Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Al Jazeera nimeona taarifa wananchi wa Iran pale Tehran wanasema wameona mlipuko mkubwa ambao hawajawahi shuhudia tangu vita ianzeπŸ”₯πŸ”₯
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la ahmadabad kusini magharibi mwa Tehran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…