Yy5os
Hivi mkuu kama internet imefungwa, hizi picha watu wanazipataje?π₯π₯π₯π₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la Qeshm
View attachment 3556153
Huwa mnamanisha nini mkisema msomi?Ujinga mtupu humu,mmoja anajiona Bora kwa dini aliyoletewa na mwarabu na mwingine anajiona bora kwa dini aliyoletewa na Mzungu Na wote eti ni wasomi.Bora msingeenda shule tu.Pumbavu zenu wote
Wapo walioweza kubypass. Wale waxuri wa tech ndio wanaweza kuaccess.Hivi mkuu kama internet imefungwa, hizi picha watu wanazipataje?
Salamu kwa watu watatu tafadhali.Huwa mnamanisha nini mkisema msomi?
Msomi hata vijiti vya kufokonyelea meno vinatengenezwa china, huo usomi wa hao wasomi ni upi kwa sisi Rangi ya nyani!