Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Noma πŸ”₯πŸ”₯😁
 
Kimtokacho mtu ndicho kilichomjaa

Wewe umejaa Udini tupu mkuu

Kama ukiweza, nitajie mtanzania Asili mweusi kama wewe ambaye ni mfanya biashara ukiondoa hao wahindi wanaofahamika
We tulia ule hapo kwa shemeji yako! Mimi kubishana na wewe mwanangu najishushia hadhi. Mtu ambae ujawai kushika hata kamilioni kumi au Laki mbili tu yako mwenyewe..... subiria siku dada yako aachike ufukuzwe
 
Wafuga Midevu na Majini mna matatizo sana sasa hapa unajilizaliza kujificha chini ya mwamvuli wa dini Una tafuta nini? umeshiba Daku lako tulia au lala kabisa ondoa Makasiriko mwezi mtukufu huu!!
Kwani ukifuga majini Kuna shida Gani !? Unakuwa Unaumia Nini !? Wao wakifuga majini nawewe Fuga samaki full stop
 
Mlikuwa mnabwabwaja kuwa wamezuiwa kupiga picha hizo picha zimetoka kwenye makalio yenu??
Kwahiyo kumbe ni kweli !? πŸ˜„πŸ˜„

Sasa ulikuwa unaipinga Nini !? Mimi nimefurahi kuona umekubali kwamba Israel inachapika baada ya kuthibitisha kuwa picha ni za kweli ,

Haya twende kwenye hoja Yako Sasa -- Kwani unaposikia kwamba serikali imekataza kitu Fulani kisifanyike ndio hakuna watu ambao hawato kifanya kabisa !?

Bangi /wizi/ Ufisadi / Uuzaji wa madawa ya kulevya vyote hivyo vimewekewa katazo visitumike au kufanyika Kwa mujibu wa sheria Kwa raia wa kitanzania je hakuna watu wanaofanya huo uhalifu nchini !?
Hakuna watu wanao tumia !?
 
Sasa ulikuwa unaipinga Nini !? Mimi nimefurahi kuona umekubali kwamba Israel inachapika baada ya kuthibitisha kuwa picha ni za kweli ,
Hizo ni picha za AI
Haya twende kwenye hoja Yako Sasa -- Kwani unaposikia kwamba serikali imekataza kitu Fulani kisifanyike ndio hakuna watu ambao hawato kifanya kabisa !?
Sasa mlichokuwa mna wa waja mitandao I ni kitu gani?
Bangi /wizi/ Ufisadi / Uuzaji wa madawa ya kulevya vyote hivyo vimewekewa katazo visitumike au kufanyika Kwa mujibu wa sheria Kwa raia wa kitanzania je hakuna watu wanaofanya huo uhalifu nchini !?
Hakuna watu wanao tumia !?
Acheni sasa kubwabwaja na kulaumu mmezuiwa kupiga picha!!!
 
Leo alfajiri!!!!!!!!!

Iran launches new wave of strikes​



In the last few hours, Iran has launched a new wave of strikes against Israeli and US targets in the Middle East.

Iranian state media said the barrage was the "most intense and heaviest" since the start of the conflict, AFP reported.

Published at 05:23

 
Na hii ni AI !? 😁😁
 
Kwahiyo picture za Iran kuitwanga Israel na USA ni Ai lakini picture za USA na Israel kuitwanga Iran ni original!?

Akili huna 😁😁
Hizo ni picha za AI

Sasa mlichokuwa mna wa waja mitandao I ni kitu gani?

Acheni sasa kubwabwaja na kulaumu mmezuiwa kupiga picha!!!
 
Watu wanahamisha kambi!!!!!!!!!!!

RT’s Tehran bureau chief, Hami Hamedi, reports that regional talks are underway on the temporary evacuation of US bases in the Middle East to avoid Iranian retaliatory strikes.

05:37


 
Comical Allys kwenye ubora wao πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…